SOMA VITABU TANZANIA📚
1.14K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.6K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
Hii Ndiyo Hatua Ya Kwanza na Muhimu Sana Ambayo Itakusaidia Kupiga Hatua Kubwa Kifedha 2024…
https://amkamtanzania.com/2024/11/11/hii-ndiyo-hatua-ya-kwanza-na-muhimu-sana-ambayo-itakusaidia-kupiga-hatua-kubwa-kifedha-2024/

Mpendwa Rafiki, Kwa kuanza na Kudhibiti matumizi yako na kuokoa fedha ambazo umekuwa unapoteza, utaweza kupiga hatua kubwa kifedha. Kwani […]
Uwekezaji Ambao Utakulipa Mara Dufu Kesho…
https://amkamtanzania.com/2024/11/12/uwekezaji-ambao-utakulipa-mara-dufu-kesho/

Mpendwa Rafiki, Uwekezaji ni kitu kizuri. Kiukweli uwekezaji ni kitu ambacho kinampa yule anayewekeza ridhiko la moyo wake, Na inamfanya […]
Unataka Kutimiza Malengo Yako Ya Kifedha?
https://amkamtanzania.com/2024/11/13/unataka-kutimiza-malengo-yako-ya-kifedha/

Anza na BUKU Moja. Mpendwa Rafiki, Watu wengi wanahisi kushindwa kufikia malengo yao ya kifedha kwa sababu hawana mtaji mkubwa […]
Kipindi; #OngeaNaKocha2425-012

Muda; saa 11 alfajiri, tarehe 14/11/2024

Mada; Wazo La Biashara (Kupata kwa wanaoingia na kuboresha kwa wenye biashara).

Rejea; Sura ya 1 ya kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA.

Kupata kitabu softcopy; https://mafunzo.mauzo.tz/#/view/shop-item/15/

Usikose.
Kipindi; #OngeaNaKocha2425-012

Muda; saa 11 alfajiri, tarehe 14/11/2024

Mada; Wazo La Biashara (Kupata kwa wanaoingia na kuboresha kwa wenye biashara).

Rejea; Sura ya 1 ya kitabu cha ELIMU YA MSING
Kwa Nini Kuwa Na Akiba Ya Dharura Ni Muhimu?…
https://amkamtanzania.com/2024/11/14/kwa-nini-kuwa-na-akiba-ya-dharura-ni-muhimu/

Mpendwa Rafiki, Matatizo ya kifedha yasiyotegemewa yanaweza kukujia wakati wowote, na kutokuwa na akiba ya dharura kunaweza kukuweka kwenye matatizo […]
Usikubali Kipato Chako Kikuzuie Kufikia Ndoto Zako!
https://amkamtanzania.com/2024/11/15/usikubali-kipato-chako-kikuzuie-kufikia-ndoto-zako/

Mpendwa Rafiki, Kipato chako cha sasa kinaweza kuonekana kama kikwazo kikubwa kwa ndoto zako za kifedha. Kwa sababu kila wakati […]
Shtuka! Utajiri Hauhitaji Mtaji Mkubwa-Anzia Hapo Ulipo Sasa.
https://amkamtanzania.com/2024/11/16/shtuka-utajiri-hauhitaji-mtaji-mkubwa-anzia-hapo-ulipo-sasa/

Mpendwa Rafiki, Watu wengi wanaamini kwamba Ili kujenga utajiri na uhuru wa kifedha ni Lazima uwe na mtaji mkubwa, Huku […]
Unataka Kuwa Mshindi Kwenye Mauzo?-Huu Ndio Ujuzi Unaohitaji…
https://amkamtanzania.com/2024/11/18/unataka-kuwa-mshindi-kwenye-mauzo-huu-ndio-ujuzi-unaohitaji/

Mpendwa Rafiki, Kila muuzaji anatamani kuwa mshindi, lakini bila ujuzi sahihi, ni rahisi kushindwa kwenye soko lenye ushindani mkubwa. Kushindwa […]
Kupata Ridhiko La Moyo Cheza Ili Kuendelea Kucheza Nasio Kushindana -Ukitaka Kuvurugwa Nenda Na Ya Pili.
https://amkamtanzania.com/2024/11/18/kupata-ridhiko-la-moyo-cheza-ili-kuendelea-kucheza-nasio-kushindana-ukitaka-kuvurugwa-nenda-na-ya-pili/

Mpendwa Rafiki, Watu wengi sana, wanashindwa kupiga hatua kubwa sana Kwenye maisha yao. Nasio kwasababu wana uwezo mdogo Sana, Bali […]
Kwa Nini Wengine Wanatimiza Malengo Yao Huku Wewe Ukihangaika Na Ratiba Yako?
https://amkamtanzania.com/2024/11/19/kwa-nini-wengine-wanatimiza-malengo-yao-huku-wewe-ukihangaika-na-ratiba-yako/

Mpendwa Rafiki, Kila mtu anapambana na ratiba yenye shughuli nyingi, lakini wachache tu ndio wanaonekana kutimiza malengo yao. Inakera kuona […]
Tabia Unayoipenda Na Usiyoipenda…
https://amkamtanzania.com/2024/11/19/tabia-unayoipenda-na-usiyoipenda/

Mpendwa Rafiki, Kama unataka kujenga Tabia yoyote ile unayoipenda, Au unataka kuacha tabia ambayo huipendi. Basi Zingatia Mambo Haya Manne […]
Je, Unaamini Kwamba Miujiza Inaweza Kuwa Sehemu Ya Maisha Yako Ya Kila Siku?
https://amkamtanzania.com/2024/11/20/je-unaamini-kwamba-miujiza-inaweza-kuwa-sehemu-ya-maisha-yako-ya-kila-siku/

Mpendwa Rafiki, Kuna watu wanaamini kwamba miujiza ni vitu nadra Sana ambavyo huwatokea watu maalum pekee, na sio wao. Ujue […]
Ugumu Na Wepesi Wa Jambo…
https://amkamtanzania.com/2024/11/20/ugumu-na-wepesi-wa-jambo/

Mpendwa Rafiki, Leo ukikaa na ukachunguza kwa umakini, Utagundua wepesi au ugumu wa jambo unaanzia ndani… Ndani ya moyo. Lakini […]
Jinsi Ya Kuepuka Makosa Ambayo Wengi Hufanya Wanapoanzisha Biashara…
https://amkamtanzania.com/2024/11/21/jinsi-ya-kuepuka-makosa-ambayo-wengi-hufanya-wanapoanzisha-biashara/

Mpendwa Rafiki, Watu wengi huanzisha biashara kwa matumaini makubwa lakini wanakutana na changamoto za kibiashara zinazowakatisha tamaa haraka. Ni rahisi […]
Kuijua Biashara Kwa Kina Gusa Mambo Haya Matatu (3) Ndani Ya Sekunde 60 TU…
https://amkamtanzania.com/2024/11/21/kuijua-biashara-kwa-kina-gusa-mambo-haya-matatu-3-ndani-ya-sekunde-60-tu/

Mpendwa Rafiki, Hongera, kama umeshajua biashara sahihi kwako kufanya. Kama bado kaa chini uchague kwanza, Kwani hii hatua ya pili […]
Siri Za Mafanikio Ambazo Hazija Wahi Kuwa Kwenye Vitabu Vingine!…
https://amkamtanzania.com/2024/11/22/siri-za-mafanikio-ambazo-hazija-wahi-kuwa-kwenye-vitabu-vingine/

Mpendwa Rafiki, Wengi wamejifunza mbinu mbalimbali za mafanikio, lakini bado wanajikuta wakikosa mwelekeo wa kweli wa kuyafikia. Ni kama unakosa […]
Hamasa Isiyodumu Na Inayodumu…
https://amkamtanzania.com/2024/11/22/hamasa-isiyodumu-na-inayodumu/

Mpendwa Rafiki, Kwenye mafanikio kuna matokeo ya aina mbili ya hamasa, Aina ya kwanza ni hamasa ya isiyodumu, na… Aina […]
Kwa Nini Wengine Wanapata Raha Kwenye Mauzo Huku Wewe Ukihangaika?…
https://amkamtanzania.com/2024/11/23/kwa-nini-wengine-wanapata-raha-kwenye-mauzo-huku-wewe-ukihangaika/

Mpendwa Rafiki, Umeona watu wengine wakifurahia kuuza huku wakipata mafanikio makubwa, …lakini kwako unaona kama ni kazi ngumu. Unapambana na […]
Ushindi Mkuu Upo Kabla Jua Halijachomoza…
https://amkamtanzania.com/2024/11/23/ushindi-mkuu-upo-kabla-jua-halijachomoza/

Mpendwa Rafiki, Kama unataka upate ushindi wa kweli kwenye siku yako, Basi amka asubuhi na mapema, Kwani itakusaidia kuianza siku […]