#ONK-229; Mafanikio; Nguzo Saba Za Maisha Ya Uhuru Na Mafanikio Makubwa.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-229-Mafanikio-Nguzo-Saba-Za-Maisha-Ya-Uhuru-Na-Mafanikio-Makubwa-e2ncscc

Ndani ya hiki kitabu kuna;
1. Uchambuzi wa vitabu 50 bora vya mafanikio.
2. Siri 50 bora za mafanikio.
3. Kanuni 50 bora za fedha.
4. Tafakari 50 za kufikirisha.
5. Masomo 50 ya mafanikio.
Yote hayo unayapata ndani ya kitabu kimoja kikubwa cha 5 ZA MAJUMA 50 YA MWAKA.
Wasiliana sasa na 0678 977 007 kujipatia nakala yako.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#PovuLaPesa; KUJENGA UTAJIRI, EPUKA NJIA ZA MKATO.
Rafiki,
Kwenye kujenga utajiri, huwa zinajitokeza njia nyingi sana za mkato.
Lakini njia hizo huwa zinaishia kuwapotezea watu muda, fedha na hata heshima.
Hakuna njia ya mkato ambayo imewahi kumletea mtu utajiri wa kudumu.
Baadhi wanaozitumia hupata utajiri, lakini huwa ni wa kudumu kwa muda mfupi tu.
Kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI kinakupa njia za uhakika kwako kujenga utajiri ambao utadumu kwa muda mrefu.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.

3520; Ni hatua kwa hatua.
https://amkamtanzania.com/2024/08/20/3520-ni-hatua-kwa-hatua/
3520; Ni hatua kwa hatua. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Kwenye maisha kila kitu huwa kina ngazi ambazo [β¦]

Njia Sahihi Ya Kukabiliana na Nyakati Ngumu na Nyakati Rahisi Kwenye Maishaβ¦
https://amkamtanzania.com/2024/08/20/njia-sahihi-ya-kukabiliana-na-nyakati-ngumu-na-nyakati-rahisi-kwenye-maisha/
Njia Sahihi Ya Kukabiliana na Nyakati Ngumu na Nyakati Rahisi Kwenye Maishaβ¦ Rafiki Yangu, Njia Sahihi Ya Kukabiliana na Nyakati [β¦]

Rafiki Yangu, Mambo Yakiwa Rahisi Wewe Kuwa Mgumu. Na Mambo Yakiwa Magumu Wewe Kuwa Mrahisi.
Ukweli Ni Huu, Mambo Yakiwa Rahisi Unabweteka na Hivyo Kupelekea Kuanguka.
Na Mambo Yakiwa Magumu Unataharuki, Unapaniki na Kupelekea Kuanguka.
Kulivuka Hili, Pale Mambo Yanapokuwa Rahisi Weka Ugumu, Nenda Speed, Weka Kazi Zaidi.
Na Pale Mambo Yakiwa Magumu Punguza Speed Nenda Kirahisi Hatua Kwa Hatua Hili Uweze Kukabiliana na Ugumu Huo.
Rafiki Yote Haya Yapo Ndani Ya Uwezo Wako na Ukiweza Kuyafanyia Kazi Basi MAFANIKIO ni Uhakika Kwako.
Na Ikitokea Hujapata Kitabu Cha *MTAALA WA UTAJIRI*. Na Bado Hujapata Nafasi Ya Kujiunga na Program Ya *NGUVU YA BUKU*.
Basi Bonyeza Hapa π *https://wa.link/rw01cd*

#ONK-230; Jinsi Ya Kugatua Majukumu Kwa Usahihi Ili Kukuza Biashara.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-230-Jinsi-Ya-Kugatua-Majukumu-Kwa-Usahihi-Ili-Kukuza-Biashara-e2nea18

JINSI YA 'KUTOBOA' KIMAISHA.
KIPATO kikubwa
AKIBA ya uhakika
UWEKEZAJI unaokuweka huru.
Hivyo ni vitu vitatu ambavyo ukiweza kujihakikishia, basi umetoboa kimaisha.
Tarehe 27/10/2024 unakwenda kupata mwongozo kamili wa jinsi ya kujenga hayo.
Ni kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 itakayofanyika Mbezi Garden Hotel DSM
Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/=
Wasiliana sasa na 0713 604 101 kupata nafasi ya kushiriki.

KIPATO KINAPASWA KUWA KIKUBWA KULIKO MATUMIZI
Rafiki,
Kama kipato chako ni 100,000/= na matumizi yako ni 99,999/=, upo kwenye njia nzuri, kwani ukiendelea hivyo unaweza kutengeneza utajiri mkubwa kwenye maisha yako.
Lakini kama kipato chako ni 100,000/= na matumizi yako ni 101,000/=, upo kwenye njia mbaya, kwani ukiendelea hivyo utaishia kuzama kwenye lindi la umasikini.
Unaweza kujiuliza kwa nini? Hesabu hapo juu tofauti ni 1,000/= tu. Lakini pesa hizi ndogo ndogo madhara yake ni makubwa sana. Mtu anayewekeza 1,000/= anaweza kukuza utajiri mkubwa baadaye na anayepiteza 1,000/= atakuwa na deni kubwa linalokupeleka kwenye umasikini.
Hivyo, kipato na matumizi lazima uviangalie kwa jicho la pili. Je, unakwama na unahitaji kujitoa. Karibu π
Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri pamoja na kuwekwa kwenye kundi maalumu la NGUVU YA BUKU. Wasiliana na +255713604101kupata kitabu na huduma.

Mpinzani na Adui Mkubwa Wa MAFANIKIO Yakoβ¦
https://amkamtanzania.com/2024/08/21/mpinzani-na-adui-mkubwa-wa-mafanikio-yako/
Ukinzani Unakuwa Mkali Sana Pale Unapotaka Kufanya Kitu Chenye Manufaa Kwakoβ¦. Rafiki Yangu Unaweza Kuamua Kufanya Kitu Cha Kijinga Kama [β¦]
https://amkamtanzania.com/2024/08/21/mpinzani-na-adui-mkubwa-wa-mafanikio-yako/
Ukinzani Unakuwa Mkali Sana Pale Unapotaka Kufanya Kitu Chenye Manufaa Kwakoβ¦. Rafiki Yangu Unaweza Kuamua Kufanya Kitu Cha Kijinga Kama [β¦]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
PUUZA MADHAIFU YAKO UFANIKIWE.
Rafiki,
Najua umekuwa unaambiwa uyajue madhaifu yako na kuyaboresha ili ufanikiwe.
Nikuambie tu kwamba huo ni UONGO.
Huwezi kufanikiwa kwa kuboresha madhaifu yako.
Kwa sababu ukijaribu kuboresha madhaifu yako, unayapa nguvu zaidi na yanakukwamisha.
Ukitaka mafanikio makubwa, boresha zaidi uimara wako.
Fanyia kazi yale maeneo ambayo tayari uko imara ili uwe imara zaidi.
Na hayo ambayo una udhaifu, usiyaboreshe, badala yake tafuta ambao wako imara kwenye hayo na ushirikiane nao.
Kitabu cha UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA ni mwongozo mzuri kwako kujitambua na kujua uimara wako ulipo.
Kwa kujijua mwenyewe na kuboresha uimara wako, utafanya makubwa.
Wasiliana sasa na 0678 977 007 kujipatia nakala ya kitabu.

MANUFAA UTAKAYOPATA BAADA YA KUJIUNGA NA CHUO CHA MAUZO
Rafiki,
Ni hitaji la kila mmoja wetu kuwa na matarajio fulani kabla hajafanya maamuzi juu ya kitu hicho.
Asili ya binadamu ni ubinafsi, kabla hawajanunua, wanaangalia ni manufaa gani binafsi watapata baada ya kuwa wamenunua kile unachouza.
Kwa chochote kile unachouza, jali kwanza maslahi ya wateja wako, na utauza kama vile una kizizi.
Baadhi ya manufaaa utakayoyapata kwenye CHUO CHA MAUZO ni;
1. Utaongeza mauzo yako mara mbili.
2. Utaongeza faida zaidi na kipato chako kuongezeka.
3. Utajenga ushawishi na wateja lakini pia wale unaohusiana nao.
4. Utajifunza namna ya kuwa muuzaji bora kuwahi kutokea.
5. Utajifunza namna ya kukabiliana na mapingamizi ya wateja na kuwashawishi kununua.
Karibu sana kwenye program ya CHUO CHA MAUZO uendelee kupata mafunzo endelevu yatakusaidia kuwa bora kwenye kila eneo la maisha yako.
Kupata kitabu na ofa ya kujiunga kwenye CHUO CHA MAUZO bure kabisa mwezi huu wasiliana na 0717101505 sasa hivi.

Rafiki Yangu Unaweza Kuamua Kufanya Kitu Cha Kijinga Kama Vile Kulewa Pombe na Watu Wakakusifia.
Lakini Ukisema Ufanye Kazi Kwa Juhudi Kubwa Sana, Wataanza Kukusema Vibaya, Utasikia Huyu Jamaa Anajidai Sana, Mara Ooh Huyu Jamaa Anaringa Sana...
Kwahiyo Inaonekana ni Rahisi Sana Kufanya Mambo Ambayo ni Ya Kijinga Hata Kama ni Ya Hatari, Kuliko Kufanya Mambo Ambayo Yana Manufaa Kwako. KWA NINI?
*Kwasababu Ya Ukinzani uliondani Yako*...
Kuvuka Huu Ukinzani Zingatia Mambo Haya Matano (5).
1. Fanya Unachohofia. 2. Kuwa na Mtu/Watu Watakao Kuwajibisha. 3. Kuwa Na Ndoto Kubwa. 4. Kuwa na Kusudi Kubwa. 5. Fikiria Kuhusu Kifo.
Vizuri, Kama Bado Hujapata Kile Kitabu Kikubwa Cha Bluu Chenye Vitabu 50 Ndani Yake na Siri 50 Za MAFANIKIO. Basi Wakati Wako ni Sasa, Kuwa Wa Kwanza ni Hapa π*https://wa.link/rwvab4*

3521; Tafsiri ya kipato.
https://amkamtanzania.com/2024/08/21/3521-tafsiri-ya-kipato/
3521; Tafsiri ya kipato. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Kipato unachoingiza kwa sasa ni tathmini ya thamani ya [β¦]

Rafiki Yangu ni Haki Yako Ya Msingi Kabisa Kufanikiwa.
Na Unaweza Kupata Mafanikio Makubwa Sana. Lakini Kumbuka Ugumu Hauepukiki.
Kwasababu Kati Ya Watu 100 Wanaotaka Mafanikio, 1% Pekee Ndiyo Wanaopata Mafanikio Makubwa Sana, 4 % na 5% Mafanikio Ya Wastani, Alafu 90% Waliobaki Hawapati MAFANIKIO Kabisa.
Unaweza Ukawa Unajiuliza Kwani Huu Ugumu Wa MAFANIKIO Unatoka Wapi?
Ukweli ni Kwamba Ugumu Wa Mafanikio Haupo Kwenye Kile Unachofanya Bali Kwenye Muda na Kurudia Rudia.
Kwahiyo Ukitaka Kufanikiwa Sana Kwenye Chochote Kile Kifanye Kwa Muda Mrefu na Kwa Kukirudia Rudia.
Na Ukiweza Kukifanya Kwa Zaidi Ya Miaka 5 Bila Kuacha Basi Utafanikiwa Sana. Anyway, Kama Bado Hujapata Nafasi Ya Kujiunga na Program Ya *NGUVU YA BUKU*. Basi Bonyeza Hapa π *https://wa.link/rw01cd*

NJOO UUNGANE NA WATU MAKINI...
Rafiki,
Kama unataka kupiga hatua kutoka hapo ulipo sasa, unapaswa kuambatana na watu makini.
Watu ambao nao wameamua kupiga hatua kwenye maisha yao.
Kwa bahati mbaya sana, watu hao hawapatikani kila mahali.
Ila kuna bahati nzuri kwamba lipo tukio moja tu linalowaleta watu wote makini mahali pamoja.
Tukio hilo ni SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA, ambayo huwa inafanyika kila mwaka kwa miaka 9 sasa.
Mwaka huu 2024 semina itafanyika DSM tarehe 27/10/2024.
Kwa kiingilio cha Tshs 65,000 Tu unakwenda kupata maarifa bora sana na kuungana na watu sahihi ili kufanikiwa.
Jiwekee nafasi ya kushiriki semina kwa kuwasiliana na namba 0713 604 101
Karibu uambatane na watu sahihi kwa mafanikio yako.

Ugumu Wa Maisha na Mafanikio Kwa Ujumla Upo Kwenye Vitu Hivi Viwili (2)β¦
https://amkamtanzania.com/2024/08/22/ugumu-wa-maisha-na-mafanikio-kwa-ujumla-upo-kwenye-vitu-hivi-viwili-2/
Ugumu Wa Maisha na Mafanikio Kwa Ujumla Upo Kwenye Vitu Hivi Viwili (2) Muhimuβ¦. Rafiki Yangu ni Haki Yako Ya [β¦]

#ONK-231; Afya; Ujue Mwili Wako - Mfumo Wa Upumuaji.
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-231-Afya-Ujue-Mwili-Wako---Mfumo-Wa-Upumuaji-e2nfmd3
https://podcasters.spotify.com/pod/show/dr-makirita-amani/episodes/ONK-231-Afya-Ujue-Mwili-Wako---Mfumo-Wa-Upumuaji-e2nfmd3
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
UNGANA NA WATU HAWA SAHIHI UFANIKIWE.
Rafiki,
Adui namba moja wa mafanikio yako ni wewe mwenyewe.
Kwa uvivu na uzembe ambao ni asili ya kila binadamu, umekuwa unajikwamisha kufanikiwa.
Kama unataka mafanikio makubwa, unapaswa kuambatana na watu ambao pia wana mafanikio makubwa.
Watu hao hawapatikani kila mahali.
Ila kwenye FAMILIA YA MAFANIKIO YA KISIMA CHA MAARIFA, unawapata watu hao sahihi.
Karibu ujiunge na familia hii ya mafanikio ya KISIMA CHA MAARIFA kwa kutumia link hii; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4
Rafiki, usiendelee kujikwakisha, njoo uambatane na watu sahihi ufanikiwe.

FAIDA ZA KUWEKA AKIBA KATIKA SAFARI YA UTAJIRI
Rafiki,
Mojawapo ya kanuni bora ya matumizi mazuri ya pesa ni akiba. Japo baadhi ya watu hufikiri kuwa ili uweze kuweka akiba ni lazima uwe na pesa nyingi, lakini ukweli ni kuwa kuweka akiba ni maamuzi tu na siyo kuwa na pesa nyingi.
Kwenye makala ya leo, nimekuwekea faida nne unazopata kutokana na kuweka AKIBA;
Moja; Kujiaandaa kwa dharura
Watu wengi huingia kwenye madeni au kupata uhitaji mkubwa wa pesa inapotokea na dharura, lakini ukiwa na akiba ndiyo utatumia.
Mbili; Uhuru wa kifedha
Hii ni kuwa mtu ambaye unatakiwa kuwa maishani na kuweza kufanya au kupata kile unachokihitaji maishani.
Tatu; Matumizi mazuri ya pesa.
Kuweka akiba siyo kuwa na pesa nyingi bali ni maamuzi na mipango stahiki pekee.
Nne; Utulivu wa akili.
Unapokuwa akiba yoyote hata ndoto unazoota sio za kukimbizwa mitaroni unakuwa na utulivu wa akili.
MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze na kuingizwa kwenye program ya NGUVU YA BUKU Wasiliana na 0713604101