This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#ManenoYaUshawishi - 1/24; Sina Uhakika Kama Itakufaa, Lakini ...
Rafiki,
Pale unapotaka kuwapendekezea watu kitu cha tofauti, tanguliza maneno; Sina Uhakika Kama Itakufaa, Lakini...
Maneno hayo yana ushawishi mkubwa kwa sababu yanamfanya mtu awe na shauku ya kujua hiyo LAKINI inahusu nini.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza maneno 24 ya ushawishi ambayo ukiyatumia unaweza kufanya mauzo makubwa.
Wasiliana sasa na 0717 101 505 kupata nafasi ya kuingia kwenye programu ya CHUO CHA MAUZO na kukuza mauzo yako mara dufu.
Rafiki,
Pale unapotaka kuwapendekezea watu kitu cha tofauti, tanguliza maneno; Sina Uhakika Kama Itakufaa, Lakini...
Maneno hayo yana ushawishi mkubwa kwa sababu yanamfanya mtu awe na shauku ya kujua hiyo LAKINI inahusu nini.
Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza maneno 24 ya ushawishi ambayo ukiyatumia unaweza kufanya mauzo makubwa.
Wasiliana sasa na 0717 101 505 kupata nafasi ya kuingia kwenye programu ya CHUO CHA MAUZO na kukuza mauzo yako mara dufu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#ManenoYaUshawishi - 2/24; MTAZAMO CHANYA.
Rafiki,
Kila mtu huwa anapenda kuonekana ana mtazamo chanya.
Hivyo kuanza maelezo yako na "Mtazamo chanya... " unakuwa na ushawishi zaidi kwa wengine.
Je utakuwa na mtazako chanya wa kukuza mauzo yako zaidi ya mara mbili kwa mwaka?
Wasiliana sasa na 0717 101 505 upate kitabu cha CHUO CHA MAUZO na uingie kwenye programu ya mafunzo ya mauzo kila siku.
Rafiki,
Kila mtu huwa anapenda kuonekana ana mtazamo chanya.
Hivyo kuanza maelezo yako na "Mtazamo chanya... " unakuwa na ushawishi zaidi kwa wengine.
Je utakuwa na mtazako chanya wa kukuza mauzo yako zaidi ya mara mbili kwa mwaka?
Wasiliana sasa na 0717 101 505 upate kitabu cha CHUO CHA MAUZO na uingie kwenye programu ya mafunzo ya mauzo kila siku.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#ManenoYaUshawishi - 3/24; Unajua Nini Kuhusu .... ?
Rafiki,
Unaweza kukutana na watu ambao wanajiona ni wajuaji, lakini wanakuwa wanakosea.
Ukiwaambia kwamba wanakosea, unakuwa umewapoteza kabisa.
Ili uwe na ushawishi kwa watu wa aina hiyo, unapaswa kuwauliza swali la WANAJUA NINI KUHUSU kile ambacho tayari wanajiona wanakijua.
Kwa wao kueleza kile wanachojua, watagundua kama wanajua kweli au wanakosea.
Kwenye kitabu cha CHUO CHA MAUZO unapata nafasi ya kujifunza kuhusu MANENO YA USHAWISHI ambayo yapo 24.
Ukiyajua na kuyatumia maneno hayo, utakuwa na ushawishi mkubwa kwa wengine na kuweza kuuza zaidi.
Karibu ujipatie kitabu cha CHUO CHA MAUZO kwa kuwasiliana na 0678 977 007 sasa.

#ManenoYaUshawishi - 4/24; Utajisikiaje Kama....
Rafiki,
Sisi binadamu ni viumbe wa kihisia.
Huwa tunafanya maamuzi yetu kwa hisia kwanza kabla ya kuhalalisha kwa mantiki.
Kama unataka kuwashawishi watu, anza kwa kugusa hisia zao.
Na njia rahisi ya kugusa hisia za watu ni kuwauliza watajisikiaje kama tukio fulani litatokea.
Utajisikiaje Kama.... ni maneno ya ushawishi yanayoibua hisia ndani ya watu na kuwasukuma kufanya maamuzi.
Tumia maneno hayo ili uweze kuwashawishi watu na kuuza zaidi.
Karibu kwenye CHUO CHA MAUZO upate kitabu na mafunzo ya kutumia maneno haya ya ushawishi na uweze kuuza zaidi.
Wasiliana na 0717 101 505 sasa kupata nafasi hiyo nzuri.

#ManenoYaUshawishi - 5/24; Pata Picha....
Rafiki,
Huwa kuna usemi; "Kama kusoma huwezi, je picha huoni?"
Usemi huo unaashiria kwamba watu wanaelewa zaidi picha kuliko maneno.
Hivyo kama unataka kuwashawishi watu na hawakuelewi kwa maneno, wape picha.
Wafanye watengeneze picha kwenye akili zao ya kile unachowaeleza na wataelewa zaidi.
Karibu kwenye CHUO CHA MAUZO ujifunze maneno 24 ya ushawishi ili uweze kuyatumia kuwa na ushawishi mkubwa na kufanya mauzo makubwa.
Wasiliana sasa na 0717 101 505 kupata nafasi hiyo nzuri.