SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.15K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.62K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
Mjadala Wa Njia Kumi Za Kujenga Utajiri Kutoka Kitabu The Ten Roads To Riches.
https://amkamtanzania.com/2024/05/20/mjadala-wa-njia-kumi-za-kujenga-utajiri-kutoka-kitabu-the-ten-roads-to-riches/

Rafiki yangu mpendwa, Kuna njia nyingi za kujenga utajiri, lakini siyo zote ni sahihi. Kuna watu ambao huwa wanapata utajiri […]
USIKOMPLIKETI MAUZO...

Rafiki,
Biashara ni mauzo,
Bila mauzo hakuna biashara,
Na mauzo ndiyo moyo wa biashara.

Wafanyabiashara wengi wamekuwa hawafanyi mauzo ya kutosha kwa sababu wanayafanya kuwa magumu kuliko uhalisia wake.

Yaani wanayakompliketi mauzo kiasi cha kuishia kuyakosa.
Kuna namba 10 tu ambazo ukizipa macho yako ni lazima utauza sana.

Namba hizo 10 ni rahisi kuzifuatilia na kuweza kuona ukuaji wa mauzo na biashara kwa ujumla.

Namba hizo 10 na jinsi ya kuzitumia imeelezwa vizuri hapa; https://youtu.be/8JD67sm3iT8

Kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA kimeelezea kwa kina namba 10 za kukuza mauzo na jinsi ya kuzifanyia kazi ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, cheza na namba sahihi na uweze kukuza mauzo yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
USHINDI NI MAGOLI...

Rafiki,
Timu zinapocheza, ushindi unapimwa kwa magoli.

Hata timu iwe na chenga nyingi kiasi gani, kama haifungi magoli, haiwezi kupata ushindi.

Kwenye mauzo, unaweza kuongea vizuri sana na wateja, lakini kama hutaweza kuwashawishi wakanunua, huwezi kupata ushindi.

Uzuri wa magoli kwenye mauzo yanapimwa kwa namba ambazo ni za uhakika kabisa.

Na kwenye mauzo huwa kuna namba 10 ambazo zikifanyiwa kazi, ushindi unakuwa wa uhakika.

Kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA kimeelezea kwa kina namba 10 za kukuza mauzo na jinsi ya kuzifanyia kazi ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, cheza na namba sahihi na uweze kukuza mauzo yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MAUZO SIYO MIPANGO YA MUNGU...

Rafiki,
Usiuze kwa kutia huruma,
Kwa kusema riziki ni mafungu saba,
Au Mungu hakupanga uuze.

Sikiliza rafiki, Mungu ameshafanya kazi yake ya kukupa wewe uhai.
Unafanya nini na huo uhai wako ni mapambano yako mwenyewe.

Kwenye mauzo, Mungu tayari amekupa fursa ya kitu cha kuuza, siyo tena kazi yake kuwaambia wateja wanunue au wasinunue kwako.

Huo ni wajibu wako wewe, ambao unapaswa kuupambania.
Kama huuzi kwa kiasi cha kutosha, Mungu hahusiki tena hapo.
Ni wewe mwenyewe.

Uzuri ni upo mchakato sahihi wa kimauzo ambao ukiufanyia kazi, utaweza kufanya mauzo makubwa na ya uhakika.

Kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA kimeelezea kwa kina namba 10 za kukuza mauzo na jinsi ya kuzifanyia kazi ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, cheza na namba sahihi na uweze kukuza mauzo yako.
ACHA KUHANGAIKA NA 'MATANGO PORI'

Rafiki,
Njia zisizo sahihi za kupata kitu chochote kile huwa zinaitwa matango pori.

Kwenye kutafuta utajiri, watu huwa wanahangaika sana na matango pori.

Yaani wanakimbizana na njia za utajiri ambazo hazifanyi kazi.

Mfano kucheza bahati nasibu na kamari (kubeti).
Hizo ni njia zisizo sahihi za kujenga utajiri.

Najua kama wewe ni wa kubet utasema kuna wanaoshinda au wewe mwenyewe ulishashinda, ni kweli. Lakini ni njia ambayo huwezi kuwa na uhakika nayo, ni kubahatisha zaidi.

Zipo njia nyingi za uhakika zaidi za kujenga utajiri.
Karibu ujifunze njia hizo hapa; https://youtu.be/0TfvtYbnQSY

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
#MatajiriWaKawaida; AMINI NA WAJIBIKA BINAFSI KUJENGA UTAJIRI MKUBWA.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumanne tarehe 21/05/2024 tutakuwa na mada ya;

AMINI NA WAJIBIKA BINAFSI KUJENGA UTAJIRI MKUBWA.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3429; Uhakika wa kushinda.
https://amkamtanzania.com/2024/05/21/3429-uhakika-wa-kushinda/

3429; Uhakika wa kushinda. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Kila ambacho mtu anafanya ni kwa sababu kuna matokeo […]
Tumia Mavazi (Sare) Kuaminika Na Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/05/21/tumia-mavazi-sare-kuaminika-na-kufikia-wateja-wengi-zaidi/

Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo […]
Kupata matokeo mazuri na ya uhakika kwenye kila unachofanya, peleka umakini wako wote kwenye kitu hicho.

Ni pale unapoweka umakini wako ndipo panapokuwa na ukuaji mkubwa.

Usitawanye nguvu zako kwenye mengi yasiyokuwa na tija.

Badala yake zikusanye kwenye machache ambayo matokeo yake yanabadili kabisa maisha yako.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Pata BURE Uchambuzi na kitabu; THE TEN ROADS TO RICHES.

Kuna njia nyingi sana za kujenga utajiri kwenye maisha.
Baadhi ya njia ni za kweli na zimenufaisha watu.
Na nyingi sana ni za uongo na zimewapoteza wengi.

Njia sahihi na za uhakika za kujenga utajiri zipo, lakini kwa bahati mbaya sana, wengi hawazijui wala kuzitumia.

Matokeo yake ni wengi wamejikuta wanahangaika na njia ambazo siyo sahihi kujenga utajiri na kujikuta wanaishia kupoteza muda, fedha na hata maisha.

Bilionea Ken Fisher kwenye kitabu alichoandika kinachoitwa THE TEN ROADS TO RICHES, ameainisha njia 10 za uhakika kujenga utajiri.

Njia hizo 10 ndiyo zimetumiwa na matajiri wote duniani.
Na uzuri ni kwamba, hata wewe unaweza kutumia njia hizo na ukajenga utajiri mkubwa kwa uhakika.

Tumekichambua vizuri kitabu hiki, kwa maandishi na sauti kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili iwe rahisi kwako kujifunza.

Tunakupa Uchambuzi huo pamoja na kitabu chenyewe, BURE KABISA.

Tuma ujumbe; ZAWADI YA UTAJIRI kwenda wasap namba +255 717 101 505 kuipata.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ZANA KUU YA MAUZO...

Rafiki,
Kila kazi huwa ina zana yake kuu.
Zana ambayo ikitumika vizuri, inazalisha matokeo makubwa sana.

Kwenye mauzo, zana hiyo ni simu ya mkononi.
Ukiweza kuitumia vizuri simu yako, utaweza kufanya mauzo makubwa sana.

Zaidi ya asilimia 90 ya mchakato wako mzima wa mauzo, unaweza kuikamilisha kwa kutumia simu yako ya mkononi.

Kwa bahati mbaya sana, wengi wanatumia simu za mkononi, hasa simu janja (smartphone) kupoteza muda kwa mambo yasiyo na tija.

Wewe jifunze jinsi ya kutumia simu yako vizuri na utaweza kufanya mauzo makubwa sana.

Ukiweza kupangilia vizuri upigaji wako wa simu, utumaji wa ujumbe na matumizi ya mitandao, vyote kwa simu yako, utaweza kuuza zaidi.

Kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA kinakupa mwongozo sahihi wa kutumia simu yako kufanya mauzo makubwa.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007 ili uweze kutumia simu yako kwa manufaa.
MAUZO NI MAGAZIJUTO...

Rafiki,
Japokuwa watu wengi huwa hawapendi somo la hesabu,

... kila mtu anajua na anapenda kuhesabu pesa.

Na kama unataka uhesabu pesa nyingi, unatakiwa kuanza na kuhesabu kule pesa zinakotoka.

Mauzo ndiyo chanzo cha kuingiza pesa ambacho hakina ukomo.

Yaani kama unataka uhesabu pesa mpaka uchoke, kuwa mzuri kwenye mauzo.

Na wewe kubobea kwenye mauzo huhitaji mambo mengi.
Ni kuzielewa vizuri namba 10 pekee za msingi.

Ukiweza kubobea kwenye hizo namba 10, utauza kama kichaa.

Na ni rahisi sana kubobea kwenye namba hizo 10, kama utakuwa na mwongozo sahihi.

Kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA kimeelezea kwa kina namba 10 za kukuza mauzo na jinsi ya kuzifanyia kazi ili kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na namba 0678 977 007. Usifanye tena mauzo ya kubahatisha, cheza na namba sahihi na uweze kukuza mauzo yako.
IMANI POTOFU ZINAZOKUZUIA KUTAJIRIKA.

Rafiki,
Mtu yeyote yule,
Aliye hai,
Na mwenye njia halali ya kuingiza kipato.
Anao uwezo wa kujenga utajiri mkubwa kwenye maisha yake.

Lakini tunapoangalia uhalisia wa maisha, watu wengi wanafanya kazi kwa juhudi kubwa, wanaingiza kipato duni na hawajengi utajiri.

Kinachokuwa kinawazuia siyo kukosa uwezo au udogo wa kipato.
Bali kinachowazuia wengi ni IMANI POTOFU wanazokuwa nazo kuhusu utajiri.

Kwenye kitabu cha EVERYDAY MILLIONAIRE, mwandishi Chris Hogan ameainisha IMANI POTOFU sita zinazowazuia wengi kujenga utajiri.

Pata Uchambuzi wa kitabu hicho kwa lugha rahisi kueleweka, fungua hapa; https://youtu.be/70lRAv9uKYk

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
IPELEKE BIASHARA YAKO KLINIKI...

Rafiki,
Watoto wadogo huwa wanapelekwa kliniki kila mwezi kwa ajili ya kupima maendeleo yao.

Ni kupitia kliniki ndiyo maendeleo ya watoto yanapimwa na kuweza kufahamika kama anakua au la.

Ili biashara iweze kukua, inahitaji pia kuwa inapimwa.

Kinachokwamisha biashara nyingi kukua ni kutokuwepo kwa namba zinazopimwa.

Kuna namba 10 za mauzo ambazo ukiweza kuzipima kwa uhakika, lazima biashara yako itakua sana.

Namba hizo ni rahisi na zinazoeleweka.
Pia upimaji wake ni wa wazi kabisa.

Iwekee biashara yako utaratibu wa kupima namba kila siku, wiki, mwezi na mwaka.

Namba 10 za msingi za kupima mauzo na biashara kwa ujumla zimeelezewa kwa kina kwenye kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA.

Hicho ni kitabu ambacho kila mfanyabiashara na muuzaji anapaswa kuwa nacho ili kukuza zaidi mauzo.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA kwa kuwasiliana na 0678 977 007.
KISA CHA WATAWA NA KAHABA...

Siku moja, watawa wawili, mmoja mwalimu na mwingine mwanafunzi, walikuwa wanavuka mto.

Kwenye ukingo wa mto, kulikuwa na mwanamke kahaba ambaye alitaka kuvuka, lakini alishindwa.

Mwanamke yule aliwaomba wale watawa wambebe na kumvusha.

Yule mtawa mwanafunzi akamjibu sisi watawa huwa hatuwagusi wanawake.

Lakini yule mtawa mwalimu akamwambia yule mwanamke panda mgongoni nikuvushe.

Mtawa mwanafunzi alishangazwa sana na maamuzi ya mwalimu wake.

Na kilichofuata ni somo ambalo mtawa yule mwanafunzi hakuja kulisahau kwa maisha yake yote.

Kama na wewe ungependa kupata funzo hilo, fuatilia kisa hicho hapa; https://youtu.be/rDn1WfQJuGk

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0678 977 007 kupata kitabu na huduma.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
NGUVU YA ANA KWA ANA...

Rafiki,
Urahisi wa mawasiliano uliopo sasa, kuanzia simu, jumbe mpaka mitandao ya kijamii, umefanya baadhi ya watu kuona mauzo yanaweza kurahisishwa na hayo tu.

Huo ni ukweli kwamba mawasiliano yanarahisisha sana mauzo, lakini hayaondoi nguvu ya kukutana na watu ana kwa ana.

Kuna nguvu kubwa sana pale unapozungumza na mtu ana kwa ana.
Na kwa baadhi ya mauzo, hasa ambayo ni makubwa, unakuwa na ushawishi zaidi pale unapokutana na watu.

Kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA kinakupa mwongozo sahihi wa kukutana na wateja na kuwa na ushawishi mkubwa.

Kitabu kinakuongoza kuwafuata wateja kule walipo badala ya kuwasubiri waje.

Kinakupa mbinu za kupata miadi kwa uhakika.

Na kinakuwezesha kuwafikia wale ambao ni wagumu kufikiwa na watu wa mauzo.

Rafiki, kukuza mauzo yako mara mbili na zaidi, hakikisha unapata kitabu cha MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA.

Wasiliana na 0678 977 007 kujipatia nakala yako ya kitabu na uweze kukuza mauzo.
Vunja Imani Hizi Potofu Sita (6) Kama Unataka Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yako.
https://amkamtanzania.com/2024/05/21/vunja-imani-hizi-potofu-sita-6-kama-unataka-kujenga-utajiri-mkubwa-kwenye-maisha-yako/

Rafiki yangu mpendwa, Kila mtu aliye hai, ambaye ana shughuli yoyote ya kumwingizia kipato, anao uwezo wa kujenga utajiri kwenye […]
#HadithiZaKocha; Kisa Cha Watawa Na Kahaba.
https://amkamtanzania.com/2024/05/21/hadithizakocha-kisa-cha-watawa-na-kahaba/

Rafiki yangu mpendwa, Karibu kwenye #HadithiZaKocha ambapo tunapata hadithi fupi zenye masomo makubwa sana kuhusu mafanikio na maisha kwa ujumla. […]
#MatajiriWaKawaida; TUMIA KUSUDI NA MALENGO KUJENGA UTAJIRI MKUBWA.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumatano tarehe 22/05/2024 tutakuwa na mada ya;

FANYA KWA KUSUDI NA ONGOZWA NA MALENGO ILI KUJENGA UTAJIRI MKUBWA

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita