SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.21K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.65K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
UZA HISIA...

Rafiki,
Sisi binadamu ni viumbe wa kihisia zaidi kuliko mantiki.
Huwa tunafanya maamuzi yetu kwa hisia kabla ya mantiki.

Ukitaka watu wanunue unachouza, gusa hisia zao.
Na njia bora ya kugusa hisia ni kuwafanya wateja wajisikie vizuri.

Watu wanapojisikia vizuri, wananunua kwa wingi.

Ndani ya CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujifunza kuwaelewa wateja wako, kuwafanya wajisikie vizuri na kuuza zaidi.

Karibu uambatane nasi sasa kwenye CHUO CHA MAUZO kwa kuwasiliana na 0717 101 505.

Unaweza kuuza zaidi kwa sababu unaweza kuwafanya watu wajisikie vizuri kwa chochote unachofanya.
MAENEO MATANO YA KUFANYIA KAZI ILI KUFANIKIWA.

Rafiki,
Mafanikio kwenye maisha yanahusisha maeneo tofauti.

Ili uwe na maisha ya mafanikio yaliyokamilika, unahitaji kufanyia kazi maeneo haya matano;
1. Kuwa na biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
2. Kuwa na matumizi yasiyozidi kipato.
3. Kutokuwa na madeni mabaya.
4. Kuwa na akiba ya dharura.
5. Kuwa na uwekezaji unaokupa uhuru wa kifedha.

Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 unakwenda kupata mpango wako kamili wa mafanikio kwenye maeneo hayo matano.

Semina itafanyika tarehe 27/10/2024 DSM.

Ada Ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/=.
Kupata nafasi ya kushiriki semina, tuma taarifa zako sasa kwenda namba 0717396253.

Karibu sana uende kupindua meza kwenye eneo la fedha na uwekezaji.
Shiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Wajanja wanajikamatia kahawa ya ISHI MIAKA 100 πŸ’― na kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI.

Kwa pamoja zana hizo mbili zinawapa AFYA, UTAJIRI na HEKIMA.

Wewe unakwama wapi?

Changamkia sasa fursa hii nzuri na uyabadili maisha yako.

Wasiliana sasa na 0678 977 007 ujenge AFYA, HEKIMA na UTAJIRI.
πŸ‘1
Udhaifu ambao kila mtu anao ni kutunza siri.

Mdomo ukinyamaza, matendo yanaonyesha.

Matendo yakiigizwa, historia inaweka wazi.

Kama kuna siri za watu hujazijua, siyo kwa sababu ni wazuri kwenye kuzificha, bali kwa sababu hujataka kuwasikiliza kile wanachokuambia.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Jenga Mahusiano Ya Muda Mrefu Ili Kuwa Muuzaji Bora Na Kufanya Mauzo Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/08/12/jenga-mahusiano-ya-muda-mrefu-ili-kuwa-muuzaji-bora-na-kufanya-mauzo-makubwa/

Habari njema wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya CHUO CHA MAUZO, kwenye eneo la […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
USISHINDANE KUTUMIA, SHINDANA KUZALISHA...

Rafiki,
Moja ya vitu ambavyo vimewaweka watu wengi kwenye umasikini ni kushindana kutumia.

Watu wanaiga matumizi ya wengine na kujikuta wakiwa na matumizi makubwa kuliko vipato vyao.

Matokeo yake ni kuzama kwenye umasikini kwa kulazimika kukopa ili kutimiza matumizi.

Njia pekee ya kuondokana na hilo ni kuacha kushindana kutumia na badala yake kushindana kuzalisha.

Badala ya kuiga matumizi ya wengine, iga kuzalisha kwao.
Badala ya kutaka kuwashinda wengine kwenye kutumia, washinde kwenye kuingiza kipato.

Kama umechoshwa na umasikini, karibu uambatane na sisi kwenye programu ya NGUVU YA BUKU.

Hii ni programu itakayofuta umasikini kabisa kwenye maisha yako.

Tuma sasa ujumbe wenye maneno NGUVU YA BUKU kwenda namba 0678 977 007.

Karibu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
PINDUA MEZA 2024 UBADILI UELEKEO WA MAISHA YAKO.

Rafiki,
Kama umekuwa unapambana kwa muda mrefu lakini umebaki pale pale, unapaswa kupindua meza.

Huwezi kuendelea kufanya hayo uliyozoea kufanya na utegemee kupata matokeo ya tofauti.

Unalazimika kufanya kitu cha tofauti kabisa na ambavyo umezoea kufanya.
Na hilo linakutaka upate kichocheo sahihi.

SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ni kichocheo sahihi kwako kuyabadili maisha yako kabisa.

Semina hii inafanyika Dar tarehe 27/10/2024.
Hilo siyo tukio unalopaswa kulikosa kama unataka maisha mapya.

Wasiliana sasa na 0678 977 007 kupata nafasi ya kushiriki semina hii.
24.8.12; Faida
https://amkamtanzania.com/2024/08/12/24-8-12-faida/

Tumia faida kama dira ya biashara yako, Usije na mipango yoyote ya ukuaji kama hujaweza kuiona faida kamili kwa uhalisia […]
3512; Faida kabla ya mengine.
https://amkamtanzania.com/2024/08/12/3512-faida-kabla-ya-mengine/

3512; Faida kabla ya mengine. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Watu huwa wanahangaika na mengi sana kwenye biashara. […]
KAMA UNATAKA KUWA BORA, WEKEZA KWANZA SEHEMU HII

Kama unataka biashara, kazi au huduma yako iwe bora, kwanza unapaswa kuwekeza kwako wewe mwenyewe.

Mafanikio yoyote yale makubwa hayawezi kuja kwako kama wewe mwenyewe siyo bora.

Uwekezaji mzuri unaopaswa kufanya ni uwekezaji wa maendeleo yako binafsi. Habari njema ni kwamba, kwenye CHUO CHA MAUZO siku ya jumatatu unapata masomo ya maendeleo binafsi yatakayokuwezesha wewe kuwa bora kwenye mauzo na maeneo mengine ya maisha yako.

ILI KUWA MUUZAJI BORA, LAZIMA KWANZA UWE MTU BORA. Karibu sana CHUO CHA MAUZO ujifunze namna ya kuwa mtu bora. Kumbuka, biashara yako haiwezi kukua kama wewe mwenyewe hukui.

Kupata kitabu pamoja na huduma ya CHUO CHA MAUZO wasiliana na 0717101505.
Kitu kimoja zaidi, ukinunua kitabu cha CHUO CHA MAUZO leo, unapata ofa ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO bure kabisa mwezi huu, wahi nafasi hii nzuri kwako kabla hazijaisha.
Tumia faida kama dira ya biashara yako,

Usije na mipango yoyote ya ukuaji kama hujaweza kuiona faida kamili kwa uhalisia kabisa.

Pambana kuzalisha faida kwenye biashara na mengine yatakwenda vizuri.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Tumia Orodha Za Wengine Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/08/13/tumia-orodha-za-wengine-kufikia-wateja-wengi-zaidi/

Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo […]
JENGA UTAJIRI MKUBWA KWA KUFANYA MATUMIZI YA MSINGI

Rafiki,
Matumizi ya msingi ni yale ambayo yasipotimizwa maisha ya mtu yatakuwa yapo hatarini. Mfano wa matumizi ya msingi ni afya, chakula, mavazi na elimu.

Pamoja na matumizi haya kuwa ya msingi bado pia yanahitaji udhibiti ili yasiwe makubwa. Kwani matumizi yana tabia ya kukua kulingana na kipato.

Hivyo, kama unataka kuwa mwekezaji bora jitahidi kuishi ndani ya kipato au chini ya kipato ili kudhibiti matumizi yako.

Tunayo sehemu nzuri kukusaidia kupata hamasa ya kuwekeza na kudhibiti matumizi yako. πŸ‘‡

MUHIMU Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri pamoja na kuwekwa kwenye kundi maalumu la NGUVU YA BUKU. Wasiliana na +255713604101kupata kitabu na huduma.
πŸ”₯1
VIGEZO VITATU VYA USAKAJI

Rafiki,

Usakaji ndiyo PUMZI YA BIASHARA kwa sababu bila wateja wapya, biashara haiwezi kuongeza mauzo.

Na moja ya kazi kubwa ya msakaji kwenye biashara ni kuleta wapya. Siyo tu kuleta wateja wapya bali pia kuwafanya wateja waijue biashara na biashara iwajue wateja.

Ili msakaji aweze kuleta taarifa sahihi za mteja kuna vigezo vitatu ambavyo anapaswa kuzingatia navyo ni mamlaka, tamaa na maumivu.

Je, unapenda biashara yako kuwa na msakaji na kufundishwa namna ya kusaka wateja wapya na kuleta taarifa sahihi na hatimaye kuwageuza na kuwa wateja kamili wanaonunua na kuongeza mauzo mara mbili?

Kama jibu lako ni ndiyo, karibu ujiunge na CHUO CHA MAUZO, siku ya JUMANNE, utajifunza masomo ya usakaji yatakayokusaidia kuleta wateja wapya kila siku.

Utajisikiaje kuongea mauzo mara mbili zaidi? Ili ujifunze kwa kina vigezo vya usakaji pata kitabu cha CHUO CHA MAUZO na ukinunua kitabu leo unapata ofa ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO kwa mwezi huu bure kabisa.

Piga simu 0717101505 sasa.
LALA NA WATU HAWA KAMA UNATAKA KUBADILISHA MAISHA YAKO

Rafiki,

Ukilala na mbwa, utaamka na kupe.

Na ukiamhata na watu sahihi, lazima utafanikiwa kweli kwenye maisha yako. Ukiambatana na watu wenye njaa ya mafanikio makubwa, hakuna namna lazima watakuambukiza njaa hiyo ya kupambana.

Ili ubadilishe maisha yako, unapaswa kujihusisha na watu makini na wenye maadili.

Habari njema ni kwamba, October 27 mwaka huu, tunakwenda kuwa na semina bora kuwahi kutokea.

SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ni mahali sahihi ya kupata watu makini wakujihusisha nao.

Kama kuna zawadi unapaswa kujipa mwaka huu au kumpa mtu mwingine, basi ni kushiriki semina ya KISIMA CHA MAARIFA 27/10/2024.

Wasiliana na namba 0678977007 kupata nafasi ya kushiriki semina hii.
Nafasi ni chache, wahi kabla hazijaisha.
πŸ‘1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
WEKA AKIBA KABLA YA KUFANYA MATUMIZI.

Rafiki,
Watu wamekuwa wanashindwa kuweka akiba kwa kusingizia kipato hakitoshi.

Ni kweli kipato hakitoshi na hakijawahi kutosha, lakini hiyo haipaswi kuwa sababu ya kutokuweka akiba.

Kama kweli unataka kuweka akiba, basi kwenye kila kipato unapaswa kuweka akiba kwanza kabla hujaanza kutumia.

Ukianza tu matumizi kwa kutegemea inayobaki ndiyo uweke akiba, hakuna kitakachobaki na hivyo hutaweka akiba.

Kama umekuwa unashindwa kabisa kuweka akiba, karibu kwenye NGUVU YA BUKU ambapo utaweza kuweka akiba kwa uhakika.

Hii ni programu itakayokuwezesha kujenga utajiri kwa kuanzia hapo hapo ulipo sasa.

Wasiliana sasa na 0678 977 007 kupata nafasi kwenye NGUVU YA BUKU.
❀1
Usisubiri fursa mpaka iwe inaonekana kama fursa, hapo unakuwa umeshachelewa.

Wewe fungua fursa kwenye matatizo ambayo wengine wanayo na hawajapata wa kuyatatua.

Tatua matatizo ambayo watu wanataka sana kuyatatua na utafungua fursa kubwa na nzuri kwako.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita