Hii Hapa Ndiyo Siku Yako Ya Mafanikio Nasio Hiyo…
https://amkamtanzania.com/2025/05/09/hii-hapa-ndiyo-siku-yako-ya-mafanikio-nasio-hiyo/
Kakaa/Dadaa…‌Unasema unataka kubadilisha maisha yako.‌Unasema unataka pesa.‌Unasema unataka mafanikio.‌Lakini bado kila siku unaamka bila mpango.‌Unavua pajama saa nne asubuhi.‌Unadamkia kucheki status za whatsApp.‌Halafu mwisho wa siku unaanza kusema: Siku yangu ilikuwa ndefu sana.‌Bro, HAPANA!‌Mafanikio hayawezi kumngoja mtu asiye na mpango.‌Hayawezi kumwangalia mtu anayepoteza siku yake ovyo.‌Kila siku unachelewa.‌Kila siku unasema Nitafanya kesho.‌Kila siku unaweka mipango […]

Unaendesha Biashara Kwa Kukisia Tu?…
https://amkamtanzania.com/2025/05/10/unaendesha-biashara-kwa-kukisia-tu/
Basi tayari uko hatarini.‌Kakaa/Dadaa…‌Umemuuzia nani wiki hii?‌Wateja wanaojirudia ni kina nani?‌Mauzo yamepanda au yameshuka mwezi huu?‌Na hela zako ziko wapi?‌Usijibu. Najua hujui.‌Tatizo Ni Hili…‌Biashara nyingi zinapoteza hela kimyakimya.‌Sio kwa sababu bidhaa ni mbaya.‌Sio kwa sababu wateja hawapo.‌Ni kwa sababu mmiliki hajui kinachoendelea.‌Hana mfumo. Hana kumbukumbu. Hana hesabu.‌Anategemea kichwa.‌Kumbuka: Kichwa sio computer. Kinaweza sahau.‌Na Mbaya Zaidi…‌Ukishaanza […]