SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.14K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.6K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
Taarifa Muhimu Kwa Washiriki Wa Programu Ya Nguvu Ya Buku.
https://amkamtanzania.com/2024/09/27/taarifa-muhimu-kwa-washiriki-wa-programu-ya-nguvu-ya-buku/

Habari njema Matajiri Wawekezaji, Nichukue nafasi hii kuwapongeza kwa mchakato wa uwekezaji ambao tunaendelea nao kwenye programu yetu ya NGUVU […]
KUMBUKA; Mipango Siyo Matumizi.
https://amkamtanzania.com/2024/09/28/kumbuka-mipango-siyo-matumizi/

Mpendwa, Hapo Nyuma Rafiki alikuwa anaingiza kipato kizuri sana, lakini matumizi yake yalikuwa hayana mpangilio. Alijikuta akimaliza fedha zote kabla […]
Alikuwa Ana Ndoto Ya Kufungua Biashara-Lakini Alihitaji Msaada.
https://amkamtanzania.com/2024/09/28/alikuwa-ana-ndoto-ya-kufungua-biashara-lakini-alihitaji-msaada/

Mpendwa, Kipindi hicho Mary alitaka kufungua duka lake, lakini alikosa mtaji wa kutosha. Kipato chake kidogo kilimzuia kufikia lengo lake. […]
Kila Mwaka Aliahidi Kuongeza Kipato Chake-Lakini Hakuna Kilichobadilika…
https://amkamtanzania.com/2024/09/30/kila-mwaka-aliahidi-kuongeza-kipato-chake-lakini-hakuna-kilichobadilika/

Mpendwa, Kipindi kile Eliya alikuwa akiweka malengo kila mwaka ya kuongeza kipato chake, lakini kila mara alijikuta katika hali ile […]
Leo Ndiyo Siku Ya Mwisho Kulipia Semina Ya Usimamizi Wa Fedha Binafsi.
https://amkamtanzania.com/2024/09/30/leo-ndiyo-siku-ya-mwisho-kulipia-semina-ya-usimamizi-wa-fedha-binafsi/

Rafiki yangu mpendwa, Kwa muda sasa tumekuwa tunakupa habari njema za SEMINA YA USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI 2024. Hii ni […]
ATTENTION; Leo Ndiyo Mwisho! Usikose Fursa ya Kipekee ya Semina ya USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI 2024!
https://amkamtanzania.com/2024/09/30/attention-leo-ndiyo-mwisho-usikose-fursa-ya-kipekee-ya-semina-ya-usimamizi-wa-fedha-binafsi-2024/

Habari Rafiki, Leo ndiyo siku ya mwisho ya kuthibitisha ushiriki wako kwenye semina ya kipekee ya USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI […]
Jifunze Siri Za Mafanikio Ya Kifedha Na Kitabu Kipya Cha USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI!!…
https://amkamtanzania.com/2024/10/01/jifunze-siri-za-mafanikio-ya-kifedha-na-kitabu-kipya-cha-usimamizi-wa-fedha-binafsi/

Habari Rafiki, Unajua kuwa njia bora ya kufikia uhuru wa kifedha ni kupitia maarifa sahihi? Kitabu kipya cha USIMAMIZI WA […]
Boresha Maisha Yako Kifedha kwa Ujuzi Rahisi!.
https://amkamtanzania.com/2024/10/01/boresha-maisha-yako-kifedha-kwa-ujuzi-rahisi/

Kitabu cha USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI Kipo Tayari kwa Ajili Yako. Habari Rafiki, Wengi wamepata mafanikio makubwa kifedha kupitia maarifa […]
3563; Kitu kibaya kuliko ujinga.
https://amkamtanzania.com/2024/10/02/3563-kitu-kibaya-kuliko-ujinga/

3563; Kitu kibaya kuliko ujinga. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Ujinga ni kikwazo kikubwa cha mafanikio kwa walio […]
3564; Biashara inayolipa zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/10/03/3564-biashara-inayolipa-zaidi/

3564; Biashara inayolipa zaidi. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Swali la biashara gani inayolipa zaidi limekuwa linaulizwa kila […]
Unajua PESA Zako Zinaenda Wapi Kila Mwezi?…
https://amkamtanzania.com/2024/10/03/unajua-pesa-zako-zinaenda-wapi-kila-mwezi/

Mpendwa, Watu wengi hupokea kipato chao kila mwisho WA mwezi na kujikuta bila pesa baada ya muda mfupi. Unahisi kipato […]
Je, Unataka Kujifunza Njia Za Uhakika Za Kuwa Na Uhuru Wa Kifedha?…
https://amkamtanzania.com/2024/10/04/je-unataka-kujifunza-njia-za-uhakika-za-kuwa-na-uhuru-wa-kifedha/

Jipatie Tiketi Ya Semina Yetu Leo!” Mpendwa, Uhuru wa kifedha ni ndoto ya kila mtu, lakini si kila mtu anayejua […]
*Mbinu Za Kudhibiti Pesa Na Kuongeza Kipato Zinaweza Kubadilisha Maisha Yako. Je, Uko Tayari?
https://amkamtanzania.com/2024/10/04/mbinu-za-kudhibiti-pesa-na-kuongeza-kipato-zinaweza-kubadilisha-maisha-yako-je-uko-tayari/

Mpendwa, Wengi wanashindwa kupata mafanikio ya kifedha kwa sababu hawana mbinu sahihi za kudhibiti matumizi yao na kuongeza kipato chao. […]
3566; Tofauti na matarajio.
https://amkamtanzania.com/2024/10/05/3566-tofauti-na-matarajio/

3566; Tofauti na matarajio. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Wanaoianza safari ya mafanikio huwa ni wengi. Lakini wengi […]
3567; Epuka kupoteza.
https://amkamtanzania.com/2024/10/06/3567-epuka-kupoteza/

3567; Epuka kupoteza. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Mafanikio kwenye maisha hayatokani tu na kupata kitu, bali kuweza […]
3568; Mzunguko wa Upendo.
https://amkamtanzania.com/2024/10/07/3568-mzunguko-wa-upendo/

3568; Mzunguko wa Upendo. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Kama kuna kitu kimoja ambacho kinaweza kumpa mtu mafanikio […]
Pesa Zinaweza Kuzalishwa Kwa Njia Sahihi! Jifunze Njia Hizo Kwenye Semina Yetu.
https://amkamtanzania.com/2024/10/07/pesa-zinaweza-kuzalishwa-kwa-njia-sahihi-jifunze-njia-hizo-kwenye-semina-yetu/

Mpendwa, Hivi unajua kuwa pesa zako zinaweza kukusaidia kupata PESA zaidi? Ni kweli, lakini ni lazima ujue mbinu sahihi za […]
Je, Umekuwa Ukihangaika Na Madeni? Wakati Wako Wa Kujinasua Umefika!
https://amkamtanzania.com/2024/10/07/je-umekuwa-ukihangaika-na-madeni-wakati-wako-wa-kujinasua-umefika/

Mpendwa, Madeni yanaweza kukufanya ukose Amani, madeni yanaweza kukukosesha Furaha, madeni yanaweza Kukufanya uishi Kwa mashaka, madeni yanaweza kukukosesha usingizi. […]
Usikubali Kukosa Fursa Ya Kujifunza Jinsi Ya Kuongeza Kipato Chako! Jiunge na Semina Yetu Sasa.
https://amkamtanzania.com/2024/10/07/usikubali-kukosa-fursa-ya-kujifunza-jinsi-ya-kuongeza-kipato-chako-jiunge-na-semina-yetu-sasa/

Mpendwa, Kila mmoja anatamani kuongeza kipato chake, lakini si kila mtu anayejua jinsi ya kufanya hivyo. Wewe Unataka Kuboresha Hali […]
Je Wewe Ni Mmoja Wa Wale Wanaotumia PESA Kwa Pupa?
https://amkamtanzania.com/2024/10/08/je-wewe-ni-mmoja-wa-wale-wanaotumia-pesa-kwa-pupa/

Hii ni Fursa Yako Ya Kubadilika! Mpendwa, Matumizi yasiyopangwa yanaweza kukuharibia mipango yako ya kifedha. Je, umekuwa ukijikuta unatumia pesa […]