SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
JINSI BIASHARA YAKO IMEKUFANYA MATEKA...

Rafiki,
Unakumbuka mipango uliyokuwa nayo wakati unaanza biashara?

Kwamba utakuwa huru kabisa!
Hakuna atakayekupangia ulale saa ngapi na kuamka saa ngapi.

Kiko wapi kwa sasa? πŸ˜‚
Biashara inakutoa pumu.
Inakuchelewesha kulala.
Na inakuwahisha kuamka.

Kwa kifupi biashara inakufanyisha kazi kuliko ulivyotegemea.

Na hapo ndipo ninapotaka kukusaidia.
Nataka uache kuwa mateka wa biashara yako.

Nataka ukamilishe ndoto kubwa ulizokuwa nazo wakati unaanza biashara.

Tuwasiliane kwa 0678 977 007 tuweze kukamilisha hilo.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
JINSI YA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKO

Rafiki,
Biashara ina mambo mengi sana.
Kuanzia kutafuta wateja, kuwashawishi wanunue na kuwabakisha kwenye biashara.

Lakini kuna kitu kimoja chenye nguvu ya kujenga au kuvunja biashara yoyote ile.
Kitu hicho ni huduma ambayo wateja wanaipata.

Kama wateja watapata huduma nzuri, biashara itakua na kama wateja watapata huduma mbovu, biashara itakufa.
Unapaswa kusimamia sana eneo la huduma ili uweze kujenga biashara yenye ukuaji mzuri.

Habari njema ni kwamba kwenye program ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo, usimamizi wa kukuza mauzo na jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA kiasi cha kuongeza MAUZO.

Wasiliana na namba 0717101505 ili upate program ya CHUO CHA MAUZO na kitabu chake.

Kitu kimoja zaidi, ukinunua kitabu cha CHUO CHA MAUZO mwezi huu, unapata ofa ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO bure kabisa.
Hii siyo ya kukosa, wahi kabla ofa haijaisha, piga 0717101505 sasa hivi kupata OFA yako.
3523; Kuwa ambavyo wengine hawataki.
https://amkamtanzania.com/2024/08/23/3523-kuwa-ambavyo-wengine-hawataki/

3523; Kuwa ambavyo wengine hawataki. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Watu wamekuwa wanahangaika sana kutafuta siri za mafanikio, […]
OKTOBA HAPATATOSHA....

Rafiki yangu mpendwa,
Kama unaona mwaka 2024 umeshaushindwa na unasubiri 2025 ujaribu tena, kuna vitu bado hujaona.

Kwani tarehe 27 Oktoba tunaenda kuwasha moto mpya kabisa wa kuhakikisha huu mwaka 2024 unakuwa na alama ya kipekee kwako.

Ni kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ambapo mada kuu zitakuwa; KIPATO, AKIBA na UWEKEZAJI.

Utaondoka na hatua za uhakika kwenda kufanyia kazi ili kukuza kipato chako maradufu.

Utaweza kuweka akiba kwa msimamo bila kuacha, hata kama kipato ni kidogo.

Na utaanza kufanya uwekezaji kwa uhakika ili kujijengea uhuru wa kifedha.

Hayo yote unakwenda kuyapata kwa ada ya Tsh elfu 65 pekee.

Semina inafanyika DSM, Mbezi garden hotel.

Chukua hatua sasa kujihakikishia nafasi yako ya kushiriki.

Wasiliana na 0713 604 101 kuthibitisha kushiriki semina hii itakayokufungua sana.
NJIA RAHISI KUINGIZA KIPATO UKIWA UMELALA

Rafiki,
Warren Buffett, mmoja wa wawekezaji bora kuwa kutokea aliwahi kusema; "Kama huwezi kuingiza fedha ukiwa umelala, utafanya kazi maisha yako yote".

Nukuu hiyo imebeba ujumbe muhimu na mkubwa sana kuhusu kujijengea uwezo mkubwa wa kuingiza kipato bila kufanya kazi moja kwa moja.

Njia rahisi kuingiza kipato bila kufanya kazi moja kwa moja ni uwekezaji.

Habari njema kuhusu uwekezaji sio lazima uwe na elimu kubwa, umri mkubwa au pesa nyingi. Ni maamuzi, kujifunza na kuungana na wasimamizi sahihi.

Mimi rafiki yako niko tayari kukufundisha na kusimamia ili uwekeze na fedha zianze kukufanyia kazi.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na +255713604101 kupata kitabu na huduma.
Je Ni Lini Mwisho Wa Uwekezaji?
https://amkamtanzania.com/2024/08/23/je-ni-lini-mwisho-wa-uwekezaji/

Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya […]
MAAJABU; CHINA WAMEANZA KUNUFAIKA NACHO

Rafiki,
MAUZO NI MAHUSIANO.

Kama huuzi, basi una mahusiano madogo na watu.

Waswahili wanasema, ONGEA NA WATU, UVAE VIATU.
Mauzo ni mazungumzo na watu, na watu ndiyo wana hela ya kununua kile unachouza.
Kama watu hawakujui, huwezi kuuza.

Watu wengi wameanza kunufaika na kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kiasi cha kujenga ushawishi na kuimarisha mahusiano na wateja wao.
Kitu ambacho kimepelekea mauzo kuongezeka.

Pata kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO ujifunze jinsi ya kujenga ushawishi na kuimarisha mahusiano na wateja wako, kitu ambacho kitapelekea mauzo yako kuongezeka maradufu.

Wasiliana na 0678977007 kupata nakala yako sasa hivi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
JINSI YA KUMLINDA MTEJA

Rafiki,

Mteja ni kama mpenzi.
Usipompa kile anachotaka, ataenda kwa wengine kupewa kile anachotaka na kushibisha njaa yake.

Watu wakiwa na njaa huwa hawatulii mpaka wapate chakula.
Na mtu mwenye njaa siku zote hatawaliki.

Umefanya kazi kumtafuta mteja. Unatakiwa pia uweke kazi KUMLINDA MTEJA wako ili juhudi ulizoweka zisiende bure.

KUMLINDA MTEJA ni kazi kama kazi nyingine. Je, utawezaje KUMLINDA MTEJA na kumbakisha kuwa wako milele?

Habari njema ni kwamba, CHUO CHA MAUZO kipo kwa ajili yako, kitakusaidia kukupa mbinu bora na za uhakika ambazo tayari zina matokeo mazuri kwa watu.

Habari njema zaidi ni kwamba, mwezi huu kuna OFA, ukiwa na kitabu cha CHUO CHA MAUZO unapata ofa hii ya mwezi mmoja bure kabisa.

Wasiliana na 0717101505 kupata kitabu chako na OFA ya kuingia kwenye program ya CHUO CHA MAUZO bure kabisa mwezi huu.
Wahi kabla ofa haijaisha.
Waambie na wenzako habari njema hii.
MAAJABU; CHINA WAMEANZA KUNUFAIKA NACHO

Rafiki,
MAUZO NI MAHUSIANO.

Kama huuzi, basi una mahusiano madogo na watu.

Waswahili wanasema, ONGEA NA WATU, UVAE VIATU.
Mauzo ni mazungumzo na watu, na watu ndiyo wana hela ya kununua kile unachouza.
Kama watu hawakujui, huwezi kuuza.

Watu wengi wameanza kunufaika na kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO kiasi cha kujenga ushawishi na kuimarisha mahusiano na wateja wao.
Kitu ambacho kimepelekea mauzo kuongezeka.

Pata kitabu cha MAUZO NI MAHUSIANO ujifunze jinsi ya kujenga ushawishi na kuimarisha mahusiano na wateja wako, kitu ambacho kitapelekea mauzo yako kuongezeka maradufu.

Wasiliana na 0678977007 kupata nakala yako sasa hivi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MALENGO ULIYONAYO NI MADOGO SANAA...

Rafiki,
Malengo uliyonayo sasa ni madogo sana.

Malengo hayo ambayo hayakunyimi usingizi, hayatakufikisha pakubwa.

Malengo ambayo hayawashtui wengine wakaona kama umechanganyikiwa, hayatabadili maisha yako.

Kama kweli unataka kufanya makubwa kwenye maisha yako, zidisha malengo yako ya sasa mara 10.

Hayo malengo uliyoridhika nayo, yazidishe mara kumi.
Hayo ndiyo yanakuwa malengo sahihi kwako kupambania.

Ukipambania hayo, utaleta mapinduzi kwenye maisha yako.

Karibu kwenye FAMILIA YA KISIMA CHA MAARIFA uungane na watu wenye malengo makubwa.

Jiunge hapa; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Karibu.
Ni Kwa Nini Usome Kitabu Hiki Leo?…
https://amkamtanzania.com/2024/08/23/ni-kwa-nini-usome-kitabu-hiki-leo/

Kwanini Nisome Kitabu Hiki Leo?… Hili ni Moja Ya Swali Ambalo Nimeulizwa Jana Na Rafiki Yetu John, Nikaona Siyo Mbaya […]
24/08; Good Saturday…
https://amkamtanzania.com/2024/08/24/24-08-good-saturday/

Kwasababu Leo ni Jumamosi Nzuri na Tulivu. Basi Utapata VITABU Hivi Vyote 10 Kwa Bei Ya Ofa (50%)… Vyote Hivi […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
JINSI YA KUFIKIA WATEJA WENGI NA KUFANYA MAUZO MAKUBWA.

Rafiki,

Ni lengo la kila Muuzaji au biashara kufikia lengo la mauzo walilojiwekea.

MAUZO NI RAHA, pale unapokuwa unauza, kufikia lengo la mauzo na kugusa wateja wengi.

Wako wauzaji au biashara ambazo hazina malengo ya mauzo ya siku, wiki au mwezi. Wao wanauza tu. Kama hujui unaenda mbele au unarudi nyuma ni ngumu kupiga hatua.

Kwenye CHUO CHA MAUZO, unafundishwa namna ya kufikia wateja wengi, kuongeza mauzo, kuweka malengo ya mauzo na namna ya kufikia malengo hayo.

Ungana na wauzaji wengine ili na wewe upate matokeo ambayo wengine wanashuhudia.

Wasiliana na 0717101505 kupata kitabu chako cha CHUO CHA MAUZO na programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO.

Habari njema zaidi ni kwamba, kwa mwezi huu tuna ofa ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO bure kabisa, kama una kitabu niambie nikuunganishe na kama huna tuwasiliane kwa 0717101505 upate ofa hii nzuri kwa ajili yako.
WATU MAKINI WANAJADILI MAWAZO MAKUBWA YA MAFANIKIO...

Rafiki,
Kama kila ukikutana na watu mnajadili michezo, siasa na mapenzi, hao siyo watu makini.

Watu makini huwa wanajadili mawazo makubwa ya maendeleo.

Hata inapokuwa ni mijadala ya michezo, siasa na mapenzi ni kwa namna ya kupiga hatua kubwa.

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 uweze kukutana na watu makini ambao utajadiliana nao mambo makubwa.

Semina itafanyika tarehe 27/10/2024 Mbezi Garden Hotel DSM.

Wasiliana sasa na 0713 604 101 kuwahi nafasi ya kushiriki semina.
3524; Kipimo rahisi cha nafasi na fedha.
https://amkamtanzania.com/2024/08/24/3524-kipimo-rahisi-cha-nafasi-na-fedha/

3524; Kipimo rahisi cha nafasi na fedha. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Kupima kwa haraka mafanikio ambayo mtu […]
KITABU; USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI - PATA, TUNZA NA ZALISHA FEDHA ILI UWE HURU.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha kesho Jumatatu tutakuwa na mada ya;

KITABU; USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI - PATA, TUNZA NA ZALISHA FEDHA ILI UWE HURU.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
UTAJIRI MKUBWA CHANZO CHAKE KIKUBWA NI UWEKEZAJI

Rafiki,
Utajiri halisi ni pale ambapo mtu anakuwa amefanya uwekezaji ambao unamwingizia kipato cha kuweza kuyaendesha maisha yake vile anavyotaka, bila kulazimika kufanya kazi moja kwa moja.

Hii pia inasaidia kuondoa baadhi ya changamoto ambazo zinajitokeza baada ya vitu kuonekana kwa watu wetu wa karibu.

Kwa hiyo, unachopaswa kufanya ni kujenga utarajiri halisi kupitia uwekezaji unaokua thamani na kuzalisha faida kuliko kujenga utarajiri wa maonyesho na kutumia kipato kikubwa.

Karibu uunganishwe kwenye program ya Nguvu Ya Buku ambapo utakutana na watu wenye mtazamo chanya kuhusu uwekezaji πŸ‘‡

MUHIMU; * Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ili kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0713604101 kupata kitabu na huduma.
OKTOBA, HAPATATOSHA...

Rafiki,
Umewahi kujifunza mambo mengi kwenye maisha yako.

Ila hii Oktoba utakwenda kuona mambo ambayo hujawahi kuyaona kwenye maisha yako.

Unakwenda kupata mafunzo ya USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI ambayo yanafanya kazi kweli.

Utaondoka na zana ambazo utakwenda kuzifanyia kazi kwa uhakika na kupata matokeo mazuri.

Karibu sana tuungane pamoja tarehe 27/10/2024 kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 itakayofanyika Mbezi Garden Hotel DSM

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/=

Wasiliana sasa na 0713 604 101 kupata nafasi ya kushiriki.