SOMA VITABU TANZANIA📚
1.21K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.65K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
Uzuri na Kinachokutokea Kwenye Maisha Yako.
https://amkamtanzania.com/2024/08/26/uzuri-na-kinachokutokea-kwenye-maisha-yako/

Rafiki Yangu Mpendwa, Ukiweza Kuangalia Uzuri Kwenye Jambo Lolote Lile Linalokutokea Kwenye Maisha, Basi Utaweza Kuona Uzuri na Mazuri Mengi […]
Amri 12 Ambazo Matajiri Wanaziishi Kila Siku…
https://amkamtanzania.com/2024/08/26/amri-12-ambazo-matajiri-wanaziishi-kila-siku/

Rafiki Yangu Mpendwa, Hizi ni Zile Amri 12 Ambazo Matajiri Wanaziishi Kila Siku, Na Ambazo Zinawafanya Wazidi Kuwa Matajiri, Kila […]
3526; Utateseka sana mpaka utakapokubali hili.
https://amkamtanzania.com/2024/08/26/3526-utateseka-sana-mpaka-utakapokubali-hili/

3526; Utateseka sana mpaka utakapokubali hili. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Kwenye biashara na ujasiriamali, watu wamekuwa wanateseka […]
Tumia Zawadi Zenye Majina Kufikia Wateja Wengi Zaidi.
https://amkamtanzania.com/2024/08/27/tumia-zawadi-zenye-majina-kufikia-wateja-wengi-zaidi/

Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya CHUO CHA MAUZO, yenye lengo […]
Kustaafu Ni Moja Ya Njia Ya Kukaribisha Kifo…
https://amkamtanzania.com/2024/08/27/kustaafu-ni-moja-ya-njia-ya-kukaribisha-kifo/

Kwa Nini? Kwasababu Unajiona Kabisa Maisha Yako Yamefika Tamati. Unajiona Hauna Kitu Cha Kufanya Tena, Unaona Kabisa Upo Tayari Kuaga […]
3527; Tumia ulichonacho, kupata ambacho huna.
https://amkamtanzania.com/2024/08/27/3527-tumia-ulichonacho-kupata-ambacho-huna/

3527; Tumia ulichonacho, kupata ambacho huna. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Huwa kuna usemi wa Kiswahili kwamba Mungu […]
Uhusiano Uliopo Kati Ya Utajiri na Mtandao.
https://amkamtanzania.com/2024/08/27/uhusiano-uliopo-kati-ya-utajiri-na-mtandao/

Rafiki Yangu, Ukweli ni Kwamba Watu Wengi Ambao Wanajenga Utajiri na MAFANIKIO Makubwa Wana Mtandao Fulani Ambao ni Bora Sana, […]
Kitabu; Usimamizi Wa Fedha Binafsi; Mwongozo Wa Kupata, Kutunza Na Kuzalisha Fedha Ili Kuwa Huru.
https://amkamtanzania.com/2024/08/28/kitabu-usimamizi-wa-fedha-binafsi-mwongozo-wa-kupata-kutunza-na-kuzalisha-fedha-ili-kuwa-huru/

Rafiki yangu mpendwa, Umewahi kujiuliza kwa nini watu wawili, wanaoweza kuwa wanafanya kazi au biashara zinazofanana na kuingiza kipato sawa, […]
Mlinganyo Wa Kazi , Maisha na Mafanikio…
https://amkamtanzania.com/2024/08/28/mlinganyo-wa-kazi-maisha-na-mafanikio/

Kutaka Kupata Mlinganyo Wa Kazi na Maisha Kabla Hujafanikiwa ni Sawa na Kuchanganya Mafuta na Maji Ni Kwanini? Rafiki Yangu […]
3528; Ni mapambano yako peke yako.
https://amkamtanzania.com/2024/08/28/3528-ni-mapambano-yako-peke-yako/

3528; Ni mapambano yako peke yako. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Unapokuwa unaanzia chini kabisa, yaani ndiyo unayaanza […]
Hadithi Za Mafanikio…
https://amkamtanzania.com/2024/08/29/hadithi-za-mafanikio/

Hadithi Za Mafanikio… Rafiki Yangu, Hadithi Za Mafanikio ni Nzuri, Zinasisimua, Zinaelimisha, … na Zinahamasisha. Watu Wengi Wanapenda Kuhadithia Mafanikio […]
3529; Kiungo cha kubadilisha kama unataka mafanikio makubwa.
https://amkamtanzania.com/2024/08/29/3529-kiungo-cha-kubadilisha-kama-unataka-mafanikio-makubwa/

3529; Kiungo cha kubadilisha kama unataka mafanikio makubwa. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Moja ya sifa zetu binadamu […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
UJUZI WA AINA 3 KWENYE FEDHA.

Rafiki,
Kama kitu pekee unachojua kuhusu fedha ni kupata na kutumia, utaendelea kuwa na changamoto nyingi za kifedha.

Kujikwamua kifedha unapaswa kujijengea ujuzi wa aina tatu;

Moja ni ujuzi wa KUPATA fedha, hii wengi tunajua.

Mbili ni KUTUNZA fedha, ujuzi ambao hauzingatiwi.

Tatu ni KUZALISHA fedha, ujuzi ambao ni adimu kwa wengi.

Ndani ya kitabu cha USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI unajifunza jinsi ya kujenga ujuzi hizo tatu na kufanikiwa kifedha.

Karibu ujipatie nakala yako leo kwa kuwasiliana na 0678 977 007 sasa.
JE, UNAMILIKI BIASHARA NA BIASHARA INAKUMILIKI?

Mwanamafanikio,

Uhuru kamili kwenye maisha utaupata ukiwa kwenye biashara.

Lakini wamiliki wengi wa biashara, wamekuwa wanamilikiwa na biashara zao kiasi cha kushindwa hata kupata muda wa kufanya mambo mengine muhimu.

Je, umechoshwa kumilikiwa na biashara na ungependa kupata mfumo wa kuendesha biashara yako bila kukutegemea, kuongeza kipato na kupata uhuru?

Kama jibu lako ni ndiyo, karibu sana kwenye SEMINA ya KISIMA CHA MAARIFA 2024 kupata mafunzo hayo.

SEMINA hii itafanyika Mbezi Garden Hotel DMS, kwa kiingilio cha Tsh 65000/=

Weka nafasi yako ya kushiriki sasa kwa kuwasiliana namba 0713604101.
Karibu sana.
UJASIRIAMALI NI DARASA LA MILELE...

Rafiki,
Kama upo kwenye biashara na ujasiriamali na unataka kufanikiwa, basi unapaswa kufunga ndoa na kujifunza.

Ni lazima uwe tayari kujifunza endelevu, kwa kipindi chote cha maisha yako.

Siku utakayojiona tayari unajua kila kitu na huna tena haja ya kujifunza, ndiyo siku unayoanza kuanguka.

Katika kutambua umuhimu wa kujifunza, tumekuandalia jukwaa maalumu lililosheheni mafunzo yote ya kufanikiwa kwenye biashara na ujasiriamali.

Jukwaa hilo ni KISIMA CHA MAARIFA na kujiunga ni bure kabisa. Ungana nasi kwa link hii; https://chat.whatsapp.com/KHtzXfz8pR85ZTHtJ8ZmS4

Karibu kwenye darasa la maisha la KISIMA CHA MAARIFA.
Hatua Za Kuchukua Pale Unapojiona Umechelewa Kuanza Uwekezaji.
https://amkamtanzania.com/2024/08/30/hatua-za-kuchukua-pale-unapojiona-umechelewa-kuanza-uwekezaji/

Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya […]