SOMA VITABU TANZANIA📚
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.61K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
#UKITAKA KUONGEZA MAUZO FANYA HIKI

Rafiki,

Mauzo ndiyo moyo wa biashara.
Na ili biashara iweze kwenda vizuri inahitaji fedha.

Mauzo ndiyo yanaleta fedha kwenye biashara yako. Lakini mauzo hayo hayaji bila kuwa na wateja wanaonunua.

Ili biashara iweze kujiendesha na kuwa na uhakika wa mauzo, inahitaji wateja wengi zaidi.
Ni hatari biashara kutegemea wateja wale wale kila siku. Kutegemea wateja wachache ni kujinyima mauzo kwani wateja hao wanaweza kukuzingua wasinunue, wengine kuhama na hata kufa.

Swali la kujiuliza,je biashara yako inawezaje kuongeza wateja wengi kiasi cha kuongeza mauzo mara mbili zaidi?

Habari njema ni kwamba, siku ya JUMANNE kwenye CHUO CHA MAUZO utajifunza namna ya kusaka wateja na kupelekea kuongea mauzo zaidi.

Kitu kimoja zaidi, usakaji ndiyo PUMZI YA BIASHARA UNAPASWA KUFANYIKA MARA ZOTE. Wasiliana na namba 0717101505 kupata kitabu na programu ya CHUO CHA MAUZO.
Usikose ofa ya mwezi julai, ukinunua kitabu unapata ofa ya kujiunga na CHUO CHA MAUZO bure kabisa kwa mwezi.