SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
898 subscribers
68 photos
16 videos
649 files
621 links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
Hupungukiwi Na Kitu, Omba Msaada Utapata.
https://amkamtanzania.com/2024/04/19/hupungukiwi-na-kitu-omba-msaada-utapata/

Tupo kwenye dunia ambayo huwezi kufanya kila kitu au kuwa na kila kitu mwenyewe. Unahitaji msaada wa baadhi ya maeneo […]
Lini Mwisho Wa Uwekezaji? Wakati Gani Wa Kuanza Kula Matunda Ya Uwekezaji?
https://amkamtanzania.com/2024/04/19/lini-mwisho-wa-uwekezaji-wakati-gani-wa-kuanza-kula-matunda-ya-uwekezaji/

Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wetu wa masomo ya uwekezaji kwenye programu yetu ya NGUVU YA BUKU. Ndani […]
Ili Udumu Kwenye Utajiri, Ongeza Nafasi Ya Kukosea.
https://amkamtanzania.com/2024/04/19/ili-udumu-kwenye-utajiri-ongeza-nafasi-ya-kukosea/

Rafiki yangu mpendwa, Kuna watu ambao huwa wanaanzia chini kabisa kifedha, wakiwa kwenye umasikini mkubwa. Wanapambana sana kutoka kwenye umasikini […]
Jenga Sifa Hii Ambayo Itakubeba Kila Mahali Na Kukupa Mafanikio Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/04/19/jenga-sifa-hii-ambayo-itakubeba-kila-mahali-na-kukupa-mafanikio-makubwa/

Rafiki yangu mpendwa, Kwenye haya maisha huwezi kufanikiwa bila ya kubebwa. Mafanikio ni magumu na yenye changamoto nyingi, hivyo lazima […]
Jinsi Ya Kuwafanya Watu Wakubaliane Na Mawazo Yako Kanuni Ya Tano
https://amkamtanzania.com/2024/04/20/jinsi-ya-kuwafanya-watu-wakubaliane-na-mawazo-yako-kanuni-ya-tano/

Habari njema muuzaji bora  kuwahi kutokea, Hongera na karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ushawishi kutoka kwenye programu […]
3398; Furahia ugumu.
https://amkamtanzania.com/2024/04/20/3398-furahia-ugumu/

3398; Furahia ugumu. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Wakati watu wengi wanakimbia na kulalamikia ugumu wa safari ya […]
Nguvu Ya Hadithi Kwenye Kujenga Au Kuvunja Utajiri.
https://amkamtanzania.com/2024/04/20/nguvu-ya-hadithi-kwenye-kujenga-au-kuvunja-utajiri/

Rafiki yangu mpendwa, Kila kitu ambacho tunafanya kwenye maisha yetu, huwa ni sahihi kabisa kwa upande wetu. Hata kama kwa […]
Unachopitia Sasa Ni Kipindi Cha Mpito Tu, Usikate Tamaa.
https://amkamtanzania.com/2024/04/20/unachopitia-sasa-ni-kipindi-cha-mpito-tu-usikate-tamaa/

Rafiki yangu mpendwa, Maisha huwa yana kupanda na kushuka mara zote. Kwa bahati mbaya sana, tumekuwa tunachukulia hali hizo tofauti […]
LIVE! ONGEA NA KOCHA DR. MAKIRITA AMANI (MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO).

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumapili tarehe 21/04/2024 tutakuwa na mada ya;

MAISHA YA OPRAH WNFREY, KUTOKA UFUKARA (KUVAA MAGUNIA) MPAKA KUFIKIA UBILIONEA.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
3399; Kuchukulia poa.
https://amkamtanzania.com/2024/04/21/3399-kuchukulia-poa/

3399; Kuchukulia poa. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Matokeo ambayo tunayapata kwenye kila eneo la maisha yetu, huwa yanategemea […]
LIVE! JENGA UTAJIRI KWA KUISHI KAWAIDA.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha Jumatatu tarehe 22/04/2024 tutakuwa na mada ya;

JINSI YA KUJENGA UTAJIRI MKUBWA KWA KUISHI MAISHA YA KAWAIDA.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Tumia Falsafa Ya Ustoa Kuwa Na Maisha Ya Furaha.
https://amkamtanzania.com/2024/04/21/tumia-falsafa-ya-ustoa-kuwa-na-maisha-ya-furaha/

Rafiki yangu mpendwa, Furaha kwenye maisha imekuwa kitendawili ambacho watu wengi wameshindwa kukitegua. Kila mtu anataka kuwa na furaha kwenye […]
Kila Maumivu Yana Mwisho, Dumu Kwenye Ufanyaji Na Utashinda.
https://amkamtanzania.com/2024/04/21/kila-maumivu-yana-mwisho-dumu-kwenye-ufanyaji-na-utashinda/

Rafiki yangu mpendwa, Ulipozaliwa, kiashiria cha kwanza ambacho wakunga walikitumia kujua kama uko sawa ni kulia. Swali ambalo wakunga huwa […]
3400; Unajiumiza mwenyewe.
https://amkamtanzania.com/2024/04/22/3400-unajiumiza-mwenyewe/

3400; Unajiumiza mwenyewe. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Kama umechagua kufanya kitu, basi hakikisha unakifanya kweli kutoka ndani yako.Jitoe […]