Kama Huweki Mfumo wa Fedha Leo Jiandae Kuendelea Kunyanyaswa Na Maisha…
https://amkamtanzania.com/2025/05/13/kama-huweki-mfumo-wa-fedha-leo-jiandae-kuendelea-kunyanyaswa-na-maisha/
Kakaa/Dadaa hebu fikiria hii… kila mwezi pesa inaingia, halafu ndani ya wiki mbili unajiuliza, *Ile hela imeenda wapi?* Na wewe si mlevi. Huna starehe kubwa. Lakini bado hela zako zinaisha bila habari. Mara kodi, mara vocha, mara outing ya ghafla. Na mwisho wa mwezi unabaki na ndoto tu hakuna akiba, hakuna maendeleo. Ni kama maisha […]

Usijidharau Tena, Miujiza Ipo Ndani Yako!…
https://amkamtanzania.com/2025/05/14/usijidharau-tena-miujiza-ipo-ndani-yako/
Kakaa/Dadaa…. Unajua kitu gani kinaumiza? Ni kuona mtu anajikatia tamaa.Anasema, “Mimi siwezi.”Anajiona wa kawaida sana. Mtu mwenye ndoto kubwa, lakini moyo wake mdogo.Na mbaya zaidi… ni mtu kama wewe. Ndiyo wewe unayesoma sasa hivi.Ulishawahi kujiambia, “Hii ni bahati yao wengine tu”? Ulishawahi kuacha ndoto zako kwa sababu mambo hayaendi?Ukajiona kama vile miujiza ni ya watu […]

Siyo Kosa Lako, Hujafundishwa TU!
https://amkamtanzania.com/2025/05/15/siyo-kosa-lako-hujafundishwa-tu/
Kakaa/Dadaa.. Hivi unajua kuna watu wanawacheka wajasiriamali wadogo? Huku wakiwasema vibaya:… Mbona kila biashara unayoanzisha haifiki miezi mitatu?* *Unapenda kulalamika sana!” *Wewe huwezi fanikiwa kamwe!* Na huwa naumia nikisikia haya maneno.Kwa sababu… Watu hawajui mateso yanayomfanya mtu aamue kuuza maandazi saa 12 asubuhi bila hata chai. Hawajui… Maumivu ya kutafuta mtaji wa elfu 20 kwa […]

Sheria 100 Za Maisha Ya Mafanikio.
https://amkamtanzania.com/2025/05/16/sheria-100-za-maisha-ya-mafanikio-2/
Kakaa/Dadaa Yangu…Watu wengi wanakufa maskini si kwa sababu walizaliwa maskini…Wanabaki maskini kwa sababu wanaishi bila sheria.Wanapiga hatua moja mbele… halafu wanarudi tatu nyuma.Siku zinaenda, miaka inasonga… maisha yanabaki pale pale.Unaamka, unaenda kazini… lakini huna cha maana unaweka mezani.Kila ukijaribu kusonga, kuna kitu kinakuvuta nyuma.Unajua ni nini?Huna ramani.Huna sheria.Huna mwelekeo.Na Hapo Ndio Unatupwa Katika Kundi la […]

Miujiza Imelala Na Ndoto Zako…
https://amkamtanzania.com/2025/05/17/miujiza-imelala-na-ndoto-zako/
Kakaa/Dadaa Yangu… Umesahau wewe ni nani. Umesahau kuwa ndani yako kuna nguvu ya kutikisa dunia. Umejikatia tamaa kimya kimya. Kila siku unasema labda mimi sina bahati. Umeanza kuamini maisha ni magumu na huwezi kubadilisha chochote. Lakini ukweli ni huu: UNA NGUVU YA MIUJIZA NDANI YAKO. Unaitumia vibaya.Au hujui hata ipo. Ulishawahi kumuona mtu aliyeanzisha biashara […]

Leo Ni Siku Ya Maamuzi…
https://amkamtanzania.com/2025/05/19/leo-ni-siku-ya-maamuzi/
Kakaa/Dadaa Yangu…Kuna uongo mmoja hatari sana unaoenezwa Kwenye jamii zetu…Watu wanaambiwa mafanikio ni siku moja kubwa. Siku moja utajikuta na gari.Siku moja utakuwa na pesa za kukutosha.Siku moja utahama mtaa.Siku moja…Siku moja…Siku hiyo haiji bwana.Mafanikio si sherehe ya ghafla.Ni safari ya kila siku bila makelele.Wewe unasema unataka kufanikiwa, sawa…Lakini unalala hadi saa nne asubuhi.Simu ndiyo […]

Kipato Ni Siri…
https://amkamtanzania.com/2025/05/20/kipato-ni-siri/
Kakaa/Dadaa Yangu….Unapambana, eeh?Unajituma.Lakini bado hauoni matokeo?Kuna wakati unajiuliza:Hivi shida iko wapi?Unaamka mapema, unajitahidi, lakini mwisho wa mwezi bado unakopa.Unalipwa mshahara.Lakini baada ya siku tatu tu, unakuwa huna hata mia.Kama mtu aliyekula mshahara kwa ndoto.Unajituma kama punda…Lakini kipato chako ni kama tone la maji baharini.Linatoweka kabla hujalitumia.Inakera, sio?Sasa ngoja nikuambie ukweli mchungu.Tatizo sio kazi yako.Tatizo sio […]

Jinsi Ya Kuanza Na Kuendeleza Kitu Chako Bila Kusota…
https://amkamtanzania.com/2025/05/21/jinsi-ya-kuanza-na-kuendeleza-kitu-chako-bila-kusota/
Kakaa/Dadaa Yangu…Wengi Wanashindwa.Watu wengi wanatamani sana kuwa na biashara zao.Wanachoka kuamka asubuhi kwenda kazini kwa mtu.Wanakasirika kuona pesa zao zikilipia ndoto za wengine.Lakini kila wakitaka kuanzisha biashara, akili inagoma.Nakujiambia…“Mwanangu biashara inahitaji mtaji mkubwa…”“Aaah, siku hizi biashara ni ngumu bana…”“Bora nikatae tu, nisijiumize moyo…”Unasikia hizo sauti?Zinaonekana kama ushauri, lakini ni mtego.Mtego wa ubaki pale pale.Ukiwa na […]

Ramani Ya Mabadiliko….
https://amkamtanzania.com/2025/05/22/ramani-ya-mabadiliko/
Kakaa/Dadaa….Unajua shida kubwa inayowakumba wengi?Wanaamka kila siku…Wanakimbizana kama mchwa waliomwagiwa maji…Lakini hawajui wanakimbilia wapi.Kila siku ni kujituma…Lakini mwisho wa mwezi, mfuko ni kama shimo la panya.Kila mwaka unakatika…Lakini hakuna mabadiliko ya maana.Wengi wako kwenye ‘autopilot’ ya maisha.Wanajisukuma tu.Wakiamini ipo siku mambo yatajileta.Mambo hayajileti. Wewe ndo lazima uyasogeze.Hii Inatisha Kidogo…Unaamka ukiwa na nguvu.Unaota mafanikio.Lakini kila jioni, […]

Siri Ya Kuingiza Kipato Kisichokuwa Na Ukomo Imegundulika Mapema….
https://amkamtanzania.com/2025/05/23/siri-ya-kuingiza-kipato-kisichokuwa-na-ukomo-imegundulika-mapema/
Kaka/Dada, ukweli ni huu mwezi unaisha, mshiko hakuna.Unataka kupiga simu, huna salio.Unatamani hata kunywa soda ya baridi lakini mfuko uko dry.Unaamka kila siku ukiwa na ndoto kubwa, lakini hela huna hata ya mafuta ya kupikia.Unajiambia, “Nitabadilika.” Lakini unaanzia wapi?Na mbaya zaidi, kila siku mitandaoni unawaona wengine wanapiga picha na magari, wanafungua biashara, wanaishi kama sinema.Wewe […]

Vunja Laana Ya Umaskini…
https://amkamtanzania.com/2025/05/24/vunja-laana-ya-umaskini/
Bro, hebu niambie ukweli…Umeshawahi kujiuliza kwanini bado maisha yako yanasuasua?Kila siku unakaza, lakini bado unazunguka mduara ule ule.Mapato madogo, madeni makubwa.Kazi unayo, lakini pesa haikai.Hii siyo hali ya kawaida… hii ni laana ya umaskini.Na mbaya zaidi?Laana hii inarithishwa.Kama hutaivunja, watoto wako watairithi kama jina la ukoo.Hebu fikiria…Umesota miaka yote.Halafu mtoto wako anaanza upya na umasikini […]

Muda Hautoshi? Huo Ni Uwongo.
https://amkamtanzania.com/2025/05/26/muda-hautoshi-huo-ni-uwongo/
Kakaa/Dadaa Yangu….Kuna watu wanapiga kazi usiku na mchana…Lakini bado maisha yao hayatembei.Wengine wanaamka saa 11 alfajiri…Wanakuwa bize kuliko rais…Lakini bado mafanikio ni ndoto.Tatizo ni nini?Si kazi.Si bidii.Si maarifa.Ni matumizi ya muda.Hii kitu inaamua kama utapiga hatua…Au utapiga miseleleko miaka nenda miaka rudi.Kuna wakati nilikuwa hivyo hivyo…Nabana saa. Naandaa ratiba.Najiandikia malengo.Naishia kuvuruga kila kitu.Nilidhani tatizo ni […]

Ubatizo Wa Mafanikio…
https://amkamtanzania.com/2025/05/27/ubatizo-wa-mafanikio/
Kwa Wale Waliochoka Kuishi Maisha Ya Kawaida.Kakaa/ Dadaa Yangu…Unajua shida ni nini?Watu wengi wanataka mafanikio.Lakini hawajui mafanikio huja vipi.Wanadhani ni bahati.Au pesa.Au connection.Lakini ukweli ni huu…Kuna UBATIZO.Ndio, ubatizo wa mafanikio.Kabla hujaishi maisha ya ndoto zako…Lazima kupitia moto.Lazima kutakaswa.Lazima kubadilishwa.Shida iko hapa…Watu hawapendi maumivu.Watu wanakimbia misukosuko.Lakini ndiyo hiyo hiyo inayozaa mafanikio.Kama hujapitia tabu, hujabatizwa.Na bila ubatizo […]

Unapambana Sana… Lakini Mauzo Hayakui?
https://amkamtanzania.com/2025/05/28/unapambana-sana-lakini-mauzo-hayakui/
Kakaa/Dadaa Yangu…Unajituma.Unaamka mapema.Unajitangaza kila kona.Lakini bado…Mauzo yako yapo pale pale.Wateja wanapita…Wanatazama…Wanacheka kidogo…Halafu wanasepa bila kununua.Inakera, sio?Wewe Sio MZEMBE, Ila Unajua Nini Unakosea?Biashara sio kupiga kelele tu.Sio kuweka bidhaa Instagram kila siku.Wateja hawataki kuuziwa.Wanataka kushawishiwa.Na kama hujui njia ya kuwashawishi…Utawatazama tu wakinunua kwa jirani.Watu Wengi WANADANGANYWA…Wanambiwa:“Tangaza zaidi.”“Tengeneza logo kali.”“Fungua TikTok.”Lakini bado…Mauzo hayapandi.Kwani shida iko wapi?Shida siyo […]

Biashara Yako Inavuja Kila Siku! Na Hutajua Mpaka Ife.
https://amkamtanzania.com/2025/05/29/biashara-yako-inavuja-kila-siku-na-hutajua-mpaka-ife/
Iokoe Leo Kabla Hujachelewa. 🔥 🔥Rafiki Yangu Mpendwa,Unawahi kuamka asubuhi, simu imejaa meseji za wateja.Mwingine anakudai risiti, mwingine anataka kujua taarifa ya oda yake.Halafu kuna yule wa jana uliahidi kumpigia, ukasahau.Mmoja alikuwa serious kununua lakini hujui ni yupi!Kibaya zaidi, hela zinapita mikononi, lakini hujui zinakwenda wapi.Rafiki, biashara si kubahatisha. Biashara ni mfumo.Na kama hauna mfumo […]

🔥Huyu Hapa Ndiye Mjasiriamali Asiye Wakawaida! 🔥….
https://amkamtanzania.com/2025/05/30/%F0%9F%94%A5huyu-hapa-ndiye-mjasiriamali-asiye-wakawaida-%F0%9F%94%A5/
Kakaa/Dadaa Yangu….💥 Unajua shida ya wengi?Wengi wanaanza biashara kwa kishindo…Lakini baada ya miezi mitatu,BAM! Kimya kama kaburi la usiku.Wanaanza kuuza nguo,Wanaingiza mzigo wa milioni mbili,Lakini hakuna anayenunua.Wanashindwa kuelewa nini kinakwenda kombo.Wanakata tamaa fasta.Wanarejea kutegemea mshahara.Wengine wanakata tamaa kabisa—wanakufa na ndoto zao.💔 Na hapa ndipo kuna maumivu makali.Biashara si kupost tu bidhaa kwenye status.Si kutegemea rafiki […]

Wewe Unaijua Sababu Ya Kuumbwa KWAKO?
https://amkamtanzania.com/2025/05/31/wewe-unaijua-sababu-ya-kuumbwa-kwako/
Au unaishi tu kwa kubahatisha kama gari lisilo na breki?Rafiki Yangu Mpendwa,Watu wengi wanamka kila siku…Wanaoga, wanavaa, wanatoka.Lakini hawajui kwa nini wanaishi.Wanapambana… lakini hawajui wanapambana kwa lipi.Wanaume wanahangaika na mihangaiko,Wanawake wanahangaika na wanaume.Kila mtu anakimbia, lakini hakuna anayeuliza:”Tunakoenda ni wapi?”Ishu Hii Ndio Inasababisha Maisha Ya Watu Yatupwe Kama Karatasi Iliyotumika.Unajikuta una miaka 30… lakini unahisi […]

Kama Chanzo Chako Cha Pesa Ni KIMOJA… Unatakiwa Kujiandikia Wosia Mapema
https://amkamtanzania.com/2025/06/02/kama-chanzo-chako-cha-pesa-ni-kimoja-unatakiwa-kujiandikia-wosia-mapema/
Kakaa/Dadaa Yangu….Hii ni siri lakini nitakudokezea…Chanzo kimoja cha kipato ni kama mpenzi mwenye moods za ajabu.Leo anakupenda.Kesho anakusumbua.Kesho kutwa anakudharau.Na cha ajabu zaidi…Wewe bado upo tu hapo, unamtegemea!Sasa hebu jiulize:Kama kazi yako itakoma leo, utaishije?Kama biashara yako itakufa kesho, utaishije?Kama mteja wako mkubwa atakata mawasiliano, utaanzia wapi?Wewe ni kama mtu aliyepo kwenye ghorofa ya kumi,na […]

🔥 Kitabu Kipya Cha Nguvu Ya Buku Toto. Huu Ndio Msaada Wenyewe Kwa Mtoto Wako! 🔥
https://amkamtanzania.com/2025/06/03/%F0%9F%94%A5-kitabu-kipya-cha-nguvu-ya-buku-toto-huu-ndio-msaada-wenyewe-kwa-mtoto-wako-%F0%9F%94%A5/
Rafiki Yangu Mpendwa,Watoto Wengi Wameachwa Kama Karanga Zilizomwagika.Hawajui fedha ni nini.Wamefundishwa ABC, lakini siyo buku.Wanajua TikTok, lakini siyo bajeti.Wanajua kufungua simu, lakini siyo akaunti ya akiba.Wanapewa hela, halafu inayeyuka kama barafu juani.Hili ni tatizo. Kubwa.Na si kosa lao.Wazazi wengi hawakufundishwa, sasa watoto wanarithi ujinga wa pesa.Siku Ukifa…Mtoto wako atarithi nini?Mali au ujinga wa pesa?Utamwachia gari […]

Mtoto Wako Anaweza Kuja Kukuchukia… Kwa Sababu Ya Buku Moja Tu!…
https://amkamtanzania.com/2025/06/04/mtoto-wako-anaweza-kuja-kukuchukia-kwa-sababu-ya-buku-moja-tu/
Rafiki Yangu Mpendwa,Unajua nini kinauma?Mtoto wako anaenda shule kila siku…Anakazana…Lakini hawezi hata kuweka akiba ya buku.Sio kwa sababu hana hela.Ni kwa sababu hajawahi kufundishwa.Na hata wewe hujawahi kumfundisha.Wengi wetu tunadhani watoto ni wadogo sana kufundishwa fedha.Wengi tunasema:Watapata tabu bure.Wangojee wakue kwanza.Lakini hiyo ndio sumu kubwa zaidi.Umemwona mtoto wa jirani yenu?Ana miaka 12 tu… lakini ana […]