SOMA VITABU TANZANIA📚
1.14K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.6K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
Je, Wateja Wako Wanapata Thamani Wanayostahili?Ikiwa Hapana, Soma Hii!
https://amkamtanzania.com/2024/12/05/je-wateja-wako-wanapata-thamani-wanayostahiliikiwa-hapana-soma-hii/

Mpendwa Rafiki, Wateja wanahama haraka kwa sababu hawaoni tofauti kati ya huduma zako na zile za washindani wako. Bila kuwapa […]
Kwa Nini Mafanikio Yanakaa Mbali Na Wewe?
https://amkamtanzania.com/2024/12/06/kwa-nini-mafanikio-yanakaa-mbali-na-wewe/

Jibu Limefichwa Humu! Mpendwa Rafiki, Unaweka bidii, unafuata kila kanuni unayoijua, … lakini bado haufikii kilele cha mafanikio. Hii hali […]
Je, Buku Moja Inaweza Kuwa Mwokozi Wa Maisha Yako Ya Kifedha?…
https://amkamtanzania.com/2024/12/07/je-buku-moja-inaweza-kuwa-mwokozi-wa-maisha-yako-ya-kifedha/

Mpendwa Rafiki, Wengi wanaamini kuwa huwezi kuanza kujenga utajiri bila mamilioni, lakini je, hii ni kweli? Hii imesababisha watu wengi […]
Kwa Nini Watu Hawakusikilizi? Jibu Liko Ndani ya Kitabu Hiki….
https://amkamtanzania.com/2024/12/07/kwa-nini-watu-hawakusikilizi-jibu-liko-ndani-ya-kitabu-hiki/

Mpendwa Rafiki, Umegundua kuwa maoni yako mara nyingi hayachukuliwi kwa uzito unaostahili, na mara nyingi huwezi kuwashawishi watu kukubali kile […]
App Ya CHUO CHA MAUZO, Mfukoni Mwako!…
https://amkamtanzania.com/2024/12/07/app-ya-chuo-cha-mauzo-mfukoni-mwako/

Mpendwa Rafiki, Karibu kwenye App Ya CHUO Cha MAUZO, Hii ni zana ya kipekee iliyoundwa kwa ajili ya wauzaji, wafanyabiashara, […]
Tabia Moja Tu Inaweza Kubadilisha Maisha Yako. Je, Unajua Ni Ipi?…
https://amkamtanzania.com/2024/12/09/tabia-moja-tu-inaweza-kubadilisha-maisha-yako-je-unajua-ni-ipi/

Mpendwa Rafiki,Kila siku unajitahidi kufanikisha malengo yako, lakini matokeo hayalingani na juhudi unazoweka. Unapojaribu kufanikisha mambo makubwa, unajikuta ukirudia makosa […]
Heri Ya Sikukuu Ya Uhuru…
https://amkamtanzania.com/2024/12/09/heri-ya-sikukuu-ya-uhuru/

Mpendwa Rafiki, Kwasababu leo ni sikukuu ya kitaifa… Na kwakuwa tunakupenda sana, Basi tumeona tukuzawadie zawadi hizi mbili (2), Tafadhali! […]
Pesa Zako Zinaenda Wapi?…
https://amkamtanzania.com/2024/12/09/pesa-zako-zinaenda-wapi/

Mpendwa Rafiki, Unashindwa kujua pesa zako zinatumika vipi kila mwezi? Matumizi yasiyo ya mpangilio yanakufanya ushindwe kuokoa, kuwekeza, au kufanikisha […]
Je, Pesa Zinaweza Kukufanyia Kazi Badala Ya Wewe Kufanya Kazi Kwaajili Ya Kupata PESA?…
https://amkamtanzania.com/2024/12/10/je-pesa-zinaweza-kukufanyia-kazi-badala-ya-wewe-kufanya-kazi-kwaajili-ya-kupata-pesa/

Mpendwa Rafiki,Kila siku unatumia muda mwingi kufanya kazi ili kupata pesa, lakini hata hivyo hazikutoshi. Badala ya pesa kukufanyia kazi, […]
Je, Umewahi Kufikiria Kwa Nini Haujaweza Kutimiza Ndoto Zako Hadi Sasa?…
https://amkamtanzania.com/2024/12/10/je-umewahi-kufikiria-kwa-nini-haujaweza-kutimiza-ndoto-zako-hadi-sasa/

Mpendwa Rafiki, Unahisi muda haukutoshi kufanikisha ndoto zako kubwa. Unashindwa kuugawa vizuri muda wako kati ya kazi, familia, na malengo […]
Je, Unashindwa Kujiamini Unapowasiliana na Wateja Wapya?…
https://amkamtanzania.com/2024/12/10/je-unashindwa-kujiamini-unapowasiliana-na-wateja-wapya/

Mpendwa Rafiki, Ni jambo la kusikitisha sana, …kuona mauzo yakipotea kwa sababu hujui nini cha kusema au jinsi ya kujibu […]
Ukweli Uliofichwa: Buku Moja Ni Mbegu Ya Utajiri!…
https://amkamtanzania.com/2024/12/11/ukweli-uliofichwa-buku-moja-ni-mbegu-ya-utajiri/

Mpendwa Rafiki, Unadhani kiasi kidogo cha pesa hakiwezi kuleta mabadiliko yoyote makubwa. Hivyo, unashindwa kuanza kuokoa au kuwekeza kwa sababu […]
Unatafuta Wateja? Hii Ndio Siri Yako Ya Kuwa Na Mafuriko Ya Wateja!….
https://amkamtanzania.com/2024/12/11/47899/

Mpendwa Rafiki, Unapambana kupata wateja wapya kila siku, … lakini juhudi zako hazileti matokeo unayotarajia. Biashara yako inakosa mwelekeo wa […]
Unapoteza Pesa Kila Siku Bila Kujua! Ukweli Huu Hapa!…
https://amkamtanzania.com/2024/12/11/unapoteza-pesa-kila-siku-bila-kujua-ukweli-huu-hapa/

Mpendwa Rafiki, Kwa nini hauoni maendeleo katika akiba yako? Ni kwa sababu matumizi madogo madogo unayofanya kila siku hujikusanya na […]
Jinsi Ya Kuondokana Na Wasiwasi Wa Kifedha Milele….
https://amkamtanzania.com/2024/12/12/jinsi-ya-kuondokana-na-wasiwasi-wa-kifedha-milele/

Mpendwa Rafiki, Matatizo ya kifedha yamekuwa chanzo cha hofu na presha maishani mwako. Unajikuta kila mara ukiwa na mawazo juu […]
Aplikesheni Ya CHUO CHA MAUZO – Mkombozi wa Wauzaji!…
https://amkamtanzania.com/2024/12/12/aplikesheni-ya-chuo-cha-mauzo-mkombozi-wa-wauzaji/

Mpendwa Rafiki, CHUO CHA MAUZO ni app inayokufundisha mbinu bora za mauzo kwa urahisi, popote ulipo. Kupitia masomo yaliyoundwa kwa […]
Siku Hazigandi, Lakini Buku Lako Linaweza Kukuokoa…
https://amkamtanzania.com/2024/12/13/siku-hazigandi-lakini-buku-lako-linaweza-kukuokoa/

Mpendwa Rafiki, Hapo mwanzo, Sarah alihisi kama hela alizokuwa nazo zilikuwa ndogo sana kuanza safari ya kuelekea utajiri. Alihisi maisha […]
Jinsi Ya Kuwa Bingwa Wa Mauzo Katika Sekta Yoyote..
https://amkamtanzania.com/2024/12/13/jinsi-ya-kuwa-bingwa-wa-mauzo-katika-sekta-yoyote/

Mpendwa Rafiki, Unajitahidi kufanikisha mauzo, lakini bado haujapata mbinu za kukuza biashara yako kwa kasi unayohitaji. Kila siku inayopita bila […]
Maisha Ni Shule Ambayo Haina Kuhitimu,Bali Ina mitiani..
https://amkamtanzania.com/2024/12/13/maisha-ni-shule-ambayo-haina-kuhitimubali-ina-mitiani/

Mpendwa Rafiki, Ndivyo ilivyo kwenye ulimwengu wa biashara. Kwani biashara nayo ni shule ambayo haina kuhitimu, bali ina mitiani migumu. […]
App Rahisi Ya Kudhibiti Fedha Zako Kiganjani Mwako!
https://amkamtanzania.com/2024/12/13/app-rahisi-ya-kudhibiti-fedha-zako-kiganjani-mwako/

Mpendwa Rafiki, Unapokea kipato kila mwezi, lakini mwisho wa mwezi haujui pesa zimeenda wapi? Hali ya kutokujua unatumiaje pesa zako […]