SOMA VITABU TANZANIA📚
1.2K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.64K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
👩🏽‍🍼 Mama, Baba… Fedha Ni Nini? 🧔🏾
https://amkamtanzania.com/2025/07/12/%F0%9F%91%A9%F0%9F%8F%BD%F0%9F%8D%BC-mama-baba-fedha-ni-nini-%F0%9F%A7%94%F0%9F%8F%BE/

‎Siku moja jioni, mama akiwa jikoni na baba akisoma gazeti, mtoto wao mdogo Kito, wa miaka 6, aliwaangalia kwa macho ya kutafuta majibu, kisha akauliza:‌‎“Mama, baba… fedha ni nini?”‌‎Wote walitazamana kimya… swali la kawaida, lakini wakagundua hawajawahi kukaa chini kumfundisha mtoto wao kuhusu pesa.‌‎Kwa haraka mama akasema,‎”Fedha ni kitu cha watu wazima, Kito.”‎Baba akaongeza,‎”Utakapo kuwa […]
1