SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.22K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.65K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
24.6.28; Wanakuiga.
https://amkamtanzania.com/2024/06/28/24-6-28-wanakuiga/

Hakuna kitu watu wanaweza kufanya kwako kama wewe mwenyewe hujawafundisha au kuwaruhusu kufanya. Kama kuna ambayo wengine wanakufanyia na hupendezwi […]
Jenga Mahusiano Mazuri Kwa Wateja Ili Kulainisha Ufuatiliaji Wa Wako
https://amkamtanzania.com/2024/06/28/jenga-mahusiano-mazuri-kwa-wateja-ili-kulainisha-ufuatiliaji-wa-wako/

Mtaji wa kwanza unaohitaji ili kukuza mauzo yako ni wateja. Iliuweze kuishi nao vizuri, unahitaji kujenga mahusiano mazuri. Hii ni […]
Usilipe Ada Mara Mbili; Jifunze Kutokana Na Makosa Na Uwekeze Kwa Usahihi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/28/usilipe-ada-mara-mbili-jifunze-kutokana-na-makosa-na-uwekeze-kwa-usahihi/

Habari njema Matajiri Wawekezaji,Karibuni kwenye mfululizo wa masomo ya uwekezaji kwenye programu yetu ya NGUVU YA BUKU.Hii ni programu ya […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
49/70; FANYA MAONYESHO UUZE ZAIDI.

Rafiki,
Watu wanaweza wasikuamini kwa maelezo unayowapa.
Lakini ukiwaonyesha kwa vitendo, huwa wanaamini zaidi.

Na pale unapowahusisha wao wenyewe kwenye kufanya, huwa wanajishawishi wenyewe.

Hapo kazi yako ya mauzo inakuwa rahisi sana.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kufanya maonyesho wakati wa mauzo ili kuwa na ushawishi mkubwa kwa wateja.

Karibu uwe sehemu ya CHUO CHA MAUZO uweze kukuza mauzo zaidi ya mara mbili.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
NJIA BORA YA KUWAUZIA WATEJA WAGUMU...

Rafiki,
Kwenye mauzo huwa unakutana na wateja ambao ni wagumu sana kuwauzia.

Hao ni wateja ambao wanakuwa na mapingamizi mengi na wasioamini chochote unachowaambia.

Wauzaji wengi huwa wanawakwepa wateja wa aina hiyo.
Ila huwa wanakuwa wateja wazuri sana kama ukiweza kwenda nao vizuri.

Ili kuwauzia wateja wagumu, anza kwa kuwajua kwa undani.
Vaa viatu vyao, jiweke kwenye nafasi zao na uone mambo jinsi wanavyoyaona wao.

Ni kwa njia hiyo ndiyo utaweza kujua ni nini hasa wanachotaka na namna bora ya kuwapatia hicho wanachotaka.

Ukiwapa wanachotaka, wanaridhika na kudumu na wewe milele.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
50/70; TUMIA MASHUHUDA KUUZA ZAIDI.

Rafiki,
Ukieleza sifa zako wewe mwenyewe, unaonekana unajigamba.
Lakini wengine wakieleza sifa zako, unakuwa ni ushuhuda.

Watu wanaamini zaidi pale wanaposikia sifa zako zikitolewa na watu wengine kuliko ukizitoa wewe mwenyewe.

Kwa kuwa tayari unao watu wanaokuamini na kukukubali, waombe watoe ushuhuda wao ili uweze kuutumia kuwashawishi wengine nao wanunue.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kupata, kuandaa na kutumia ushuhuda kufanya mauzo makubwa zaidi.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MJUE ADUI YAKO MKUU WA UTAJIRI.

Rafiki,
Adui namba moja kwako kujenga utajiri ni matumizi.

Kama matumizi yako yanazidi kipato, kamwe huwezi kujenga utajiri.

Wajibu wako mkubwa kwenye safari ya kujenga utajiri ni kuhakikisha matumizi yako ni madogo kuliko kipato chako.

Kama hilo limekuwa linakushinda, yaani kama una madeni yoyote yale, karibu mahali sahihi kwako kutatua hilo.

Programu ya NGUVU YA BUKU inakupa mwongozo sahihi wa kujenga utajiri na kufikia UHURU WA KIFEDHA.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
Mambo yanapokuwa rahisi, kila mtu anaonekana yupo vizuri.

Ni pale mambo yanapokuwa magumu ndiyo walio vizuri halisi wanaonekana, ambao ni wachache na wengi ambao hawapo vizuri wanadhihirika.

Kuwa vizuri kwa kuwa tayari kuyakabili magumu yote yanayokuja kwako na utafanikiwa sana.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3468; Maamuzi Magumu.
https://amkamtanzania.com/2024/06/29/3468-maamuzi-magumu/

3468; Maamuzi Magumu. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Kinachowatofautisha wanaofanikiwa na wanaoshindwa ni ugumu.Pale mambo yanapokuwa rahisi, kila mtu […]
24.6.29; Uchi.
https://amkamtanzania.com/2024/06/29/24-6-29-uchi/

Mambo yanapokuwa rahisi, kila mtu anaonekana yupo vizuri. Ni pale mambo yanapokuwa magumu ndiyo walio vizuri halisi wanaonekana, ambao ni […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
52/70; WAONDOLEE WATEJA HATARI UUZE ZAIDI.

Rafiki,
Unaweza kuwaeleza wateja vizuri kabisa kuhusu kile unachouza, lakini bado wakasita kununua.

Hiyo ni kwa sababu bado wanakuwa na wasiwasi juu ya hicho unachouza.
Wanafikiria kama hakitawasaidia watakuwa wamepoteza fedha zao.

Ili kuvuka hilo, unapaswa kuwaondolea wateja hatari.
Unatakiwa kuwahakikishia kwamba wanachonunua kitawafaa.
Na kama hakitawafaa basi hakuna watakachopoteza.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kuwapa wateja uhakika na kuwaondolea hatari ili kuuza zaidi.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
53/70; WAZUIE WATEJA WASIKUTOROKE ILI UUZE ZAIDI.

Rafiki,
Umekuwa unaelewana vizuri kabisa na wateja wako na wanakubali kununua.
Lakini inapofika kwenye kulipia, wanakuambia wanaenda halafu watarudi.

Unajua wazi kabisa wakishaenda huwa ni nadra sana wakarudi kama wanavyosema.
Yaani ukimruhusu mteja aondoke bila kukulipa, huwa harudi tena.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza jinsi ya kuwafungia wateja kwenye mauzo ili hata kama wanaondoka, lazima warudi.

Usikubali tena kutorokwa na wateja kwa ahadi zao hewa. Kuwa sehemu ya CHUO CHA MAUZO ili uweze kuuza kwa uhakika.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Watu huwa hawafanyi kitu kama hakina manufaa binafsi kwao.

Kama unataka kuwashawishi watu wakubaliane na wewe, waonyeshe jinsi wanavyoenda kunufaika zaidi wao binafsi kwenye hicho unachowataka wafanye.

Na iwe ni kweli kwamba watanufaika, hapo watakuamini na kusambaza taarifa zako kwa watu wengine.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
55/70; KAMILISHA MAUZO.

Rafiki,
Kuongea na wateja pekee haitoshi kukuza mauzo.
Lazima uweze kuwaambia wakupe pesa zao, kitu ambacho ni kigumu sana.

Wauzaji wengi wamekuwa wanaongea vizuri sana na wateja, lakini inapofikia kwenye kukamilisha mauzo, kuwaambia wateja walipie, wanashindwa.

Mauzo hayajakamilika kama mteja hajalipia. Hata kama ameahidi anaenda kisha atarudi, mauzo hayajakamilika.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza mbinu bora za kukamilisha mauzo ili uweze kuuza zaidi.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
Jinsi Ya Kuwabadili Watu Bila Kuibua Hasira Au Chuki Kanuni Ya Tatu
https://amkamtanzania.com/2024/06/29/jinsi-ya-kuwabadili-watu-bila-kuibua-hasira-au-chuki-kanuni-ya-tatu/

Habari njema muuzaji bora  kuwahi kutokea, Hongera na karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ushawishi kutoka kwenye programu […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
56/70; WASILISHA VIZURI, UUZE ZAIDI.

Rafiki,
Mauzo yako yanategemea sana jinsi unavyowasilisha kile unachouza.

Uwasilishaji mzuri unampa mteja taarifa zote anazohitaji, kujibu maswali yake na kuvuka mapingamizi yake.

Uwasilishaji mbovu unawachanganya wateja, unaibua maswali magumu na mapingamizi makali.

Kwenye CHUO CHA MAUZO unajifunza uwasilishaji sahihi ambao utakuza sana mauzo yako.

Rafiki, ninayo habari njema kwako ya kukuza mauzo mara mbili kwenye biashara yako.

Programu ya mafunzo ya CHUO CHA MAUZO ikiambatana na kitabu chake inakupa wewe mafunzo na usimamizi wa kukuza mauzo.

Habari njema zaidi ni kwa mwezi huu wa Juni 2024, unapata nafasi ya kujiunga bure kwenye CHUO CHA MAUZO.

Wasiliana na 0717 101 505 kupata ofa hiyo nzuri kwako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HII NDIYO NJIA YA UHAKIKA KWAKO KUJENGA UTAJIRI.

Rafiki,
Zipo njia nyingi za kuingiza kipato.
Njia kama ajira, kujiajiri na biashara, zote zinaingiza kipato.

Lakini inapokuja kwenye kujenga utajiri mkubwa kwenye maisha yako, ipo njia moja tu ya uhakika.
Njia hiyo ni kujenga biashara.

Na siyo tu biashara, bali biashara inayoweza kujiendesha yenyewe bila ya kukutegemea wewe mwanzilishi.

Kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI kinakupa mwongozo wa kuanzisha na kujenga biashara inayokupa utajiri mkubwa.