SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.14K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.6K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
Mtoto Anahitaji Elimu Bora, Lakini PESA Zipo Wapi?…
https://amkamtanzania.com/2024/09/21/mtoto-anahitaji-elimu-bora-lakini-pesa-zipo-wapi/

Mary alihitaji kuwekeza kwenye Elimu bora kwa ajili ya Mtoto wake, lakini kila mara fedha zilikuwa zinakwisha hata kabla ya […]
3552; Hakuna kingine muhimu zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/09/21/3552-hakuna-kingine-muhimu-zaidi/

3552; Hakuna kingine muhimu zaidi. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Kama ingekuwa kutaka mafanikio ndiyo kufanikiwa kwenyewe, kila […]
Jenga Ubobezi Ili Kuwa Muuzaji Bora Na Kufanya Mauzo Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/09/23/jenga-ubobezi-ili-kuwa-muuzaji-bora-na-kufanya-mauzo-makubwa/

Habari njema wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya CHUO CHA MAUZO, kwenye eneo la […]
Kosa Langu Lilivyoigharimu Biashara Yangu.
https://amkamtanzania.com/2024/09/23/kosa-langu-lilivyoigharimu-biashara-yangu/

Rafiki alikuwa na biashara nzuri, lakini matumizi yasiyopangiliwa yalikuwa yakimeza Faida Yote. Hakuweza kufanya uwekezaji wowote mpya, na biashara ilianza […]
Zimebaki Siku 7 Kupata Fursa Hii Kwa Gharama Nafuu Kwako.
https://amkamtanzania.com/2024/09/23/zimebaki-siku-7-kupata-fursa-hii-kwa-gharama-nafuu-kwako/

Rafiki yangu mpendwa, Nimekuwa nakupata taarifa za tukio kubwa la mafanikio linalotokea mara moja tu kwa mwaka. Tukio hilo ni […]
Alikuwa na Kazi Nzuri Lakini Hakupata Maendeleo…
https://amkamtanzania.com/2024/09/23/alikuwa-na-kazi-nzuri-lakini-hakupata-maendeleo/

Rafiki Yangu Mpendwa, Hapo Nyuma, Nadia alihisi kuwa kazi yake haimpatii kipato kizuri ambacho kinamletea maendeleo kwenye maisha yake. Hali […]
3554; Okoa Pesa Zako.
https://amkamtanzania.com/2024/09/23/3554-okoa-pesa-zako/

3554; Okoa Pesa Zako. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Pesa zako zinawindwa sana. Jinsi wewe unavyopambana kupata pesa, […]
Tumia Udhamini Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/09/24/tumia-udhamini-kufikia-wateja-wengi-zaidi/

Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo […]
Toa Kafara Hii Kama Unataka Kuendelea Kunufaika Na Maarifa Bora Kwako Kufanikiwa.
https://amkamtanzania.com/2024/09/24/toa-kafara-hii-kama-unataka-kuendelea-kunufaika-na-maarifa-bora-kwako-kufanikiwa/

Rafiki yangu mpendwa, Kwenye maisha huwa kuna kafara ambazo mtu unapaswa kuzitoa ili upate kile unachotaka. Na kadiri kile unachotaka […]
Alikuwa na Wazo Bora La Biashara Lakini Hajawahi Kuwa na Ujasiri Wa Kulitekeleza.
https://amkamtanzania.com/2024/09/24/alikuwa-na-wazo-bora-la-biashara-lakini-hajawahi-kuwa-na-ujasiri-wa-kulitekeleza/

Rafiki Yangu Mpendwa, Tangu Mwaka Juzi, Kagoma alikuwa na wazo Bora sana la biashara ambalo alidhani lingebadilisha maisha yake Mazima, […]
Alikaribia Kuzama Kwenye Madeni-Lakini Sasa Anaweza Kudhibiti PESA Zake…
https://amkamtanzania.com/2024/09/24/alikaribia-kuzama-kwenye-madeni-lakini-sasa-anaweza-kudhibiti-pesa-zake/

Rafiki Yangu Mpendwa, Kipindi Kile Mirian alikuwa kwenye hali mbaya Sana kifedha. Alikuwa na madeni ya benki, mikopo ya gari, […]
Hivi Umeshawahi Kupata Kipato Kikubwa, Lakini Hujui Kilitumikaje?…
https://amkamtanzania.com/2024/09/25/hivi-umeshawahi-kupata-kipato-kikubwa-lakini-hujui-kilitumikaje/

Mpendwa,Mara nyingi, unaweza kupata kipato kizuri, lakini mwishowe hujui pesa zako zinapotelea wapi. Unaishi mwezi kwa mwezi, ukijitahidi kugawa fedha […]
Kila Mara Alijitahidi Kuweka Akiba, Lakini Kila Wakati Alipoteza.
https://amkamtanzania.com/2024/09/25/kila-mara-alijitahidi-kuweka-akiba-lakini-kila-wakati-alipoteza/

Samuel alijaribu kuweka akiba kila mwezi, lakini kila wakati alijikuta akitumia fedha hizo kwa dharura zisizotarajiwa. Alijisikia kukosa uwezo wa […]
*KUWA TAYARI KWA YASIYOTARAJIWA*

Rafiki,
Kwenye maisha dharura ni kitu kinachotokea bila taarifa. Kwa bahati mbaya hutokea katika kipindi kibaya. Unaweza kuwa unaunwa au huna pesa ikajitokeza vitu kama kufiwa, kupata ajari au kupoteza kazi.

Bila kuwa na ulinzi wa fedha sehemu fulani unajikuta kwenye madeni mengi na migogoro mingi. Ndiyo maana vitu kama bima ya afya na akiba ni muhimu kukuokoa katika nyakati hizo. Unachotakiwa Sasa ni kubadilika na kuanza kuwekeza sehemu ya kipato chako. Robert Kiyosaki aliwahi kusema; *Ikiwa unataka kuwa huru kifedha, unahitaji kuwa mtu tofauti na ulivyo leo na kuachana na chochote kinachokuzuia hapo awali*

*Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.*

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.

2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.

3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.

4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.

5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.

6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.

7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

*Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.*

Kushiriki piga simu au tuma ujumbe wa kawaida kwenda namba 0752977175 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa utaratibu mzima na nafasi ya kushiriki.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Wasiliana sasa na namba 0752977175
UHAKIKA; Hii Siri Itakupa Matokeo Makubwa na Uelekeo Sahihi Wa Kifedha 2025…
https://amkamtanzania.com/2024/09/25/uhakika-hii-siri-itakupa-matokeo-makubwa-na-uelekeo-sahihi-wa-kifedha-2025/

Mpendwa, Kila siku unaingiza kipato, lakini hujui jinsi ya kukipangilia vizuri na kwa usahihi hivyo inakupelekea kukimaliza bila habari. Na […]
Habari Njema; Nafasi Ya Kupata Semina Kwa Njia Ya Mtandao.
https://amkamtanzania.com/2024/09/26/habari-njema-nafasi-ya-kupata-semina-kwa-njia-ya-mtandao/

Rafiki yangu mpendwa, Kwa muda sasa tumekuwa tunakupa habari njema za SEMINA YA USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI 2024. Hii ni […]
Anza na Hii Kama Bado Haujaanza Kuwekeza au Ungependa Kuanza Kuwekeza Leo…
https://amkamtanzania.com/2024/09/26/anza-na-hii-kama-bado-haujaanza-kuwekeza-au-ungependa-kuanza-kuwekeza-leo/

Mpendwa,Hapo mwanzo Juma alijaribu kuwekeza fedha zake kwenye hisa, lakini alikosa maarifa sahihi ya Uwekezaji na ikapelekea apoteze fedha zake.. […]
Hivi Kipato Chako Huwa Kinapoteleaga Wapi?…
https://amkamtanzania.com/2024/09/26/hivi-kipato-chako-huwa-kinapoteleaga-wapi/

Majibu Yote Hadharani! Mpendwa, unaweza ukawa na kipato kizuri, lakini kila mara hujui kinapokwenda. Unaenda Mbali Zaidi na kujiuliza, je, […]
Rafiki, Naomba Unisaidie Kukusaidia Kupata Kile Unachotaka.
https://amkamtanzania.com/2024/09/27/rafiki-naomba-unisaidie-kukusaidia-kupata-kile-unachotaka/

Rafiki yangu mpendwa, Falsafa yangu kuu kwenye maisha ni; Naweza kupata chochote ninachotaka kama nitawasaidia wengi zaidi kupata kile wanachotaka. […]