SOMA VITABU TANZANIA📚
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.6K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
Ni Wakati Wakupambana na Maadui Zako Wa Kifedha…
https://amkamtanzania.com/2024/09/16/ni-wakati-wakupambana-na-maadui-zako-wa-kifedha/

Pesa zinaisha haraka bila mipango, Mikopo isiyolipika, ….na maamuzi mabaya ya kifedha ni maadui wanaokuzunguka. Ni wakati wa kuwaangamiza hawa […]
Tumia Wapambe Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/09/17/tumia-wapambe-kufikia-wateja-wengi-zaidi/

Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo […]
Hili Tatizo La Pili La Fedha Unalolipuuza Ndiyo Linakukwamisha.
https://amkamtanzania.com/2024/09/17/hili-tatizo-la-pili-la-fedha-unalolipuuza-ndiyo-linakukwamisha/

Rafiki yangu mpendwa, Watu wengi wanapokuwa wanaanzia chini na hawana fedha, huwa wanadhani tatizo pekee la fedha walilonazo ni kuzikosa. […]
Badili Makosa Yako Kuwa Mafanikio 2024…
https://amkamtanzania.com/2024/09/17/badili-makosa-yako-kuwa-mafanikio/

Rafiki Yangu Mpendwa Sote tunafanya makosa katika safari yetu ya kifedha. Lakini unachofanya baada ya makosa hayo ndicho kinachoamua mafanikio […]
Unayakaribia Mafanikio Zaidi Kuliko Ya Unavyodhani…
https://amkamtanzania.com/2024/09/17/unayakaribia-mafanikio-zaidi-kuliko-ya-unavyodhani/

Rafiki Yangu Mpendwa, Inawezekana Sasa unahisi kwamba huoni matokeo unayoyataka katika juhudi zako za kifedha, lakini ukweli ni kwamba, …unayakaribia […]
Ni Sawa Una Changamoto-Lakini Suluhisho Lipo Hapa👇
https://amkamtanzania.com/2024/09/17/ni-sawa-una-changamoto-lakini-suluhisho-lipo-hapa%F0%9F%91%87/

Rafiki Yangu Mpendwa, Unajua kabisa hali yako ya kifedha sio nzuri, na umehisi hofu hiyo kwa muda mrefu. Hii ni […]
Mapato Yako Yanapotea Haraka?…
https://amkamtanzania.com/2024/09/18/mapato-yako-yanapotea-haraka/

Rafiki Yangu Mpendwa, Unapata pesa, lakini zinakwisha haraka kabla hujaweza kuzitumia kwa malengo yako. Je, unajikuta kila mara kwenye hali […]
Kama Hupati PESA Za Kukutosha Wewe na Familia Yako, Soma Hapa 👇…
https://amkamtanzania.com/2024/09/18/kama-hupati-pesa-za-kukutosha-wewe-na-familia-yako-soma-hapa-%F0%9F%91%87/

Rafiki Yangu Mpendwa, Umekuwa ukipambana kupata pesa za kutosha kwa muda mrefu, lakini matokeo yanaendelea kuwa yale yale—mapato ni kidogo, […]
Fursa Ya Kifedha 2024 Imewadia.
https://amkamtanzania.com/2024/09/18/fursa-ya-kifedha-2024-imewadia/

Rafiki Yangu Mpendwa, Je, Unatafuta Njia Ya Kuboresha Hali Yako Ya Kifedha? Kwenye semina ya Kisima Cha Maarifa 2024, utafundishwa […]
Unajua Kwa Nini Ukipata Pesa Matatizo Ndiyo Yanatokea?
https://amkamtanzania.com/2024/09/19/unajua-kwa-nini-ukipata-pesa-matatizo-ndiyo-yanatokea/

Rafiki yangu mpendwa, Kuna vipindi unaweza kuwa huna fedha, maisha yanakuwa magumu, lakini kuna matatizo ya aina fulani ambayo hayakusumbui […]
Unapata Ugumu Kuzalisha PESA?…
https://amkamtanzania.com/2024/09/19/unapata-ugumu-kuzalisha-pesa/

Rafiki Yangu Mpendwa, Kutengeneza chanzo cha pili cha Kipato inaonekana ni jambo gumu Sana. Je, unaishi na hofu kwamba kipato […]
Matumizi Yako Yanaendelea Kukuathiri?…
https://amkamtanzania.com/2024/09/19/matumizi-yako-yanaendelea-kukuathiri/

Rafiki Yangu Mpendwa, Matumizi yako ya kila siku yanaonekana kuwa ya kawaida, lakini yanakuathiri kifedha. Je, unajikuta ukitumia zaidi ya […]
Jinsi Ya Kugeuza Shilingi Elfu 1 Kuwa Shilingi Bilioni 1 Kwa Uhakika.
https://amkamtanzania.com/2024/09/20/jinsi-ya-kugeuza-shilingi-elfu-1-kuwa-shilingi-bilioni-1-kwa-uhakika/

Rafiki yangu mpendwa, Inapokuja kwenye fedha, watu wamehangaishwa na mambo mengi ambayo yamekuwa hayafanyi kazi. Kumekuwa na njia nyingi za […]
Kila Mara Alipoanza Kuongeza Kipato Chake, Matumizi Yaliharibu Kila Kitu -Mpaka Alipojua Njia Sahihi….
https://amkamtanzania.com/2024/09/20/kila-mara-alipoanza-kuongeza-kipato-chake-matumizi-yaliharibu-kila-kitu-mpaka-alipojua-njia-sahihi/

Hawa alikuwa na kipato kizuri, lakini hakuweza kutunza fedha zake kwa muda mrefu. Matumizi ya haraka na yasiyotarajiwa yalizidi kupanda, […]
Ongezeko La Mifuko Ya Pamoja Ya Uwekezaji Na Manufaa Yake Kwetu Wawekezaji.
https://amkamtanzania.com/2024/09/20/ongezeko-la-mifuko-ya-pamoja-ya-uwekezaji-na-manufaa-yake-kwetu-wawekezaji/

Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya […]
Alikuwa Ana Ndoto Kubwa, Lakini Kipato Chake Kilikuwa Kidogo.
https://amkamtanzania.com/2024/09/20/alikuwa-ana-ndoto-kubwa-lakini-kipato-chake-kilikuwa-kidogo/

Lily alijua kuwa anaweza kufikia malengo yake, lakini kipato chake kilikuwa kidogo. Alijisikia vibaya sana na kuona kama anapitwa na […]