SOMA VITABU TANZANIA📚
1.14K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.6K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
Hivi Umeshawahi Kufikiria Ni Jinsi Gani Buku Moja Inaweza Kubadilisha Maisha Yako Mazima?…
https://amkamtanzania.com/2024/11/25/hivi-umeshawahi-kufikiria-ni-jinsi-gani-buku-moja-inaweza-kubadilisha-maisha-yako-mazima/

Mpendwa Rafiki, Watu wengi wanaamini kuwa kiasi kidogo cha pesa hakiwezi kubadilisha maisha yao. Wanadhani ni lazima wawe na maelfu […]
Ukiwa Na Malengo Makubwa Na Usiyafikie Ufanisi Wako Unakuwa Mkubwa Sana, Kuliko Yule Mwenye Malengo Madogo Na Akayafikia…
https://amkamtanzania.com/2024/11/25/ukiwa-na-malengo-makubwa-na-usiyafikie-ufanisi-wako-unakuwa-mkubwa-sana-kuliko-yule-mwenye-malengo-madogo-na-akayafikia/

Mpendwa Rafiki, Kila mmoja wetu anajua umuhimu wa kuwa na malengo kwenye maisha yake, Na kila mtu ana malengo yake […]
Je, Tabia Zako Zinakuzuia Kuwa TAJIRI?…
https://amkamtanzania.com/2024/11/26/je-tabia-zako-zinakuzuia-kuwa-tajiri/

Mpendwa Rafiki, Watu wengi wanashindwa kufikia utajiri na furaha kwa sababu ya tabia wanazozijenga bila kujua zinawazuia kufanikiwa. Inasikitisha kuona […]
Utajiri Unaanza Na Mtazamo Sahihi…
https://amkamtanzania.com/2024/11/26/utajiri-unaanza-na-mtazamo-sahihi/

Mpendwa Rafiki, Ukweli ni kwamba, Mtazamo wako ndio unaoamua hatima yako kifedha. Badala ya kuona pesa zako kama kikwazo, zione […]
Kwa Nini Biashara Yako Inapaswa Kuanza Leo, Na Sio Kesho?…
https://amkamtanzania.com/2024/11/27/kwa-nini-biashara-yako-inapaswa-kuanza-leo-na-sio-kesho/

Mpendwa Rafiki, Wengi husubiri muda mwafaka wa kuanza biashara, …lakini muda huo haujawahi kufika. Hii inawazuia kufanikisha malengo yao. Je, […]
Mauzo Sio Kushawishi, Ni Kutoa Thamani…
https://amkamtanzania.com/2024/11/27/mauzo-sio-kushawishi-ni-kutoa-thamani/

Mpendwa Rafiki, Wateja wengi wanapohisi wanalazimishwa kununua, hujitenga na bidhaa zako. Hili husababisha presha na kupoteza wateja, …huku ukikosa fursa […]
Kwa Nini Biashara Nyingi Zinakufa Kabla Ya Mwaka Wa Kwanza?
https://amkamtanzania.com/2024/11/28/kwa-nini-biashara-nyingi-zinakufa-kabla-ya-mwaka-wa-kwanza/

Mpendwa Rafiki, Takwimu zinaonyesha kuwa biashara nyingi hufungwa ndani ya mwaka mmoja kwa sababu ya ukosefu wa maarifa ya msingi. […]
Mtaji Hauanzii Kwenye Mkono, Unaanzia Kwenye Akili…
https://amkamtanzania.com/2024/11/28/mtaji-hauanzii-kwenye-mkono-unaanzia-kwenye-akili/

Mpendwa Rafiki, Watu wengi wanahisi hawawezi kukuza mtaji bila kuwa na pesa nyingi. Matokeo yake, wanakosa fursa na kubaki wakisubiri […]
Kwa Nini Maisha Yako Hayabadiliki? Jibu Liko Ndani Ya Kitabu Hiki!…
https://amkamtanzania.com/2024/11/29/kwa-nini-maisha-yako-hayabadiliki-jibu-liko-ndani-ya-kitabu-hiki/

Mpendwa Rafiki, Maisha yako yanaweza kuwa katika hali ya kutoridhisha kwa sababu ya kukosa mbinu sahihi za kufanya mabadiliko makubwa. […]
Uhuru Wa Maisha Yako…
https://amkamtanzania.com/2024/11/29/uhuru-wa-maisha-yako/

Mpendwa Rafiki, Wengi huogopa kufuata maono yao kwa sababu ya hofu ya kushindwa. Hii husababisha maisha ya kujuta na kushindwa […]
Je, Wateja Wako Wanajua Kwanini Wanapaswa Kununua Kutoka Kwako?…
https://amkamtanzania.com/2024/11/30/je-wateja-wako-wanajua-kwanini-wanapaswa-kununua-kutoka-kwako/

Mpendwa Rafiki, Wauzaji wengi hushindwa kuwashawishi wateja kwa sababu hawajui jinsi ya kuonyesha thamani ya bidhaa zao. Unakosa wateja kwa […]
Furaha, Msongo Na Ustahimilivu.
https://amkamtanzania.com/2024/11/30/furaha-msongo-na-ustahimilivu/

Mpendwa Rafiki, Kukata tamaa, kukosa Furaha, kupata msongo ni kwasababu ya kukosa ustahimilivu, Ili kupata ustahimilivu fanya mambo haya matatu […]
Je, Uko Tayari Kufanikisha Malengo Yako Kwa Kutumia Siri Za Muda?…
https://amkamtanzania.com/2024/12/02/je-uko-tayari-kufanikisha-malengo-yako-kwa-kutumia-siri-za-muda/

Mpendwa Rafiki, Watu wengi wanapishana na mafanikio kwa sababu hawajui siri ya kupanga na kutumia muda vizuri. Fikiria jinsi unavyoweza […]
Kwa Nini Uchague App Ya CHUO Cha MAUZO?…
https://amkamtanzania.com/2024/12/02/kwa-nini-uchague-app-ya-chuo-cha-mauzo/

Kwasababu ni…, Rahisi kutumia: Pata mafunzo unayohitaji popote ulipo. Inategemewa: Mafunzo yaliyotolewa yamejaribiwa na kuthibitishwa na wataalamu wa mauzo. Inalenga […]
Je, Uko Tayari Kuhakikisha Wateja Wanamiminika Kwa Wingi Kwenye Biashara Yako?…
https://amkamtanzania.com/2024/12/03/je-uko-tayari-kuhakikisha-wateja-wanamiminika-kwa-wingi-kwenye-biashara-yako/

Mpendwa Rafiki, Kila mfanyabiashara anajua umuhimu wa wateja, lakini si kila mmoja anajua jinsi ya kuwavutia. Kila siku unapambana ili […]
Siri Wanayoficha Matajiri Kuhusu Akiba Na Matumizi Yako!…
https://amkamtanzania.com/2024/12/03/siri-wanayoficha-matajiri-kuhusu-akiba-na-matumizi-yako/

Mpendwa Rafiki, Matajiri wanaonekana kuwa na uhuru wa kifedha, lakini je, unajua siri yao kubwa? Wana mfumo madhubuti wa kufuatilia […]
Mbegu Ya Utajiri Ipo Mikononi Mwako…
https://amkamtanzania.com/2024/12/03/mbegu-ya-utajiri-ipo-mikononi-mwako/

Mpendwa Rafiki, Wengi huamini hawawezi kujenga utajiri bila pesa nyingi, hivyo huacha kuokoa buku Zao. Kila buku unayotumia hovyo ni […]
Kwa Nini Wateja Wanakupa Ahadi Bila Kununua?…
https://amkamtanzania.com/2024/12/04/kwa-nini-wateja-wanakupa-ahadi-bila-kununua/

Hii Ndio Siri Ya Kuzima “Nitafikiria”! Mpendwa Rafiki, Unajitahidi sana kuuza, lakini kila mara wateja wanakuambia “Nitafikiria” au “Nitarudi baadaye”. […]
Fungua Milango Ya Fursa Katika Biashara Yako!…
https://amkamtanzania.com/2024/12/04/fungua-milango-ya-fursa-katika-biashara-yako/

Habari!, Je, unajua siri ya kuwa miongoni mwa wauzaji bora duniani? Ni kujifunza mbinu bora za mauzo kila siku! Wauzaji […]
Pata Vitabu Bora Vya Mafanikio, Fedha, Mauzo na Biashara…
https://amkamtanzania.com/2024/12/05/pata-vitabu-bora-vya-mafanikio-fedha-mauzo-na-biashara/

Rafiki,Huwa wanasema ukitaka kuwaficha wengi kitu, weka kwenye kitabu.Vitabu vina hazina kubwa, ila wengi wanaikosa kwa kutokusoma. Ili kukurahisishia wewe […]