Falsafa Ya Ustoa; Tabia Za Akili Yenye Busara.
https://amkamtanzania.com/2024/06/02/falsafa-ya-ustoa-tabia-za-akili-yenye-busara/
Rafiki yangu mpendwa, Watu wengi wamekuwa wanakosa utulivu kwenye maisha yao kwa sababu akili zao zinakosa busara. Wanajikuta wakihangaika na [β¦]

Mpango Sahihi Wa Matumizi Ya Fedha Zako Ili Kujenga Utajiri.
https://amkamtanzania.com/2024/06/02/mpango-sahihi-wa-matumizi-ya-fedha-zako-ili-kujenga-utajiri/
Rafiki yangu mpendwa, Nimekuwa nakushirikisha mara kwa mara udhaifu mkubwa ambao watu wengi wanao kwenye eneo la USIMAMIZI WA FEDHA [β¦]

Pata BURE Uchambuzi na kitabu; EVERYDAY MILLIONAIRES.
Kumekuwa na imani nyingi potofu kwenye jamii zetu kuhusu utajiri na matajiri.
Imani hizo ndiyo zimekuwa kikwazo kikubwa kwa wengi kujenga utajiri kwenye maisha yao.
Mwandishi Chris Hogan, alifanya utafiti mkubwa sana ambao ulihusisha matajiri zaidi ya elfu 10.
Kwenye utafiti huo aliwauliza matajiri maswali mengi sana ambayo yalimwezesha kuwaelewa kwa kina.
Kwenye majibu ya utafiti huo, alihitimisha ili mtu ajenge utajiri mkubwa kwenye maisha yake, anapaswa kufanya vitu viwili tu;
Moja ni AVUNJE IMANI POTOFU alizonazo kuhusu utajiri. Ameainisha 6 za lazima kuvunja.
Mbili ni AJENGE TABIA ZA KITAJIRI. Ambapo ameainisha 5 za msingi.
Hayo yote ameyaeleza kwa kina kwenye kitabu EVERYDAY MILLIONAIRES
Tumekichambua vizuri kitabu hiki, kwa maandishi na sauti kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili iwe rahisi kwako kujifunza.
Tunakupa Uchambuzi huo pamoja na kitabu chenyewe BURE KABISA.
Tuma ujumbe; ZAWADI YA UTAJIRI kwenda wasap namba +255 717 101 505 kuipata.

Haijaisha mpaka imeisha,
Kazi yako haijakamilika mpaka umepata unachotaka.
Kama bado hujapata unachotaka, unapaswa kuendelea kuweka kazi zaidi.
Usifanye vile unavyoweza, bali fanya kadiri inavyowezekana.
Itakuwa ngumu kuliko ulivyotarajia, lakini itakuwa na manufaa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita

Kuwa Na Usimamizi Mzuri Wa Fedha Binafsi Ili Kuwa Muuzaji Bora Na Kufanya Mauzo Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/06/03/kuwa-na-usimamizi-mzuri-wa-fedha-binafsi-ili-kuwa-muuzaji-bora-na-kufanya-mauzo-makubwa/
Habari njema wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya CHUO CHA MAUZO, kwenye eneo la [β¦]

Sifa Tisa (9) Za Njia Za Kuongeza Kipato Ili Kufikia Uhuru Wa Kifedha.
https://amkamtanzania.com/2024/06/03/sifa-tisa-9-za-njia-za-kuongeza-kipato-ili-kufikia-uhuru-wa-kifedha/
Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo ya uwekezaji kwenye programu yetu ya NGUVU YA BUKU. Hii ni [β¦]

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HUJANYANYAPALIWA, UMEAMBIWA UKWELI...
Rafiki,
Kama una kilema, na mtu akakusema vibaya kwa kilema chako, hapo umenyanyapaliwa.
Kwa sababu unakuwa huna cha kufanya kubadili kilema chako.
Lakini kama ni masikini na mtu akakusema vibaya kwa umasikini wako, hujanyanyapaliwa.
Kwa sababu ipo ndani ya uwezo wako kubadili hali hiyo ya umasikini.
Watu wakikudharau kwa umasikini wako, pata hasira ya kuhakikisha unapata utajiri na kuwakomesha waache dharau.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.

DUMU NA WATEJA MILELE...
Rafiki,
Mteja akishanunua kwako hata mara moja tu, kumpoteza ni kuamua wewe mwenyewe.
Kwani ipo ndani ya uwezo wako kumbakisha kwa muda mrefu kila mteja anayenunua.
Hilo halihitaji ndumba wala huruma, bali linatokana na huduma unazowapa wateja wako.
Kwa kuwapa wateja wako huduma bora kabisa, ambazo hawezi kuzipata mahali pengine, itawafanya wabaki na wewe.
Ni nani asiyependa vitu vizuri?
Wape wateja huduma bora sana na watakuganda milele.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na uduku nao milele.

SWALI NI JE WATARUDI TENA KUNUNUA?
Rafiki,
Unaweza kuwapigia kelele wateja kuja kununua.
Ukafanya matangazo mengi sana,
Ukawaahidi makubwa.
Wakashawishika na kuamua kununua.
Swali la msingi ni je watarudi tena kununua baada ya manunuzi yao ya kwanza?
Kama wateja hawatapata huduka bora, hata uwapigie kelele kiasi gani, hawatarudi tena.
Una nafasi moja tu ya kumridhisha mteja kwa kumpa huduma bora kabisa. Itumie vizuri.

SIRI ZOTE ZIMEFICHWA HAPA...
Rafiki,
Huwa kuna usemi kwamba ukitaka kumficha mtu kitu, kiweke kwenye vitabu.
Huo umekuwa ni ukweli mchungu, wengi hawasomi na maisha yanawapiga sana.
Kama unajua kusoma na husomi vitabu, huna tofauti na asiyejua kusoma.
Maana wote mnakosa mambo mazuri.
Changamoto yoyote unayopitia sasa, tayari ina majibu yake ndani ya vitabu.
Niambie nini unachotaka kupata kwa sasa kwenye maisha yako na nitakuambia kitabu gani unapaswa kusoma ili upate mwanga.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Rafiki,
Huwa kuna usemi kwamba ukitaka kumficha mtu kitu, kiweke kwenye vitabu.
Huo umekuwa ni ukweli mchungu, wengi hawasomi na maisha yanawapiga sana.
Kama unajua kusoma na husomi vitabu, huna tofauti na asiyejua kusoma.
Maana wote mnakosa mambo mazuri.
Changamoto yoyote unayopitia sasa, tayari ina majibu yake ndani ya vitabu.
Niambie nini unachotaka kupata kwa sasa kwenye maisha yako na nitakuambia kitabu gani unapaswa kusoma ili upate mwanga.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Fanya Hivi Kudumu Na Wateja Wa Biashara Yako Milele.
https://amkamtanzania.com/2024/06/03/fanya-hivi-kudumu-na-wateja-wa-biashara-yako-milele/
Rafiki yangu mpendwa, Huduma ni shughuli inayofanywa kwa manufaa ya mtu au watu wengine. Mfano, hospitali kuna huduma ya kwanza [β¦]

Ngazi Za Huduma Zinazotolewa Na Kocha Dr. Makirita Amani.
https://amkamtanzania.com/2024/06/03/ngazi-za-huduma-zinazotolewa-na-kocha-dr-makirita-amani/
Mrejesho Wa Siku Ya Kuzaliwa Ya Kocha Dr. Makirita Amani. Rafiki yangu mpendwa, Tarehe 28 mwezi Mei ni siku ya [β¦]

WAJALI WATEJA WAKO NAO WATAIJALI BIASHARA YAKO..
Rafiki,
Kwa asili sisi binadamu ni wabinafsi, tunajali zaidi maslahi yetu kuliko ya wengine.
Unaweza kutumia tabia hii ya ubinafsi kuuza zaidi, kwa kuyaweka mbele maslahi ya wateja kabla ya maslahi yako.
Unapokuwa unaenda kwa mteja au kuzungumza naye litambue hilo. Litakuongoza wewe na litakufanya usikate tamaa.
Ukijali sana kuhusu wateja wako, ukayajua maslahi yao na kuwasaidia kuyatimiza, ukawapa thamani kubwa kuliko gharama wanayolipia, wateja hao watakulipa kwa kuijali biashara yako.
Watakuwa wateja waaminifu kwako, watanunua kwa wingi, kwa muda mrefu na pia watawaleta wengine nao wanunue.
Namna gani unaenda kujali maslahi yao?
Kitabu Cha MAUZO NI HUDUMA kinakupa mbinu na mikakati ya kufanya, ili uwahudumie vizuri wateja wako.
Jipatie nakala yako kupitia 0678977007. Usikubali kufanya mauzo ya kubahatisha. Jali maslahi yao, watajali biashara yako.
Karibu

MBAKIZE KWENYE BIASHARA YAKO MILELE...
Rafiki,
Kitendo cha kumjua mteja na kumfikia kinakupa nafasi ya moja kwa moja kumshawishi
na kumuuzia.
Kwani uwezo wa kuuza upo ndani yako. Na unapomuuzia hapaswi kupotea. Anapaswa aendelee kununua.
Kinachomfanya aendelee kununua ni ile nzuri anayopata mteja wako.
Kwa kuwapa wateja wako huduma bora kabisa, ambazo hawezi kuzipata mahali pengine, itawafanya wabaki na wewe.
Ni nani asiyependa kuhudumiwa vizuri?
Wape wateja huduma bora sana na watakupa unachotaka ambayo ni manunuzi.
Kitabu cha MAUZO NI HUDUMA kimeelezea kwa kina jinsi unavyoweza kuwapa wateja wako HUDUMA BORA SANA na ukadumu nao milele.
Kitabu kinakupa mbinu na mikakati ya kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee sana kwenye eneo la huduma kiasi cha wateja kuambiana na kuja kwa wingi.
Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usikubali kupoteza wateja ambao wameshanunua kwenye biashara yako, wahudumie vizuri na udumu nao milele.

NJOO TUJENGE UTAJIRI PAMOJA.
Rafiki yangu mpendwa,
Tangu nikiwa mtoto mdogo, nilimwambia mama yangu kwamba kwenye haya maisha nitakuja kuwa tajiri.
Nilikuwa nimechoshwa na maisha ya umasikini. Ilionekana kama utoto tu, lakini huo ni moto ambao haujawahi kuzima.
Baada ya kufanya tafiti na kujifunza kisha kuweka kwenye matendo, nimeona dhahiri kwamba KILA MTU ANAWEZA KUWA TAJIRI.
Na kwenye moja ya huduma ninazotoa, nakupa mwongozo na usimamizi wa kukuhakikishia kujenga utajiri kwenye maisha yako.
Kama upo tayari kw hilo, karibu tuungane pamoja.
Hapa nimeoroshesha huduma zote ninazotoa na jinsi ya kunufaika nazo. Fungua kujifunza; https://youtu.be/HItK5Vg_ajE
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Rafiki yangu mpendwa,
Tangu nikiwa mtoto mdogo, nilimwambia mama yangu kwamba kwenye haya maisha nitakuja kuwa tajiri.
Nilikuwa nimechoshwa na maisha ya umasikini. Ilionekana kama utoto tu, lakini huo ni moto ambao haujawahi kuzima.
Baada ya kufanya tafiti na kujifunza kisha kuweka kwenye matendo, nimeona dhahiri kwamba KILA MTU ANAWEZA KUWA TAJIRI.
Na kwenye moja ya huduma ninazotoa, nakupa mwongozo na usimamizi wa kukuhakikishia kujenga utajiri kwenye maisha yako.
Kama upo tayari kw hilo, karibu tuungane pamoja.
Hapa nimeoroshesha huduma zote ninazotoa na jinsi ya kunufaika nazo. Fungua kujifunza; https://youtu.be/HItK5Vg_ajE
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
#MiferejiYaKipato; MIFEREJI YA KUINGIZA KIPATO KUPITIA SOKO LA HISA.
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Jumanne tarehe 04/06/2024 tutakuwa na mada ya;
MIFEREJI YA KUINGIZA KIPATO KUPITIA SOKO LA HISA.
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,
Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.
Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,
Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita
Kipindi cha Jumanne tarehe 04/06/2024 tutakuwa na mada ya;
MIFEREJI YA KUINGIZA KIPATO KUPITIA SOKO LA HISA.
Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Pata BURE Uchambuzi na kitabu; EVERYDAY MILLIONAIRES.
Kumekuwa na imani nyingi potofu kwenye jamii zetu kuhusu utajiri na matajiri.
Imani hizo ndiyo zimekuwa kikwazo kikubwa kwa wengi kujenga utajiri kwenye maisha yao.
Mwandishi Chris Hogan, alifanya utafiti mkubwa sana ambao ulihusisha matajiri zaidi ya elfu 10.
Kwenye utafiti huo aliwauliza matajiri maswali mengi sana ambayo yalimwezesha kuwaelewa kwa kina.
Kwenye majibu ya utafiti huo, alihitimisha ili mtu ajenge utajiri mkubwa kwenye maisha yake, anapaswa kufanya vitu viwili tu;
Moja ni AVUNJE IMANI POTOFU alizonazo kuhusu utajiri. Ameainisha 6 za lazima kuvunja.
Mbili ni AJENGE TABIA ZA KITAJIRI. Ambapo ameainisha 5 za msingi.
Hayo yote ameyaeleza kwa kina kwenye kitabu EVERYDAY MILLIONAIRES
Tumekichambua vizuri kitabu hiki, kwa maandishi na sauti kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili iwe rahisi kwako kujifunza.
Tunakupa Uchambuzi huo pamoja na kitabu chenyewe BURE KABISA.
Tuma ujumbe; ZAWADI YA UTAJIRI kwenda wasap namba +255 717 101 505 kuipata.
Kumekuwa na imani nyingi potofu kwenye jamii zetu kuhusu utajiri na matajiri.
Imani hizo ndiyo zimekuwa kikwazo kikubwa kwa wengi kujenga utajiri kwenye maisha yao.
Mwandishi Chris Hogan, alifanya utafiti mkubwa sana ambao ulihusisha matajiri zaidi ya elfu 10.
Kwenye utafiti huo aliwauliza matajiri maswali mengi sana ambayo yalimwezesha kuwaelewa kwa kina.
Kwenye majibu ya utafiti huo, alihitimisha ili mtu ajenge utajiri mkubwa kwenye maisha yake, anapaswa kufanya vitu viwili tu;
Moja ni AVUNJE IMANI POTOFU alizonazo kuhusu utajiri. Ameainisha 6 za lazima kuvunja.
Mbili ni AJENGE TABIA ZA KITAJIRI. Ambapo ameainisha 5 za msingi.
Hayo yote ameyaeleza kwa kina kwenye kitabu EVERYDAY MILLIONAIRES
Tumekichambua vizuri kitabu hiki, kwa maandishi na sauti kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili iwe rahisi kwako kujifunza.
Tunakupa Uchambuzi huo pamoja na kitabu chenyewe BURE KABISA.
Tuma ujumbe; ZAWADI YA UTAJIRI kwenda wasap namba +255 717 101 505 kuipata.
Kisasi sahihi cha kulipa kwa wote waliokukwamisha ni kupata mafanikio makubwa sana kiasi cha wao kuonekana kama wanacheza tu.
Usipoteze nguvu zako kwa jambo lolote ambalo halikupi ushindi mkubwa zaidi wewe.
Kazana kushinda zaidi, iko ndani ya uwezo wako na ndiyo adhabu tosha kwa wanaokukwamisha.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Usipoteze nguvu zako kwa jambo lolote ambalo halikupi ushindi mkubwa zaidi wewe.
Kazana kushinda zaidi, iko ndani ya uwezo wako na ndiyo adhabu tosha kwa wanaokukwamisha.
Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Tumia Watu Wenye Ushawishi Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/04/tumia-watu-wenye-ushawishi-kufikia-wateja-wengi-zaidi/
Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo [β¦]