This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#PovuLaPesa; NGUVU YA MTAZAMO KWENYE UTAJIRI.
Rafiki,
Kile unachoona na kusikia siyo uhalisia, bali ni kutokana na mtazamo unaokuwa nao.
Kama unaona umasikini ni kwa sababu una mtazamo wa kimasikini.
Ukibadili mtazamo huo na ukawa wa kitajiri, unaanza kuona fursa mbalimbali za kujijengea utajiri.
Kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI kinakuwezesha kujijengea mtazamo sahihi wa kitajiri ambao utakuwezesha kuona na kutumia fursa zinazokuzunguka kujenga utajiri mkubwa.
*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.

#PovuLaPesa; MUDA NI ZAIDI YA PESA...
Rafiki,
Watu huwa wanasema muda ni pesa.
Lakini huo siyo ukweli, muda ni zaidi ya pesa.
Ukipoteza pesa, unaweza kutafuta na kupata nyingine.
Lakini ukipoteza hata dakika moja tu, huwezi kupata nyingine.
Kwenye kujenga UTAJIRI na UHURU WA KIFEDHA, unapaswa kujali sana muda wako.
Unapaswa kuwa na usimamizi na udhibiti mzuri wa muda wako ili uweze kuutumia kufanya makubwa.
Uzuri ni wote tuna muda sawa, hivyo tuna fursa sawa za kufanikiwa.
Jifunze jinsi ya kutumia vizuri muda wako ili upate mafanikio.

#PovuLaPesa; TUMIA NYENZO KUJENGA UTAJIRI.
Rafiki,
Ili kujenga utajiri ni lazima utumie rasilimali za wengine.
Muda wako pekee haukutoshi, lazima utumie na muda wa wengine.
Fedha zako pekee hazitoshi, lazima utumie fedha za wengine.
Ujuzi wako pekee hautoshi, lazima utumie ujuzi wa wengine.
Kadiri unavyokuwa vizuri kwenye kutumia nyenzo za wengine, ndivyo unavyoweza kujenga utajiri mkubwa.
Pata kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI ujifunze jinsi ya kutumia nyenzo kujenga utajiri.

#PovuLaPesa; KUBALI MABADILIKO UJENGE UTAJIRI.
Rafiki,
Kufanya jambo lile lile,
Kwa namna ile ile,
Halafu kutegemea matokeo ya tofauti,
Ndiyo maana halisi ya upumbavu.
Kwenye kujenga utajiri, usiwe mpumbavu.
Kwa namna umeishi kwa miaka yako mingi, umeishia hapo ulipo sasa.
Ukiendelea hivyo, utazidi kubaki ulivyo.
Kama hufurahishwi na pale ulipo sasa kifedha, unahitaji kubadilika.
Kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI kinakuonyesha maeneo unayopaswa kubadilika ili ujenge utajiri.

#PovuLaPesa; TAIFA LINAKUTEGEMEA WEWE UWE TAJIRI.
Rafiki,
Watu wengi huwa wanadhani taifa ndiyo litawafanya wao wawe matajiri.
Wakati taifa linawategemea wanachi wawe matajiri ndiyo na lenyewe liweze kuwa tajiri.
Unao wajibu wa kuwa tajiri ili taifa lako pia liweze kuwa tajiri.
Kwa sababu ni kupitia utajiri wako ndiyo taifa pia linatajirika.
Kwenye NGUVU YA BUKU tunaungana pamoja kujenga utajiri ambao utakuwa na manufaa kwa taifa zima.
Karibu uungane na sisi kwenye safari hii muhimu kwako na kwa taifa kwa ujumla.

#PovuLaPesa; KUJENGA UTAJIRI, EPUKA NJIA ZA MKATO.
Rafiki,
Kwenye kujenga utajiri, huwa zinajitokeza njia nyingi sana za mkato.
Lakini njia hizo huwa zinaishia kuwapotezea watu muda, fedha na hata heshima.
Hakuna njia ya mkato ambayo imewahi kumletea mtu utajiri wa kudumu.
Baadhi wanaozitumia hupata utajiri, lakini huwa ni wa kudumu kwa muda mfupi tu.
Kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI kinakupa njia za uhakika kwako kujenga utajiri ambao utadumu kwa muda mrefu.

#PovuLaPesa; MUDA NI ZAIDI YA PESA.
Rafiki,
Huwa kina usemi maarufu kwamba muda ni pesa.
Watu wamekuwa wanaona muda unalingana na pesa.
Lakini siyo kweli, muda ni zaidi ya pesa.
Ukipoteza pesa unaweza kupata nyingine.
Lakini ukipoteza muda huwezi kupata mwingine.
Ukiweza kusimamia na kutumia vizuri muda wako, utaweza kuingiza kipato kikubwa sana.
Hayo yameelezwa vyema kwenye kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI.

#PovuLaPesa; KUWEKA AKIBA NI TABIA NA SIYO KIPATO.
Rafiki,
Kama huweki akiba halafu unasingizia sababu ni kipato chako kuwa kidogo, wewe ni muongo.
Kuweka akiba hakuna uhusiano wowote na ukubwa wa kipato.
Kuweka akiba ni tabia, ambayo ukishakuwa nayo utaweka akiba hata kama kipato ni kidogo kiasi gani.
Unadhani kama huwezi kuweka akiba ya elfu 1 kwenye laki 1, utaweza kuweka akiba ya elfu 10 kwenye milioni 1?
Njoo kwenye programu ya NGUVU YA BUKU uweze kujijengea tabia ya kuweka akiba ili kujijengea utajiri na uhuru wa kifedha.

#PovuLaPesa; KAMA UNATAKA UTAJIRI, USIFANYE BIASHARA.
Rafiki,
Imekuwa inashauriwa watu wafanye biashara ili kuwa na kipato kikubwa na cha uhakika.
Lakini kwenye KUFANYA, hakuna uhuru. Utaweza kuingiza kipato kikubwa, lakini ni lazima ufanye.
Kulazimika kufanya siyo utajiri.
Badala ya KUFANYA biashara, unapaswa KUJENGA biashara. Unapojenga biashara inakuwa na uwezo wa kujiendesha yenyewe bila kukutegemea moja kwa moja.
Kwenye kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI utajifunza jinsi ya kujenga biashara inayojiendesha yenyewe bila kukutegemea moja kwa moja.
Pata nakala yako leo kwa kuwasiliana na 0678 977 007.