3537; Rudia kinachofanya kazi.
https://amkamtanzania.com/2024/09/06/3537-rudia-kinachofanya-kazi/
3537; Rudia kinachofanya kazi. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Watu wengi wamekuwa wanakwama kufanikiwa kwenye maisha, siyo kwa [β¦]

Je Kipato Chako Cha Kila Mwezi Hakitoshelezi Mahitaji Yako na Ya Familia Yako?β¦
https://amkamtanzania.com/2024/09/06/je-kipato-chako-cha-kila-mwezi-hakitoshelezi-mahitaji-yako-na-ya-familia-yako/
Rafiki Yangu Mpendwa, Kuna njia za kuongeza kipato chako ambazo hazihitaji Elimu kubwa sana au mtaji mkubwa. Wengi wanaamini kwamba [β¦]

Ni Kivumbi na Jasho ; Angalia Vita Iliyopo Kati Ya Kipato, Matumizi na Kaziβ¦
https://amkamtanzania.com/2024/09/07/ni-kivumbi-na-jasho-angalia-vita-iliyopo-kati-ya-kipato-matumizi-na-kazi/
Rafiki Yangu Mpendwa, Kila mwezi unapata kipato kidogo Ambacho kinaishia kugharamia Mahitaji yako ya kila siku. Unapata changamoto kufikiria jinsi [β¦]

Kuwa Makini Na Hawa Watu Wanaokukwamisha Kufanikiwa.
https://amkamtanzania.com/2024/09/07/kuwa-makini-na-hawa-watu-wanaokukwamisha-kufanikiwa/
Rafiki yangu mpendwa, Ulipokuwa mtoto, wazazi wako walikuonya usicheze na watoto fulani kwa sababu ya tabia zao. Hukupenda kabisa kukatazwa [β¦]

3538; Mauzo ya kimafanikio.
https://amkamtanzania.com/2024/09/07/3538-mauzo-ya-kimafanikio/
3538; Mauzo ya kimafanikio. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Maisha ni mchezo mkubwa sana wa mauzo ambapo kila [β¦]

#ONK-245; Ustoa; Tabia Zitakazokupa Utulivu Na Kukuepusha Na Changamoto Mbalimbali.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-245-Ustoa-Tabia-Zitakazokupa-Utulivu-Na-Kukuepusha-Na-Changamoto-Mbalimbali-e2o3p5d

3539; Manunuzi ya Kimafanikio.
https://amkamtanzania.com/2024/09/08/3539-manunuzi-ya-kimafanikio/
3539; Manunuzi ya Kimafanikio. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Kwenye ukurasa wa 3538 uliopita, tulijifunza kuhusu Mauzo ya [β¦]

Sikiliza Na Fanyia Kazi Maoni Hayaπ
Rafiki,
Kwenye sayansi, kanuni sheria au miongozo ikishathibitishwa, inakuwa kweli watu wanaikubali na hakuna kupinga.
Lakini linapokuja suala la fedha, kila mtu anayo maoni na mtazamo wake. Iwe ana elimu ya fedha au hana.
Sikiliza rafiki, *muda sio rafiki na huwezi kupigana nao, lakini kama unataka mafanikio makubwa kifedha jenga tabia ya uwekezaji* . Hili lipo ndani ya uwezo wako, halihitaji tume, wanasayansi wala elimu kubwa. Ni maamuzi tu na kuchukua hatua.
*Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024*
Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;
1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha
Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.
Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.
*Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.*
Kushiriki piga simu au tuma ujumbe wa kawaida kwenda namba 0752977175 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa utaratibu mzima na nafasi ya kushiriki.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Wasiliana sasa na namba 0752977175

#ONK-246; Kitabu; Surrounded By Idiots - Aina Nne Za Tabia Za Binadamu Na Jinsi Ya Kuwasiliana Na Kila Aina.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-246-Kitabu-Surrounded-By-Idiots---Aina-Nne-Za-Tabia-Za-Binadamu-Na-Jinsi-Ya-Kuwasiliana-Na-Kila-Aina-e2o5lj0

JE KIPATO CHAKO HAKITOSHELEZI MATUMIZI? DAWA IKO HAPA.
Rafiki,
Kwa watu wengi, vipato kukutana limekuwa jambo gumu sana.
Kila mara vipato vyao vimekuwa havitoshelezi matumizi waliyonayo.
Hata pale kipato kinapoongezeka, imekuwa haisaidii.
Kwani matumizi huongezeka na kumeza kipato hicho.
Kuna dawa moja ambayo usipoipata, tumaini lako kwenye kipato kutosheleza ni hafifu sana.
Kama utakazana kukuza kipato chako kabla hujapata dawa hiyo, utaishia kukuza matumizi na kurudi pale ulipoanzia.
Ni muhimu sana upate hii dawa ili uweze kupiga hatua kifedha.
Dawa hii inatolewa live (kwa kukutana ana kwa ana) tarehe 27/10/2024 pale Mbezi Garden Hotel DSM.
Ni kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Kwa mchango wa Tsh 65,000/=, unakwenda kupata dawa ya kuokoa kipato chako.
Wasiliana sasa na 0752 977 175 kupata nafasi.

Usisubiri Ukamilifu Ili Kuwa Muuzaji Bora Na Kufanya Mauzo Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/09/09/usisubiri-ukamilifu-ili-kuwa-muuzaji-bora-na-kufanya-mauzo-makubwa/
Habari njema wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya CHUO CHA MAUZO, kwenye eneo la [β¦]

Mbona Mafanikio Yako Hayaendani Na Ujuaji Wako?
https://amkamtanzania.com/2024/09/09/mbona-mafanikio-yako-hayaendani-na-ujuaji-wako/
Rafiki yangu mpendwa, Kuna kitu kimoja ambacho kimekuwa kinanishangaza sana inapokuja kwenye mafanikio. Kitu hicho ni ujuaji wa watu na [β¦]

Una Malengo Makubwa Ya Kifedha Lakini Unakosa Mbinu Za Kuyafikia?
https://amkamtanzania.com/2024/09/09/una-malengo-makubwa-ya-kifedha-lakini-unakosa-mbinu-za-kuyafikia/
Rafiki Yangu Mpendwa, Kuendelea kukosa mipango ya kifedha inayofanya kazi kunazidisha msongo wa mawazo (Stress). Uchumi unabadilika, na sasa ni [β¦]

#ONK-247; Mafanikio; Jua Haiba Za Wengine Na Jinsi Ya Kushirikiana Nao Kwa Usahihi Na Kufanikiwa.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-247-Mafanikio-Jua-Haiba-Za-Wengine-Na-Jinsi-Ya-Kushirikiana-Nao-Kwa-Usahihi-Na-Kufanikiwa-e2o75os

*Wewe Siyo Kiranja Wa Dunia*
Rafiki,
Usiyoyatarajia kutokea kwako, yanaweza kutokea pia. Ni muhimu sana kujiandaa na yale tusiyoyatarajia ili hata yakitokea, yanatukuta tukiwa hatuna taharuki.
Katika utafutaji wako ni machozi, jasho na damu.
Unapata fedha na mali kwa shida sana lakini unasahau kujilinda.
Kwa nini unatumia nguvu kubwa kutafuta lakini unashindwa kulinda kile unachotafuta huku ukiacha juhudi ulizoweka kwenda bure?
Dunia huwa inaenda vile inavyotaka, hivyo ni muhimu sana kujiandaa na lolote lile litakalotokea.
Unaweza ukalala tajiri na ukaamka masikini pale tu uwekezaji wako na mali zako zote zikiwa zimeteketea. Njia nzuri ya kujihakikishia ulinzi, ni kukata bima.
Habari njema ni kwamba, unaweza ukakata bima kwa ajili ya ulinzi wa mali zako, afya yako. Kama unakata bima ya gari, unapaswa kuwa na bima ya afya, bima ya nyumba na nk.
Jiandae kwa tahadhari, hata mambo yakienda kinyume, unakuwa salama pale mali na uwekezaji wako ukiwa na ulinzi ambao ni kukatia bima.
*Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.*
Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;
1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha
Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.
Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.
*Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.*
Kushiriki piga simu au tuma ujumbe wa kawaida kwenda namba 0752977175 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa utaratibu mzima na nafasi ya kushiriki.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Wasiliana sasa na namba 0752977175
Rafiki,
Usiyoyatarajia kutokea kwako, yanaweza kutokea pia. Ni muhimu sana kujiandaa na yale tusiyoyatarajia ili hata yakitokea, yanatukuta tukiwa hatuna taharuki.
Katika utafutaji wako ni machozi, jasho na damu.
Unapata fedha na mali kwa shida sana lakini unasahau kujilinda.
Kwa nini unatumia nguvu kubwa kutafuta lakini unashindwa kulinda kile unachotafuta huku ukiacha juhudi ulizoweka kwenda bure?
Dunia huwa inaenda vile inavyotaka, hivyo ni muhimu sana kujiandaa na lolote lile litakalotokea.
Unaweza ukalala tajiri na ukaamka masikini pale tu uwekezaji wako na mali zako zote zikiwa zimeteketea. Njia nzuri ya kujihakikishia ulinzi, ni kukata bima.
Habari njema ni kwamba, unaweza ukakata bima kwa ajili ya ulinzi wa mali zako, afya yako. Kama unakata bima ya gari, unapaswa kuwa na bima ya afya, bima ya nyumba na nk.
Jiandae kwa tahadhari, hata mambo yakienda kinyume, unakuwa salama pale mali na uwekezaji wako ukiwa na ulinzi ambao ni kukatia bima.
*Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.*
Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;
1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha
Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.
Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.
*Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.*
Kushiriki piga simu au tuma ujumbe wa kawaida kwenda namba 0752977175 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa utaratibu mzima na nafasi ya kushiriki.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Wasiliana sasa na namba 0752977175
Tumia Vifungashio Vya Bidhaa Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/09/10/tumia-vifungashio-vya-bidhaa-kufikia-wateja-wengi-zaidi/
Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo [β¦]

Unajua kwa nini hamasa unazopata zimekuwa hazidumu?
https://amkamtanzania.com/2024/09/10/unajua-kwa-nini-hamasa-unazopata-zimekuwa-hazidumu/
Rafiki yangu mpendwa, Umekuwa unapata mafunzo ya aina mbalimbali ambayo yamekuwa yanakupa hamasa kubwa ya kuchukua hatua ya kuyabadili maisha [β¦]

Je, Umewahi Kufikiria Vile Maisha Yako Yangekuwa Kama Ungejua Jinsi Ya Kudhibiti FEDHA Zako?
https://amkamtanzania.com/2024/09/10/je-umewahi-kufikiria-vile-maisha-yako-yangekuwa-kama-ungejua-jinsi-ya-kudhibiti-fedha-zako/
Mpendwa, Tatizo la wengi ni kupata pesa, lakini kuzitunza na kuzizalisha ni changamoto kubwa zaidi. Hali hii inaibua wasiwasi, hofu [β¦]

Mpendwa,
*Je, Umewahi Kufikiria Jinsi Maisha Yako Yangekuwa Kama Ungejua Jinsi ya Kusimamia Fedha Zako Vizuri?*
Tatizo la wengi ni kupata pesa, lakini kuzitunza na kuzizalisha ni changamoto kubwa zaidi.
Hali hii inaibua wasiwasi, hofu ya kesho, na wakati mwingine hata kuchanganyikiwa.
Kila mwezi, unajikuta ukipoteza pesa bila mpangilio, bila kujua wapi zinakoenda.
Lakini mbona wengine wanafanikiwa kifedha?
Tatizo ni kwamba mbinu nyingi unazotumia hazikupi matokeo unayotaka.
Unaweza kuzibadilisha.
Tunawaletea Semina ya Kisima cha Maarifa, ambapo utafunzwa njia bora za kifedha kwa kutumia mbinu za kitaalamu.
Utafahamu jinsi ya kupata pesa zaidi, kuzitunza, na kuzizalisha.
Kwa nini uendelee kusumbuka?
Chukua hatua sasa na jiunge na semina hii!
Bonyeza hapa *https://wa.link/7xpijv* na jiwekee nafasi yako leo.
Tunakusubiri,

WhatsApp.com
Soma Vitabu Tanzania
Business Account
Je, Kila Mwezi Unapata PESA Lakini Unashindwa Kujua Zinakoenda?β¦
https://amkamtanzania.com/2024/09/10/je-kila-mwezi-unapata-pesa-lakini-unashindwa-kujua-zinakoenda/
Mpendwa, Hii ni hali ambayo inakera sana na kuleta wasiwasi kwa watu wengi wanaokosa ujuzi wa msingi wa fedha. Hili [β¦]