SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
JE, UNAMILIKI BIASHARA NA BIASHARA INAKUMILIKI?

Mwanamafanikio,

Uhuru kamili kwenye maisha utaupata ukiwa kwenye biashara.

Lakini wamiliki wengi wa biashara, wamekuwa wanamilikiwa na biashara zao kiasi cha kushindwa hata kupata muda wa kufanya mambo mengine muhimu.

Je, umechoshwa kumilikiwa na biashara na ungependa kupata mfumo wa kuendesha biashara yako bila kukutegemea, kuongeza kipato na kupata uhuru?

Kama jibu lako ni ndiyo, karibu sana kwenye SEMINA ya KISIMA CHA MAARIFA 2024 kupata mafunzo hayo.

SEMINA hii itafanyika Mbezi Garden Hotel DMS, kwa kiingilio cha Tsh 65000/=

Weka nafasi yako ya kushiriki sasa kwa kuwasiliana namba 0713604101.
Karibu sana.
UJASIRIAMALI NI DARASA LA MILELE...

Rafiki,
Kama upo kwenye biashara na ujasiriamali na unataka kufanikiwa, basi unapaswa kufunga ndoa na kujifunza.

Ni lazima uwe tayari kujifunza endelevu, kwa kipindi chote cha maisha yako.

Siku utakayojiona tayari unajua kila kitu na huna tena haja ya kujifunza, ndiyo siku unayoanza kuanguka.

Katika kutambua umuhimu wa kujifunza, tumekuandalia jukwaa maalumu lililosheheni mafunzo yote ya kufanikiwa kwenye biashara na ujasiriamali.

Jukwaa hilo ni KISIMA CHA MAARIFA na kujiunga ni bure kabisa. Ungana nasi kwa link hii; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Karibu kwenye darasa la maisha la KISIMA CHA MAARIFA.
Hatua Za Kuchukua Pale Unapojiona Umechelewa Kuanza Uwekezaji.
https://amkamtanzania.com/2024/08/30/hatua-za-kuchukua-pale-unapojiona-umechelewa-kuanza-uwekezaji/

Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya […]
Kufanikiwa; Chukua Hatua Hizi 2…
https://amkamtanzania.com/2024/08/30/kufanikiwa-chukua-hatua-hizi-2/

*Kufanikiwa; Kuchukua Hatua Hizi 2*… Rafiki Yangu Mpendwa, Kinachokuzuia Usifanikiwe Licha Ya Kujua Mambo Mengi Sana ni Huchukui Hatua, Kufanyia […]
3530; Hakikisha unashinda.
https://amkamtanzania.com/2024/08/30/3530-hakikisha-unashinda/

3530; Hakikisha unashinda. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Watu wamekuwa wepesi sana kwenye kutaka ushindi.Wanapokutana na changamoto au […]
31/08; Kwasababu Leo ni Mwisho wa Mwezi wa 8 Mwaka 2024.
https://amkamtanzania.com/2024/08/31/31-08-kwasababu-leo-ni-mwisho-wa-mwezi-wa-8-mwaka-2024/

Na Kwasababu Rafiki Yangu Gift Ameniomba Nimpe Ofa Ya Vitabu Vizuri. Nikaona Nisimpe Yeye Tu! Nimeona Niwape na Wengine 9. […]
*31/08* ; *Kwa Sababu Leo ni Mwisho wa Mwezi wa 8 Mwaka 2024*

Na Kwasababu Rafiki Yangu Gift Ameniomba Nimpe Ofa Ya Vitabu Vizuri.

Nikaona Nisimpe Yeye Tu! Nimeona Niwape na Wengine 9.

Na Hiyo OFA Hapo Chini πŸ‘‡ Ndio Nimempatia Gift...
KITABU; *Tabia Za Kitajiri.
KITABU; Kanuni Ya Siku Ya Mafanikio.
KITABU; Simu Yangu Ofisi Yangu.
KITABU; IJUE BIASHARA YA NETWORKING MARKETING.

Vyote Hivi Vina Zaidi ya Thamani Ya *Tshs 50,000*.

Lakini Leo ni Kama Bahati Kwako Unavipata Kwa *Elfu 19,999Tu*. *Hii Ni Kwa Watu 9 TU! Wa Kwanza*.

Kuungana na GIFT Sasahivi. Tafadhali!
Bonyeza Hapa πŸ‘‰*https://wa.link/rqidaa*
3531; Je ndiyo bora zaidi?
https://amkamtanzania.com/2024/08/31/3531-je-ndiyo-bora-zaidi/

3531; Je ndiyo bora zaidi? Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Watu huwa wanaanzia chini kabisa, wanapambana sana na […]
Ahidi Makubwa Na Kuyatimiza Ili Kuwa Muuzaji Bora Na Kufanya Mauzo Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/09/02/ahidi-makubwa-na-kuyatimiza-ili-kuwa-muuzaji-bora-na-kufanya-mauzo-makubwa/

Habari njema wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya CHUO CHA MAUZO, kwenye eneo la […]
Huu Ndiyo Uwekezaji Bora Kabisa Unaoweza Kufanya Mwaka Huu 2024.
https://amkamtanzania.com/2024/09/02/huu-ndiyo-uwekezaji-bora-kabisa-unaoweza-kufanya-mwaka-huu-2024/

Rafiki yangu mpendwa, Njia bora kabisa ya kujifunza kwenye maisha ni kutoka kwa wale waliofanikiwa kwenye kitu hicho. Inapokuja kwenye […]
3533; Usirudie Mara Mbili.
https://amkamtanzania.com/2024/09/02/3533-usirudie-mara-mbili/

3533; Usirudie Mara Mbili. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Kuna mafunzo kuhusu mafanikio, ambayo mtu ukiyaendea kichwa kichwa […]
Toka Na Mpango Kamili Wa Kudhibiti Matumizi Yako Huku Ukifurahia Kuingiza Maokoto…
https://amkamtanzania.com/2024/09/02/toka-na-mpango-kamili-wa-kudhibiti-matumizi-yako-huku-ukifurahia-kuingiza-maokoto/

Rafiki Yangu Mpendwa, Kudhibiti Matumizi Limekuwa ni Jambo Gumu Sana Kwa Wengi. Kwasababu Inakuhitaji Ujitoe Hasa Kujijenga Nidhamu Kali na […]
*Toka Na Mpango Kamili Wa Kudhibiti Matumizi Yako Huku Ukifurahia Kuingiza Maokoto*

Kudhibiti Matumizi Limekuwa ni Jambo Gumu Sana Kwa Wengi.

Kwasababu Inakuhitaji Ujitoe Hasa Kujijenga Nidhamu Kali na Tabia Kuhakikisha Kwamba Unaishi Chini Ya Kipato Chako.

Ni Kama Bahati Kwako, October 27 Unaenda Kujifunza Haya Kwa Vitendo .

Hiyo ni Siku ya *Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024* itakayofanyika DSM Mbezi Garden Hotel.

Kwa Kiingilio Cha Tshs *64,999 Tu! Ukilipia Kabla Ya October 1 na Tshs 99,999 Tu! Kama Utailipa Baada Ya October 1*, Utatoka na Mpango Kamili Wa Kudhibiti Matumizi Yako Huku Ukiongeza Kipato Chako.

Bonyeza Hapa πŸ‘‰ *https://wa.link/7xpijv*. Ukapindue Meza.
Karibu Urudishe TABASAMU Lako.
Tumia Ushirikiano Wa Kibiashara Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/09/03/tumia-ushirikiano-wa-kibiashara-kufikia-wateja-wengi-zaidi/

Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo […]
*_Fanikiwa Sana, Ili Wengine Wafanikiwe Kupitia Wewe_* .

Rafiki,
Waswahili wanasema, mgeni aje, mwenyeji apone.

Inapokuja kwenye matoleo, Aliyekuwa mtu tajiri kuwahi kutokea ambaye amesaidia watu wengi huku akiendelea kusaidia dunia mpaka sasa hivi kupitia taasisi yake, John D. Rockefeller aliwahi kunukuliwa akisema, *unatumia nusu ya maisha yako kukusanya fedha, halafu nusu ya pili unaitumia kutawanya fedha zako* .

Na inasemekana huyu ndiyo mtu aliyetoa misaada mingi sana duniani.
Kumbe basi unapaswa kupata ujuzi wa namna ya kupata, kutunza na kuindeleza fedha.

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.*

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;
1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.

2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.

3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.

4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.

5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.

6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.

7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

*Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.*

Kushiriki piga simu au tuma ujumbe wa kawaida kwenda namba 0752977175 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa utaratibu mzima na nafasi ya kushiriki.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Wasiliana sasa na namba 0752977175
Semina Moja Pekee Ya Kushiriki Mwaka Huu Ili Kupindua Meza Kifedha.
https://amkamtanzania.com/2024/09/03/semina-moja-pekee-ya-kushiriki-mwaka-huu-ili-kupindua-meza-kifedha/

Rafiki yangu mpendwa, Najua umeshashiriki semina nyingi sana, ambazo zilikupa matumaini makubwa ya kubadili maisha yako, lakini bado umebaki pale […]
Njia 3 Za Uhakika Za Kuingiza Kipato Kikubwa Mwaka 2024-2025…
https://amkamtanzania.com/2024/09/03/njia-3-za-uhakika-za-kuingiza-kipato-kikubwa-mwaka-2024-2025/

Rafiki Yangu Mpendwa, Haijalishi Upo Kwenye Njia Ya Kwanza au Ya Pili au Ya Tatu, Lakini Unauwezo Mkubwa Wa Kuingiza […]