SOMA VITABU TANZANIA๐Ÿ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
Elimu Ya Usimamizi Wa Fedha Binafsi 2024-2025โ€ฆ
https://amkamtanzania.com/2024/09/03/elimu-ya-usimamizi-wa-fedha-binafsi-2024/

Kataa Maisha Magumu, Ruka na Huyuโ€ฆ โ€ฆBaadhi Ya Watu Wanaishi Maisha Magumu Sana, Nasio Kwasababu Hawana PESA, Bali Wana Matumizi [โ€ฆ]
*_Pata Hirizi Ya Madeni_*

Kinachowapelekea watu wengi kuingia kwenye madeni mabaya ni kwa sababu ya kukosa hirizi ya madeni ambayo ni AKIBA.

Inapokuja kwenye AKIBA, pale tu unapopata fedha, weka kwanza akiba na mengine ndiyo yafuate. Ukiishi msingi huu, lazima utaiona fedha.

*Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.*

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;
1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.

2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.

3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.

4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.

5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.

6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.

7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

*Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.*

Kushiriki piga simu au tuma ujumbe wa kawaida kwenda namba 0752977175 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa utaratibu mzima na nafasi ya kushiriki.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Wasiliana sasa na namba 0752977175
Elimu Hii Muhimu Sana Hukufundishwa Shuleni, Ipate Hapa.
https://amkamtanzania.com/2024/09/04/elimu-hii-muhimu-sana-hukufundishwa-shuleni-ipate-hapa/

Rafiki yangu mpendwa, Kwa miaka yoyote ambayo ulikaa shuleni, ulifundishwa mambo mengi sana. Lakini kuna elimu moja muhimu sana ambayo [โ€ฆ]
*_Huu Ndiyo Uhuru Wenye Thamani Zaidi_*

Rafiki,
Lipa deni lako kwanza.

Bilionea Mark Cuban aliwahi kunukuliwa akisema,
*Lipa deni lako kwanza. Uhuru wa kutoka kwenye madeni ni wa thamani zaidi kuliko kiasi chochote unachoweza kupata_.*

Inapokuja kwenye MADENI, Kama unataka kupata uhuru wa kifedha, lipa deni lako kwanza na usiendelee kukopa tena.

*Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.*

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;
1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.

2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.

3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.

4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.

5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.

6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.

7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

*Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.*

Kushiriki piga simu au tuma ujumbe wa kawaida kwenda namba 0752977175 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa utaratibu mzima na nafasi ya kushiriki.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Wasiliana sasa na namba 0752977175
Biashara Yenye Mteja Mmoja Pekee, Imegundulikaโ€ฆ
https://amkamtanzania.com/2024/09/04/biashara-yenye-mteja-mmoja-pekee-imegundulika/

Sekunde Chache Zijazo Unaenda Kuiona Biashara Yenye Mteja Mmoja. Biashara Hiyo ni Ipi? Biashara Hiyo ni Ajira. Ajira ni Nini? [โ€ฆ]
Fanya Hivi Ili Usikae Tena Kinyonge Kwenye Fedha.

Rafiki yangu mpendwa,

Umekuwa unakaa kinyonge kwenye fedha, kwa sababu umekuwa hujiamini. Ukiwa huna fedha ni matatizo, kwa sababu unakuwa hujui kwa uhakika unazipata wapi.

Lakini pia ukiwa na fedha ni matatizo, kwa sababu unakuwa unashindwa kuzitumia kwa usahihi, hivyo kuishia kuzipoteza zote.

Ni jambo la kushangaza sana kwamba eneo la fedha linakutesa pande zote. Ukiwa nazo unateseka na usipokuwa nazo pia unateseka.

Yote hayo yanatokana na ukweli kwamba hatukupata nafasi ya kupewa elimu sahihi inapokuja kwenye fedha.

Yote tunayojua na kufanya kuhusu fedha, tunabahatisha tu. Tunaiga wengine wanavyofanya, ambao nao hawakupata nafasi ya kujifunza popote.

Yaani ni kama vipofu ambao wanaongozana na mwisho wake ni kuanguka kwenye shimo linalowapoteza kabisa.

Kwenye fedha mashimo hayo ni matumizi kuwa makubwa kuliko mapato, kuwa na madeni mabaya na kukosa ulinzi wa kifedha.

Rafiki, habari njema ni kwamba kuna fursa nzuri kwako ya kutokukaa tena kinyonge inapokuja kwenye swala la fedha. Kwa kuchukua hatua kwenye fursa hiyo, utaondoka kwenye mashimo yote ya kifedha ambayo umeshaingia mpaka sasa.

Fursa hiyo itakayokutoa kwenye unyonge wa kifedha ni SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ambayo taarifa zake ziko hapo chini. Pitia kwa makini kisha chukua hatua mara moja.

Karibu Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifuatavyo;

1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.

2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.

3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.

4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.

5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.

6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.

7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kushiriki piga simu au tuma ujumbe wa kawaida au kwa wasap kwenda namba 0752977175 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa utaratibu mzima na nafasi ya kushiriki.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kufanya uwekezaji bora kabisa kwako, utakaoacha alama kubwa kifedha kwako.

Kutoka kwa rafiki yako anayekupenda na kukujali sana,

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Daktari |Mwandishi |Kocha |Mkufunzi
Fanya Hivi Ili Usikae Tena Kinyonge Kwenye Fedha.
https://amkamtanzania.com/2024/09/05/fanya-hivi-ili-usikae-tena-kinyonge-kwenye-fedha/

Rafiki yangu mpendwa, Umekuwa unakaa kinyonge kwenye fedha, kwa sababu umekuwa hujiamini. Ukiwa huna fedha ni matatizo, kwa sababu unakuwa [โ€ฆ]
Nyonya Mambo Haya Mawili (2), Kama Kweli Unataka Kuongeza Kipato Chako x2 Zaidi Bila Ngekewaโ€ฆ.
https://amkamtanzania.com/2024/09/05/nyonya-mambo-haya-mawili-2-kama-kweli-unataka-kuongeza-kipato-chako-x2-zaidi-bila-ngekewa/

Haijalishi Kwa Sasa Una Kipato Kidogo Kiasi Gani, Lakini Ukiweza Kunyonya Mambo Haya Mawili (2), Uhakika ni Kwamba Utaweza Kuongeza [โ€ฆ]
*_*Huyu Ndiyo Mlinzi Wa Mali Zako_**

Rafiki,

Ukipata fedha huwa unaweka mfuko gani?

Wako ambao wakipata fedha wanaweka mfuko uliotoboka na wako ambao wakipata fedha wanaweka mfuko usiotoboka.

Inapokuja kwenye MATOLEO, kiasi cha fedha unachopata hakikisha unatoa fungu la sadaka.

Kiimani, sadaka unayotoa ni ulinzi wa mali zako.
*Unapotoa sadaka, unamfanya Mungu kuwa mshirika wako katika kazi, biashara, huduma na kila kitu* .

Ukimfanya Mungu kuwa mshirika wako katika kile unachofanya kwa njia ya utoaji wa sadaka unakuwa unajihakikishia ulinzi.

*Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.*

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;
1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.

2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.

3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.

4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.

5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.

6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.

7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

*Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.*

Kushiriki piga simu au tuma ujumbe wa kawaida kwenda namba 0752977175 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa utaratibu mzima na nafasi ya kushiriki.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Wasiliana sasa na namba 0752977175
Haijalishi Kwa Sasa unakipato Kidogo kiasi gani, Lakini Ukiweza kunyonya mambo Haya Mawili. Uhakika ni Kwamba Utaweza Kuongeza Kipato Chako mara Mbili Zaidi Bila Ngekewa.

Mambo Hayo ni;
1. *Tatua Matatizo Magumu Ambayo Wengine Wanayakwepa*.
2. *Wajibika Kwa Makosa Yako na Ya Wengine Bila Kumlalamikia Yeyote*.

Matokeo ya Kufanya hayo Mawili Hapo Juu ni Utaweza kujitofautisha haraka, utatoa Thamani Kubwa na utazalisha Matokeo Makubwa. Kitu Ambacho kitapelekea ulipwe Zaidi.

Kwenye *Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024* itakayofanyika *DSM Mbezi Garden Hotel*. Utajifunza Mambo Haya Mawili Kwa Kina.

Kwa Kiingilio Cha Tshs *64,999 Tu! Ukilipia Kabla Ya October 1 na Tshs 99,999 Tu! Kama Utailipa Baada Ya October 1*, Utatoka na Mpango Kamili Wa Kuingiza Kipato Kikubwa.
Bonyeza Hapa ๐Ÿ‘‰ *https://wa.link/7xpijv*. Ukapindue Meza. Karibu Urudishe TABASAMU Lako.
Nguzo Inayomeza Nguzo Nyingine Zote, Kuwa Nayo Makiniโ€ฆ
https://amkamtanzania.com/2024/09/05/nguzo-inayomeza-nguzo-nyingine-zote-kuwa-nayo-makini/

Rafiki Yangu Mpendwa, Kuna Nguzo Fupi na Ndefu.Lakini Inapokuja Kwenye Fedha na USIMAMIZI BINAFSI WA FEDHA, Zipo Nguzo 7 Muhimu.Na [โ€ฆ]
3536; Kupendwa na Kuchukiwa.
https://amkamtanzania.com/2024/09/05/3536-kupendwa-na-kuchukiwa/

3536; Kupendwa na Kuchukiwa. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Sisi kama binadamu, moja ya vitu tunavyopenda sana ni [โ€ฆ]
JE, UNAJUA UTAJIRI SIYO FEDHA TASLIMU BALI THAMANI YA VITU?

Rafiki,
Ipo hivi utajiri wa mtu unahesabiwa kwa vitu vya thamani anavyomiliki ukiondoa madeni anayokuwa nayo na sio fedha taslimu alizonazo.

Namna nzuri ya kutunza thamani ya utajiri yapo kwenye uwekezaji. Hii ni kwa sababu ukikaa na fedha bila kuzifanyia chochote, zinapotea thamani. Lakini unapoziwekeza sehemu sahihi thamani yake inakua.

Ndiyo maana tunasema, *utajiri unatunzwa na kuendelea kukua bila hata ya mtu kufanya kazi moja kwa moja bali kufanya uwekezaji*.

*Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.*

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.

2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.

3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.

4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.

5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.

6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.

7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

*Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.*

Kushiriki piga simu au tuma ujumbe wa kawaida kwenda namba 0752977175 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa utaratibu mzima na nafasi ya kushiriki.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Wasiliana sasa na namba 0752977175
HII NDIYO KANUNI YA UHAKIKA YA 'KUPIGA' HELA KWENYE BIASHARA.

Rafiki,
Kama unataka kuwa na biashara ambayo inakuingizia kipato kikubwa sana, kanuni ni hii; UZA KILE AMBACHO KINA UHITAJI MKUBWA ILA UPATIKANAJI WAKE NI MDOGO.

Ukienda na hiyo kanuni, utauza kwa wingi na kuingiza kipato kikubwa.

Pata kitabu cha MJASIRIAMALI MJANJA ili uweze kujua ni vitu gani vinavyokuzunguka hapo ulipo sasa, vyenye uhitaji mkubwa na vinapatikana kwa uhaba.
Ukishajua hilo, umekata tiketi ya utajiri.

Wasiliana sasa na 0678 977 007 kupata nakala ya kitabu.
Je, Unapata Ugumu Katika Kudhibiti Matumizi Yako na Kupanga Bajeti Yako Kwa Usahihi?โ€ฆ
https://amkamtanzania.com/2024/09/06/je-unapata-ugumu-katika-kudhibiti-matumizi-yako-na-kupanga-bajeti-yako-kwa-usahihi/

Rafiki Yangu Mpendwa, Kukosa mbinu sahihi kunaweza kusababisha hali ya msongo wa mawazo (stress) na kuathiri hali yako ya kifedha. [โ€ฆ]
Mwaka Huu Inaenda Kuwa Kubwa Kuliko Zote (XXXL), Usikose.
https://amkamtanzania.com/2024/09/06/mwaka-huu-inaenda-kuwa-kubwa-kuliko-zote-xxxl-usikose/

Rafiki yangu mpendwa, Kwenye kundi la FAMILIA YA MAFANIKIO YA KISIMA CHA MAARIFA, mmoja wa wanachama ameshirikisha picha ya SEMINA [โ€ฆ]
Geuza Kibao; Tumia Sababu Zako Za Kutokuwekeza Kupata Msukumo Wa Kuwekeza Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/09/06/geuza-kibao-tumia-sababu-zako-za-kutokuwekeza-kupata-msukumo-wa-kuwekeza-zaidi/

Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya [โ€ฆ]