SOMA VITABU TANZANIA📚
1.14K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.6K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
Happy Weekend…
https://amkamtanzania.com/2024/12/14/happy-weekend/

Mpendwa Rafiki,Kwasababu leo ni jumamosi ya Tarehe 14 ya Mwezi Wa 12… Na kwakuwa tunakujali rafiki yetu, Basi tumeona tukuzawadie […]
*Wamefanikiwa Kwa Kuwa Na Maarifa Haya, Je, Wewe Bado Unangoja?…
https://amkamtanzania.com/2024/12/16/wamefanikiwa-kwa-kuwa-na-maarifa-haya-je-wewe-bado-unangoja/

Mpendwa Rafiki, Hapo mwanzo, Mwanaidi alihisi maisha yake hayana mwelekeo, huku akimaliza mshahara wake kabla ya wiki ya pili kila […]
Kwa Nini Unasema Hauna Muda Wakati Wengine Wanaendelea Kutenda Miujiza?
https://amkamtanzania.com/2024/12/16/kwa-nini-unasema-hauna-muda-wakati-wengine-wanaendelea-kutenda-miujiza/

Mpendwa Rafiki, Salma alikuwa akilalamika kila siku kwamba hana muda wa kufanikisha ndoto zake. Ratiba yake ilikuwa imejaa, na alihisi […]
Ukweli Mchungu: Kama Hakuna Wateja, Hakuna Biashara…
https://amkamtanzania.com/2024/12/17/ukweli-mchungu-kama-hakuna-wateja-hakuna-biashara/

Mpendwa Rafiki, Rehema alikuwa na kipaji cha ajabu cha kutengeneza keki, lakini haikuwa rahisi kwake kupata wateja. Alitengeneza mabango na […]
Unamfahamu Mama Mariam? Aligeuza Buku Moja Kuwa Maisha Mapya…
https://amkamtanzania.com/2024/12/17/unamfahamu-mama-mariam-aligeuza-buku-moja-kuwa-maisha-mapya/

Mpendwa Rafiki,Mama Mariam alikuwa mama mjane mwenye watoto watatu. Kila siku alikuwa akijiuliza: Nitawapeleka vipi watoto wangu shule bila hela […]
ATTENTION; Sikiliza Vitabu Vizuri Vya Fedha Vilivyosomwa Kwa Sauti Humu Ndani 👇
https://amkamtanzania.com/2024/12/17/attention-sikiliza-vitabu-vizuri-vya-fedha-vilivyosomwa-kwa-sauti-humu-ndani-%F0%9F%91%87/

Mpendwa Rafiki Habari Njema ni Kwamba Aplikesheni Mpya Ya CHUO CHA MAUZO, Inakupatia fursa ya kusikiliza vitabu vya fedha vilivyosomwa […]
Hakuna Bahati Katika Mafanikio: Tabia Za Joseph Zilivunja Mnyororo wa Umaskini…
https://amkamtanzania.com/2024/12/18/hakuna-bahati-katika-mafanikio-tabia-za-joseph-zilivunja-mnyororo-wa-umaskini/

Mpendwa Rafiki, Joseph alikulia katika familia maskini. Alikuwa na ndoto kubwa, lakini mazingira aliyokulia yalikuwa yakimkatisha tamaa. Wengi walimwambia hawezi […]
Furaha Ya Adam Ilianza Pale Alipojua Jinsi Ya Kufanya Mauzo Kwa Kujiamini…
https://amkamtanzania.com/2024/12/18/furaha-ya-adam-ilianza-pale-alipojua-jinsi-ya-kufanya-mauzo-kwa-kujiamini/

Mpendwa Rafiki, Adam alikuwa na aibu sana kuzungumza na wateja wake. Mara nyingi, aliogopa kumuuliza mteja kama yupo tayari kununua. […]
Jinsi Juma Alivyovuka Changamoto Za Kifedha Na Kuwa Mshindi!…
https://amkamtanzania.com/2024/12/19/jinsi-juma-alivyovuka-changamoto-za-kifedha-na-kuwa-mshindi/

Mpendwa Rafiki,Juma alikuwa na mshahara mzuri, lakini matumizi yake yalikuwa makubwa zaidi kuliko kipato chake. Alijikuta kila mara akikopa kwa […]
Mwanzo Mgumu Haukuzuia Sidi Kufanikisha Ndoto Zake!…
https://amkamtanzania.com/2024/12/19/mwanzo-mgumu-haukuzuia-sidi-kufanikisha-ndoto-zake/

Mpendwa Rafiki,Sidi alianza biashara ya mtandaoni akiwa na matumaini makubwa, lakini alipata changamoto ya wateja wasioendelea kununua tena. Hali hii […]
Timiza Ndoto Zako Kwa Urahisi 2025 Kwa Msaada Wa Aplikesheni Hizi 4 Muhimu!…
https://amkamtanzania.com/2024/12/19/timiza-ndoto-zako-kwa-urahisi-2025-kwa-msaada-wa-aplikesheni-hizi-4-muhimu/

Mpendwa Rafiki, Je, Unataka Kutimiza Ndoto Zako Kwa Urahisi 2025? Ni kama zali kwako, zile Aplikesheni zitazokusaidia kutimiza ndoto zako […]
Njia Rahisi Ya Kujenga Maisha Ya Furaha Na Utajiri…
https://amkamtanzania.com/2024/12/20/njia-rahisi-ya-kujenga-maisha-ya-furaha-na-utajiri/

Mpendwa Rafiki, Hivi unajua kwamba maisha bora hayahusiani kabisa na bahati nasibu? Mafanikio ni matokeo ya mchakato ulio sahihi na […]
Ukweli Usiosemwa Kuhusu Kwa Nini Unashindwa Kuhifadhi Pesa…
https://amkamtanzania.com/2024/12/20/ukweli-usiosemwa-kuhusu-kwa-nini-unashindwa-kuhifadhi-pesa/

Mpendwa Rafiki, Una kazi, unapata kipato, lakini kila mwezi unamaliza kila kitu. Hakuna akiba, hakuna uwekezaji, na ndoto zako zinapotea. […]
Timiza Ndoto Zako Kwa Urahisi 2025 Kwa Msaada Wa Aplikesheni Hizi 4 Muhimu!…
https://amkamtanzania.com/2024/12/20/timiza-ndoto-zako-kwa-urahisi-2025-kwa-msaada-wa-aplikesheni-hizi-4-muhimu-2/

Mpendwa Rafiki, Je, Unataka Kutimiza Ndoto Zako Kwa Urahisi 2025? Ni kama zali kwako, zile Aplikesheni zitazokusaidia kutimiza ndoto zako […]
Ofa Ya Kushangaza: Vitabu Viwili (2) Kwa Bei Ya Kitabu Kimoja Tu!…
https://amkamtanzania.com/2024/12/21/ofa-ya-kushangaza-vitabu-viwili-2-kwa-bei-ya-kitabu-kimoja-tu/

👉 Pata Vitabu Viwili Bora Vya Fedha Kwa Shilingi Elfu 2 Tu Badala ya Elfu 40! 1. *Nguvu Ya Buku*: […]
🫵🏾Ni Wewe, Asante Sana…
https://amkamtanzania.com/2024/12/21/%F0%9F%AB%B5%F0%9F%8F%BEni-wewe-asante-sana/

. Rafiki,Timu ya SOMA VITABU TANZANIA tunakushukuru sana wewe kwa kuwa pamoja nasi mwaka 2024. Wewe umekuwa sehemu sana ya […]
Siri Za Hadithi Za Mauzo-Ofa Ya Mwaka Mpya
https://amkamtanzania.com/2025/01/02/siri-za-hadithi-za-mauzo-ofa-ya-mwaka-mpya/

Mpendwa Rafiki, Heri Ya Kuuanza Salama Mwaka Mpya 2025 Nakumbuka jana mchana ilivyokuwa, nilikuwa nikiwasiliana na rafiki yangu Wa nguvu […]
Siri Za Ujuzi Wa Copywriting Zenye Nguvu..
https://amkamtanzania.com/2025/01/04/siri-za-ujuzi-wa-copywriting-zenye-nguvu/

Mpendwa Rafiki, Bado nakumbuka hapo nyuma, Nilipokuwa naianza safari yangu ya uandishi wa matangazo, nilidhani kila kitu ni kuhusu maneno […]
Shuhuda Ya Saida…
https://amkamtanzania.com/2025/01/04/shuhuda-ya-saida/

“Kwa muda mrefu, nilikuwa nashindwa kuzisimamia fedha zangu. Nilikuwa nikipoteza pesa Nyingi sana bila kujua jinsi ya kuzidhibiti. Lakini Baada […]
Nguvu Ya Hadithi Zinazogusa Hisia Na Moyo…
https://amkamtanzania.com/2025/01/04/nguvu-ya-hadithi-zinazogusa-hisia-na-moyo/

Mpendwa Rafiki, Mara Zote Kumbuka hii…Wateja hawakumbuki bei, wanakumbuka hisia ulizowapa. Tangazo linalogusa moyo linauza zaidi ya bidhaa – linauza […]