SOMA VITABU TANZANIA📚
1.14K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.6K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
‎Kama Huweki Mfumo wa Fedha Leo Jiandae Kuendelea Kunyanyaswa Na Maisha…
https://amkamtanzania.com/2025/05/13/kama-huweki-mfumo-wa-fedha-leo-jiandae-kuendelea-kunyanyaswa-na-maisha/

‌‎Kakaa/Dadaa hebu fikiria hii… kila mwezi pesa inaingia, halafu ndani ya wiki mbili unajiuliza, *Ile hela imeenda wapi?*‌‎ Na wewe si mlevi.‌‎ Huna starehe kubwa.‌‎ Lakini bado hela zako zinaisha bila habari.‎ Mara kodi, mara vocha, mara outing ya ghafla.‌‎ Na mwisho wa mwezi unabaki na ndoto tu hakuna akiba, hakuna maendeleo.‌‎ Ni kama maisha […]