SOMA VITABU TANZANIA📚
1.14K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.6K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
SOMO LA UWEKEZAJI: Acha Michezo ya Pesa, Anza Kuweka Fedha Mahali Salama – Jenga Utajiri wa Kudumu!
https://amkamtanzania.com/2025/03/29/somo-la-uwekezaji-acha-michezo-ya-pesa-anza-kuweka-fedha-mahali-salama-jenga-utajiri-wa-kudumu/

🟡 SOMO LA UWEKEZAJI: Acha Michezo ya Pesa, Anza Kuweka Fedha Mahali Salama – Jenga Utajiri wa Kudumu! Rafiki yangu Mpendwa, Ukweli unaoumiza ni kwamba watu wengi wameingia kwenye michezo ya “kupeana fedha” kwa matarajio ya kupata akiba au mikopo ya dharura. Wengi wameamini kuwa huu ndio mkombozi wao wa kifedha. Lakini hebu jiulize: Ni […]
Vuka Kikwazo Hiki Ili Uwekeze Kwa Mafanikio.
https://amkamtanzania.com/2025/04/05/vuka-kikwazo-hiki-ili-uwekeze-kwa-mafanikio/

DARASA LA UWEKEZAJI; JINSI YA KUFIKIRI KWA USAHIHI KAMA MWEKEZAJI (NGUZO 5 ZA KUKUIMARISHA) Rafiki, Watu wengi wanasikia kuhusu uwekezaji na hupenda kujaribu kuwekeza. Lakini mara nyingi, wanapojaribu, hawadumu kwa muda mrefu. Wengi hudhani kinachowazuia ni ukosefu wa elimu – na ni kweli, elimu ina mchango mkubwa. Lakini jambo kubwa zaidi linalowakwaza wengi ni FIKRA […]
Kujenga utajiri, usinywe kinywaji kingine isipokuwa hiki tu.
https://amkamtanzania.com/2025/04/11/kujenga-utajiri-usinywe-kinywaji-kingine-isipokuwa-hiki-tu/

Rafiki yangu mpendwa, Kwenye safari yako ya kujenga utajiri, ni lazima mara zote urudi kwenye msingi kwamba SIRI KUU YA KUJENGA UTAJIRI NI KUWA BAHILI. Najua kusikia tu UBAHILI tayari umejisikia vibaya, kwa kuona ni kujitesa. Lakini UBAHILI siyo kujitesa, bali kuwa na matumizi madogo kuliko kipato chako. Kwa bahati mbaya sana, mara kwa mara […]
Pata Elimu Hii Muhimu Kuhusu Mikopo Kutoka Benki Kuu Ya Tanzania (BoT)
https://amkamtanzania.com/2025/04/14/pata-elimu-hii-muhimu-kuhusu-mikopo-kutoka-benki-kuu-ya-tanzania-bot/

Rafiki yangu mpendwa, Huwa kuna kauli maarufu inayosema; ‘kukopa harusi, kulipa matanga.’ Wakati wa kuchukua mikopo, watu wengi huwa na furaha kwa kuona wanapata fedha ambazo hawakuwa nazo. Lakini wakati wa kulipa mikopo hiyo, watu huwa na huzuni, kwa sababu ya gharama zinazokuwa zinaambatana na mikopo hiyo. Jamii yetu kwa sasa imeandamwa na mikopo mingi […]
Kipato Chako Kinaweza Kuongezeka Mara Mbili Bila Kuanza Biashara Mpya Wala Kuacha Kazi Yako….
https://amkamtanzania.com/2025/04/21/kipato-chako-kinaweza-kuongezeka-mara-mbili-bila-kuanza-biashara-mpya-wala-kuacha-kazi-yako/

Mpendwa Rafiki, Kile unachokifanya kila siku ili kuongeza kipato ndicho kinachokufanya ubaki hapo ulipo. Watu wengi wanaamini kuwa njia pekee ya kuongeza kipato ni kufanya kazi zaidi, kuanzisha biashara kubwa, au kupata kazi nyingine yenye mshahara mzuri. Lakini ukweli ni huu: si kazi nyingi huongeza kipato  bali kazi sahihi. Sio kwamba hujajituma vya kutosha. Wengi […]
Mwongozo Wa Maisha Ya Mafanikio Kwa Wajasiriamali Wote 2025…
https://amkamtanzania.com/2025/04/22/mwongozo-wa-maisha-ya-mafanikio-kwa-wajasiriamali-wote-2025/

Mpendwa Rafiki, Biashara si ya watu wenye mtaji mkubwa, ni ya watu wenye moyo mgumu na akili inayojifunza kila siku. Watu wengi huona wajasiriamali kama matajiri wanaochekea benki, …lakini hawajui kuna siku unalala bila kuuza, kuna wakati unaficha machungu mbele ya wateja, na kuna siku unajiuliza: Kwa nini nilianza hii kitu? Lakini kumbuka: Uliingia huku […]
Unao Muda…
https://amkamtanzania.com/2025/04/23/unao-muda/

Unao Muda. Rafiki, kila siku unasema, *sina muda* ,  kumbe ni wewe tu hujui namna ya kuutumia. Haupo peke yako. Kila siku unajiambia “sina muda”, …lakini unatumia masaa mengi (masaa manne kwa siku) kwenye mitandao ya kijamii (WhatsApp, Facebook, Instagram, TikTok). Unasema unataka kufanikiwa,  lakini ratiba yako inasoma: kulala, kula, kuskrolu kwenye mitandao, kulalamika. Unajua […]
Mshahara Haukutoshi?…
https://amkamtanzania.com/2025/04/24/mshahara-haukutoshi/

Basi Sikiliza Hii Siri Ya Wale Wanaofanikiwa Na Kipato Kidogo! Mpendwa Rafiki, Wengi wetu tunasoma, tunahangaika, tunachapa kazi usiku na mchana, …lakini hela inavyopatikana si sawa na inavyopotea. Kule shule waliwahi kukufundisha (compound interest), lakini hawakuwahi kukufundisha kutokutumia hela hovyo wiki ya mshahara. Ujuzi wa fedha ni uwezo wa…. Kujua hela yako inaingia wapi na […]
Mtaje. Mvutie. Muuzie
https://amkamtanzania.com/2025/04/25/mtaje-mvutie-muuzie/

kutuma meseji kama: “Shikamoo Bi Amina, simu uliyoulizia imeshafika, karibu tena kwa punguzo la mteja wetu maalum. Bro, wateja walirudi. Biashara ikabadilika. Aliongeza mauzo mara mbili ndani ya miezi miwili. Aliniambia, Kumbe watu si wa kununua tu, wanataka kuheshimiwa na kutambulika. Usiendelee kutuma meseji za mtaani kwa mteja wa kisasa. Leo hii, tumia jina la […]
Muungano Day
https://amkamtanzania.com/2025/04/26/muungano-day/

Hivi Mpaka Leo Bado Unatumia Daftari Kufuatilia Biashara Yako? Mpendwa Rafiki, Biashara yako iko vizuri ila unaona kama kuna kitu kinakukwamisha? Mara unasahau jina la mteja, mara hupati kujua umetumia kiasi gani wiki hii, umepata kiasi gani, mara invoice unapoteza. Ni kama biashara inakuendesha wewe badala ya wewe kuiendesha. Yani unajikuta kila siku uko kwenye […]
Njia Ya Utajiri Ipo Karibu Kuliko Unavyodhani…
https://amkamtanzania.com/2025/04/28/njia-ya-utajiri-ipo-karibu-kuliko-unavyodhani/

‎Mpendwa Rafiki,‌‎Watu wengi wanaamini kuwa ili uanze kujenga utajiri, lazima uwe na hela nyingi ,milioni tano, kumi, au hata zaidi.‌‎Wengine wanasema, Mimi ni wa mshahara wa chini, siwezi kufika mbali.‌‎Lakini ukweli ni kwamba watu wengi hawajui kitu kimoja muhimu: nguvu ya buku moja tu.‌‎Buku ambayo unaitumia bila mpango kila siku, inaweza kuwa tiketi yako ya […]
Okoa Tshs 210,000 Nzima Leo…
https://amkamtanzania.com/2025/04/29/okoa-tshs-210000-nzima-leo/

‎Mpendwa Rafiki,‌‎Watu wengi wanapambana na hali ngumu ya kifedha, hela inakatika ghafla,‌‎…. matumizi hayaeleweki, akiba hakuna, na mwisho wa mwezi unakuwa mgumu kuliko mwanzo.‌‎Na labda hata wewe, unajiambia kila siku, Nahitaji kuongeza kipato changu, lakini sina pa kuanzia.‌‎Inachosha kuona pesa zako zinapita mikononi kama maji.‌‎Unaamka unayo, jioni haieleweki imeenda wapi.‌‎Ulikuwa na ndoto za kuanzisha biashara, […]
Pesa Hazikutoshi? Tatizo Sio Kipato.
https://amkamtanzania.com/2025/04/30/pesa-hazikutoshi-tatizo-sio-kipato/

‎Mpendwa Rafiki,‌‎Hii Ndiyo Siri Ya Kuacha Kuishi Kwa Bahati Nasibu.‌‎Kama umewahi kujiuliza, “Hivi mshahara wangu unaishia wapi?” au unashangaa kila mwezi hela yako inakatika bila hata kununua kitu kikubwa,‌‎…basi hii makala ni yako. Watu wengi wanapambana na kitu kimoja, kutokujua kutumia na kusimamia pesa zao binafsi kwa mpangilio.‌‎Na matokeo yake, kila mwezi unakuwa kama sinema […]
Mwezi Unaanza Ukiwa Na Malengo Makubwa, Lakini  Unaisha Ukiwa Na MADENI?…
https://amkamtanzania.com/2025/05/01/mwezi-unaanza-ukiwa-na-malengo-makubwa-lakini-unaisha-ukiwa-na-madeni/

‎Mpendwa Rafiki,‌‎ Kama kila mwezi unajikuta unalalamika, mshahara hautoshi, na siku zinazidi kukatika lakini hakuna hatua yoyote unayopiga… Basi hii *Zawadi* imekuja wakati sahihi kwako.‌‎ Kwasababu Ya Mei Mosi Unapata Vitabu Vinne (4) Vya Hardcopy: ‌‎1. Biashara Ndani Ya Ajira.- Hiki Thamani Yake Ni Tshs 20,000 Nzima.‌‎ 2. Usimamizi wa Fedha Binafsi – Hiki Thamani […]
Hii Ni Barua Kwa Mfanyakazi Mwenye Ndoto Kubwa Kuliko Mshahara Wake…
https://amkamtanzania.com/2025/05/02/hii-ni-barua-kwa-mfanyakazi-mwenye-ndoto-kubwa-kuliko-mshahara-wake/

‎Mpendwa Rafiki,‌‎Unajua nini kinauma kuliko mshahara mdogo?‌‎Ni kuwa na mshahara lakini bado unaishi kama huna kazi.‌‎Kila mwezi hela zinaingia… lakini hazikai.‌‎Kila siku unasema, Mwaka huu lazima nibadili maisha… lakini bado umerudi palepale.‌‎Unajituma kazini, unachoka, lakini mafanikio yako bado yako pending!‌‎Halafu cha ajabu… watu walioanzisha biashara wakiwa bado kwenye ajira, leo hii wameanza kuamua hata siku […]
Mkopo Si Adui, Ni Maarifa Ndo Hayapo!…
https://amkamtanzania.com/2025/05/03/mkopo-si-adui-ni-maarifa-ndo-hayapo/

Pata Elimu Ya Mikopo. ‌‎Mpendwa Rafiki,‌‎Unakumbuka mara ya mwisho uliomba mkopo ilikuwaje?‌‎Ulidhani umejipa unafuu, kumbe umejifunga kitanzi cha madeni?‌‎Ulianza kujificha kwa HR kila mwisho wa mwezi?‌‎Tatizo si mkopo, rafiki yangu.‌‎Tatizo ni kutokujua aina za mikopo, mzuri na mbaya.‌‎Mkopo mbaya?‌‎Ni ule unaokula mishahara yako hadi unakopa tena kurudisha uliokopa.‌‎Ni ule wa kununua vitu vya haraka haraka […]
‎Unajituma Sana Kazini Lakini Mafanikio Hayaji? Huu Ndio Ukweli Ambao Hukuambiwa
https://amkamtanzania.com/2025/05/05/unajituma-sana-kazini-lakini-mafanikio-hayaji-huu-ndio-ukweli-ambao-hukuambiwa/

‎Mpendwa Rafiki,‌‎Hebu niambie…‌‎Kwa nini kila siku unaamka mapema, unajitoa kimasomaso kazini,‌‎…lakini mwisho wa siku unaambulia maneno tu kama, Pambana tu kaka… siku moja itaeleweka?‌‎Umechoka kuona wengine wakisonga mbele, wakibadilisha maisha, ilhali wewe bado uko pale pale,‌‎… ukivumilia, ukitegemea miujiza itokee kutoka hewani.‌‎Kaka/Dada… hiyo siyo stori yako kamili. Wewe unastahili zaidi ya hapo.‌‎Na cha kuumiza zaidi…‌‎Unafanya […]
‎Sina Muda…Ni Uongo Uliopakwa Sukari.
https://amkamtanzania.com/2025/05/06/sina-mudani-uongo-uliopakwa-sukari/

‌‎Kaka/Dada…‌‎Eti unasema huna muda?‌‎Kweli kabisa?‌‎Ama ndo ile unasema bado kidogo nianze, nikipata nafasi nitajijenga,‌‎ “sina muda saa hizi bro”?‌‎Hebu ngoja tukate mzizi wa fitina.‌‎Tatizo sio muda, tatizo ni kipaumbele.‌‎Unayo dakika 10 za kuscroll TikTok.‌‎Unayo saa nzima ya kuangalia episode 3 za Netflix.‌‎Unayo muda wa kukaa vijiweni, kuangalia status, na kulalamika.‌‎Lakini huna muda wa kujifunza kitu […]
‎Unasahau Wateja Sababu Tu Hukuwakumbusha? Basi Pole Sana.
https://amkamtanzania.com/2025/05/07/unasahau-wateja-sababu-tu-hukuwakumbusha-basi-pole-sana/

‎Kaka/Dada…‌‎Wacha nikukumbushe ukweli mchungu…‌‎Wateja hawakusahau kwa sababu hawakupendi.‌‎Walikusahau kwa sababu wewe mwenyewe uliwasahau!‌‎Uliwahi mtumia ofa mara moja, ukapotea.‌‎Uliwahi mtumia bidhaa nzuri sana halafu ukaingia mitini.‌‎Haujawahi hata kumkumbusha kuhusu bidhaa mpya au punguzo.‌‎Halafu unalalamika:‌‎*Wateja siku hizi wamekuwa wagumu…*‌‎Sio wagumu kaka ni wewe tu umelegea kimawasiliano.‌‎Ukiendelea Kusahau Kuwa Kumbusha, Utaendelea Kupoteza Biashara Kwa Mikono Yako Mwenyewe.‌‎Wakati unashindana […]
‌‎Unajua Kwa Nini MOYO Wako Haujatulia?…..
https://amkamtanzania.com/2025/05/08/unajua-kwa-nini-moyo-wako-haujatulia/

‎Kakaa/Dadaa…‌‎Hivi unajua ni kwa nini kila siku unaamka umechoka hata kama ulilala masaa 8?‌‎Kuna kitu kimoja tu kinakusumbua… akili yako haipumui.‌‎Una mawazo mengi.‌‎Stress.‎Presha.‌‎Mengine hata hujui yanatoka wapi.‎Lakini yanakutesa.‌‎Unasema huna muda.‎Unasema maisha ni magumu.‎Unasema nitapumzika nikiwa kaburini.‌‎Lakini ukweli ni huu:‎Ukikosa utulivu ndani yako…‎Hakuna utakachofanikisha nje yako.‌‎Sasa Tuseme Ukweli Wote….‌‎Unajitesa Mwenyewe.‌‎Umezoea kukimbizana na kila kitu.‌‎Simu haikai mbali.‌‎TV […]