SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
Tatizo Siyo Kipato Unachoingiza, Bali Tatizo Ni Wewe.
https://amkamtanzania.com/2024/09/11/tatizo-siyo-kipato-unachoingiza-bali-tatizo-ni-wewe/

Rafiki yangu mpendwa, Najua changamoto zako zote za kifedha umekuwa unalaumu kipato ambacho unaingiza. Kama kipato hakitoshelezi matumizi, unaona kwamba […]
24; Njia Rahisi Ya Kuzitunza Fedha Zinazopita Mikononi Mwako na Kuzifanya Zikupe Uhuru Unaotaka…
https://amkamtanzania.com/2024/09/11/24-njia-rahisi-ya-kuzitunza-fedha-zinazopita-mikononi-mwako-na-kuzifanya-zikupe-uhuru-unaotaka/

Rafiki Yangu Mpendwa, Je, Unapata Changamoto Kusimamia Fedha Zako? Labda unajitahidi kupata pesa, lakini hazikai mkononi mwako kwa muda mrefu, […]
Fanya Hivi Kwa Wale Ambao Hawakuelewi Kwenye Eneo La Fedha.
https://amkamtanzania.com/2024/09/12/fanya-hivi-kwa-wale-ambao-hawakuelewi-kwenye-eneo-la-fedha/

Rafiki yangu mpendwa, Tatizo kubwa sana la fedha siyo sisi wenyewe pekee, bali hata wale wanaotuzunguka wamekuwa wanachangia. Kwenye jamii […]
Fursa; Hatua Moja Muhimu Inayoweza Kubadilisha Maisha Yako Leo…
https://amkamtanzania.com/2024/09/12/fursa-hatua-moja-muhimu-inayoweza-kubadilisha-maisha-yako-leo/

Rafiki Yangu Mpendwa, Umeshawahi kufikiria namna kipato chako kidogo kinavyokukwamisha kufikia malengo yako? Ukweli ni kwamba, kuna njia nyingi za […]
3543; Kukimbiza na Kuvutia.
https://amkamtanzania.com/2024/09/12/3543-kukimbiza-na-kuvutia/

3543; Kukimbiza na Kuvutia. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Jinsi unavyotumia muda wako inaathiri sana matokeo unayopata.Msingi wa […]
Kujua Upo Kwenye Hali Nzuri au Mbaya Kifedha, Zingatia Huu Mkeka πŸ‘‡
https://amkamtanzania.com/2024/09/13/kujua-upo-kwenye-hali-nzuri-au-mbaya-kifedha-zingatia-huu-mkeka-%F0%9F%91%87/

Rafiki Yangu Mpendwa, Anza kwa kulinganisha upande wa mapato na matumizi, na uone upo kwenye hali gani kifedha. Kuna hali […]
Jinsi Ya Kumdhibiti Huyu β€˜Chuma Ulete’ Anayekuibia Fedha Zako.
https://amkamtanzania.com/2024/09/13/jinsi-ya-kumdhibiti-huyu-chuma-ulete-anayekuibia-fedha-zako/

Rafiki yangu mpendwa, Inapokuja kwenye swala la fedha, kumekuwa na imani nyingi ambazo zimekuwa zinawaathiri sana watu. Imani hizo, iwe […]
Uwekezaji Na Usimamizi Sahihi Wa Utajiri Wako Kulingana Na Haiba Yako.
https://amkamtanzania.com/2024/09/13/uwekezaji-na-usimamizi-sahihi-wa-utajiri-wako-kulingana-na-haiba-yako/

Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya […]
Ukweli Wa Kushangaza; Kuhusu PESA Ambao Hukuwahi Kuambiwa na Walimu Wako Kipindi Unasoma Shule, Chuo…
https://amkamtanzania.com/2024/09/13/ukweli-wa-kushangaza-kuhusu-pesa-ambao-hukuwahi-kuambiwa-na-walimu-wako-kipindi-unasoma-shule-chuo/

Rafiki Yangu Mpendwa, Inawezekana pia watoto wako wasiambiwe. Lakini kama utaweka umakini Wako Hapa, Basi utaweza kuwashirikisha ili wasije wakarudia […]
Usifuate Mpango Kama Ulivyo, Bali Boresha Kulingana Na Matokeo

Rafiki,
Kuwa na mipango ni kitu muhimu, lakini kilicho muhimu zaidi ni kuwa na mipango juu ya mpango wako uliopanga na sio kuufuata kama ulivyo. Badala yake kila wakati endelea kufanya maboresho kulingana na matokeo unayopata.

Mfano, kwenye uwekezaji maboresho yanafanyika kulingana na tathimini unayofanya ukilinganishwa na malengo.

*Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024*

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.

2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.

3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.

4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.

5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.

6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.

7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

*Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.*

Kushiriki piga simu au tuma ujumbe wa kawaida kwenda namba 0752977175 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa utaratibu mzima na nafasi ya kushiriki.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Wasiliana sasa na namba 0752977175
Hatua Ya Kwanza Kuelekea Uhuru Wa Kifedha 2024-Jiunge na Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.
https://amkamtanzania.com/2024/09/14/hatua-ya-kwanza-kuelekea-uhuru-wa-kifedha-2024-jiunge-na-semina-ya-kisima-cha-maarifa-2024/

Rafiki Yangu Mpendwa, Unataka kubadili maisha yako ya kifedha, lakini hujui wapi pa kuanzia? Pengine umekuwa ukijitahidi kuweka akiba, kulipa […]
Unaishi Kwa Kutegemea Mishahara TU?…
https://amkamtanzania.com/2024/09/16/unaishi-kwa-kutegemea-mishahara-tu/

Rafiki Yangu Mpendwa, Ukweli ni kwamba kipato chako kinategemea mshahara pekee, huku gharama za maisha zikiendelea kupanda .. Je, huogopi […]
Hujui Jinsi Ya Kuanzisha Mradi Wa Kifedha?…
https://amkamtanzania.com/2024/09/16/hujui-jinsi-ya-kuanzisha-mradi-wa-kifedha/

Rafiki Yangu Mpendwa, Ungependa kuanzisha mradi wa kifedha, lakini hujui jinsi ya kuanza au wapi pa kupata mtaji? Je, unalo […]
HAIJAISHA MPAKA IMEISHA; Ukomboe Mwaka 2024.
https://amkamtanzania.com/2024/09/16/haijaisha-mpaka-imeisha-ukomboe-mwaka-2024/

Rafiki, Wakati mwaka 2024 unaelekea ukingoni. Ni rahisi kuona mwaka umeshaisha na yale uliyopanga hayawezekani tena. Huenda unasubiri mwaka 2025  […]
3547; Jinsi ya kutokwamishwa na wengine.
https://amkamtanzania.com/2024/09/16/3547-jinsi-ya-kutokwamishwa-na-wengine/

3547; Jinsi ya kutokwamishwa na wengine. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Kwenye safari ya mafanikio, unalazimika kufanya mambo […]