SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
1.21K subscribers
444 photos
265 videos
649 files
1.65K links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
UTAJIRI; USIKOPE FEDHA KWA AJILI YA KUFANYA UWEKEZAJI.

Karibu kwenye kipindi mubashara (live) cha ONGEA NA KOCHA,

Kila siku saa 10 kamili alfajiri mpaka saa 11 kamili.

Kipindi kinafanyika kupitia mtandao wa Telegram,

Unaweza kushiriki ukiwa popote duniani kwa kiungo; https://bit.ly/makirita

Kipindi cha kesho Ijumaa tutakuwa na mada ya;

UTAJIRI; USIKOPE FEDHA KWA AJILI YA KUFANYA UWEKEZAJI.

Karibu ushiriki kipindi ili upate MAARIFA, uyaweke kwenye VITENDO na upate MAFANIKIO makubwa.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
JENGA MTANDAO MPANA WA KIMAFANIKIO...

Rafiki,
Mafanikio kwenye maisha hayategemei sana unajua nini, bali unamjua nani.

Ukubwa wa mtandao wako ndiyo unaoamua ukubwa wa mafanikio yako.

Moja ya faida za kushiriki matukio mbalimbali ni kukuza mtandao wako.

Kwenye tukio letu kuu la SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA, pamoja na mazuri utakayojifunza, pia utakutana na watu sahihi.

Watu wanaoshiriki semina hii ni makini na waliodhamiria kweli kufanikiwa.
Karibu na wewe ushiriki ili ukutane na watu hao na mjenga mtandao bora wa kimafanikio.

SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 itafanyika jumapili ya tarehe 27 Oktoba 2024 jijini Dar.

Utapata nafasi ya kushiriki semina hii kwa kulipa ada ya Tsh 65,000/=.

Weka nafasi yako ya kushiriki sasa kwa kuwasiliana na 0713 604 101.

Karibu sana.
24.8.16; Ruhusa
https://amkamtanzania.com/2024/08/16/24-8-16-ruhusa/

Kama unasubiri watu wakupe ruhusa ya kufanikiwa, unajiandaa kutokufanikiwa. Hao unaotaka wakupe ruhusa na wao wanasubiri wapewe ruhusa na watu […]
3516; Kusubiri ruhusa.
https://amkamtanzania.com/2024/08/16/3516-kusubiri-ruhusa/

3516; Kusubiri ruhusa. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Tulipokuwa watoto wachanga, tulikuwa tunajiamulia mambo yetu wenyewe na kwa […]
Tabia na Mazoea…
https://amkamtanzania.com/2024/08/16/tabia-na-mazoea/

Tabia na Mazoea… Hii ni Kwa Wale TU Ambao Wanataka Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yao. TABIA na Mazoea Vimekuwa […]
Tahadhari; Usikope Fedha Kwa Ajili Ya Kwenda Kufanya Uwekezaji.
https://amkamtanzania.com/2024/08/16/tahadhari-usikope-fedha-kwa-ajili-ya-kwenda-kufanya-uwekezaji/

Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya […]
TABIA na Mazoea Vimekuwa Vikwazo Kwa Wengi Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yao.

Kuvuka Vikwazo Hivo Viwili (2), Unatakiwa Uweke Mfumo Ambao Utakuwajibisha Kuweka Akiba na Kuwekeza Moja Moja,

Kwa Kufungua Akaunti 3 Za Benki,
Akaunti Ya Kwanza inakuwa Ni Kwaajili Ya Akiba,
Akaunti Ya Pili Inakuwa Ni Kwaajili Ya Uwekezaji.
Akaunti Ya Tatu Inakuwa Ni Ya Malengo Maalum,

Sasa Baada Ya Hapo Nenda Kawaambie Benki Kila Tarehe Fulani ya Mwezi Husika Wakukate kiasi Fulani Kwenye Akaunti Yako kuu ya Kipato,

Iendee Kwenye Akaunti ya Akiba, Nyingine Uwekezaji na Nyingine Malengo Maalum.
Na Ukifanikiwa Kufanya Hivi Basi Utakuwa Umeweza Kuvuka Hivo Vikwazo Viwili Hapo Juu Vinavyowazuia Wengi Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yao.

Anyway Kama Unataka Kujifunza Zaidi Kuhusu Uwekezaji. Karibu Uungane na Wenzako Ni Hapa *https://wa.link/vpl0rj* *https://wa.link/vpl0rj*
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
PENDA MATATIZO UFANIKIWE...

Rafiki,
Mafanikio makubwa huwa ni matokeo ya mtu kusukumwa na matatizo.

Mtu anapokuwa na raha tu muda wote, hasukumwi kufanya vitu vya tofauti.

Ni matatizo ndiyo huwa yanamlazimisha mtu abadili vile anavyokuwa.

Kila wakati tafuta matatizo ambayo ni makubwa zaidi ili uweze kufanya makubwa zaidi ya hapo ulipo sasa.

Kitabu cha MTAALA WA UTAJIRI kinakupa mtazamo wa tofauti kwenye maisha yako, ambao unakuwezesha kugeuza matatizo kubwa fursa.

Jipatie sasa nakala yako ya kitabu kwa kuwasiliana na 0678 977 007.

Penda matatizo na utafanikiwa.
VUKA MTEGO WA KUBWETEKA KIKAZI BAADA YA KUPATA KIPATO KIKUBWA KWA MPIGO

Rafiki,
Kama unafanya shughuli yoyote ambayo kila kitu kinakutegemea, jua tayari kuna ukomo umejiwekea kwenye kipato. Kwa sababu una ukomo wa muda, nguvu na mengine mengi.

Ili ujenge kipato kikubwa zaidi unahitaji kufanya uwekezaji, hata kama kipato chako ni kidogo. Hiki kitakuokoa pale unapopata changamoto au dharula.

Baadhi yetu tumekuwa tunashindwa kutegua mtego huu, tunapopata kipato kikubwa kuzidi wengine tunabweteka kikazi. Tunaona tumemaliza kila kitu kumbe sio kweli bali tunapaswa kufanya uwekezaji ili kukuza kipato chetu.

*MUHIMU;* Pata kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI* ujifunze mambo ya msingi ya kujenga utajiri. Pia utapata nafasi ya kuingia kwenye programu ya *NGUVU YA BUKU* na kuweza kusimamiwa kufanya uwekezaji wa muda mrefu. Wasiliana na 0713604101 kupata kupata kitabu na huduma.
πŸ‘1
PIGA KELELEEEEE...

Rafiki,
Kama na wewe unapokea jumbe nyingi za KIZIMKAZI kama mimi, usikereke, badala yake pata somo hapo.

Somo lenyewe ni kupiga kelele za kutosha kwa kutumia jumbe fupi za simu (SMS).

Jumbe hizo huwa zinafunguliwa zaidi kuliko jumbe za njia nyingine kama email, wasap au mitandao ya kijamii.

Habari njema ni kama unataka kuweza kuwatumia wateja wako wengi jumbe fupi kama hizi (Bulk SMS) tunayo hiyo huduma.

Kwa gharama rahisi kabisa unaweza kufikia maelfu ya wateja kwa urahisi kabisa.

Wasiliana sasa na 0717 396 253 kupata huduma hii ya BULK SMS.
Jinsi Unavyojizuia Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yako…
https://amkamtanzania.com/2024/08/16/jinsi-unavyojizuia-kujenga-utajiri-mkubwa-kwenye-maisha-yako/

Rafiki Yangu Hivi Utajisikiaje Kama Ulikuwa Una Fursa Kujenga Utajiri Mkubwa Lakini Mwisho Unakufa Maskini? Hakuna Kitu Ambacho Kinaniuma Kwenye […]
24.8.17; Furaha.
https://amkamtanzania.com/2024/08/17/24-8-17-furaha/

Fedha imekuwa inashindwa kukununulia furaha kwa sababu hujui duka lenyewe liko wapi. Ukijua lilipo duka halisi la furaha, kuinunua haiwi […]
3517; Siyo fedha pekee.
https://amkamtanzania.com/2024/08/17/3517-siyo-fedha-pekee/

3517; Siyo fedha pekee. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Watu wamekuwa na malalamiko kwamba fedha haiwezi kununua furaha. […]
Kanuni Kuu Yenye Ushawishi Mkubwa Kwa Wengine Itakayokusaidia Kujenga Na Kuimarisha Mahusiano Yako
https://amkamtanzania.com/2024/08/17/kanuni-kuu-yenye-ushawishi-mkubwa-kwa-wengine-itakayokusaudia-kujenga-na-kuimarisha-mahusiano-yako/

Habari njema muuzaji bora kuwahi kutokea, Leo ikiwa ni jumamosi ya ushawishi,  tunaongozwa na kauli mbiu yetu inayosema HUPATI UNACHOSTAHILI, […]
Fedha imekuwa inashindwa kukununulia furaha kwa sababu hujui duka lenyewe liko wapi.

Ukijua lilipo duka halisi la furaha, kuinunua haiwi kitu kigumu kwako.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
Unajiita Nani? Unataka Kuwa Nani? Unataka Nini?…
https://amkamtanzania.com/2024/08/17/unajiita-nani-unataka-kuwa-nani-unajiita-nani/

Rafiki Yangu, Leo Inawezekana Unajiita Mwanamziki, Mwalimu, Kiongozi au Chochote Kile, Na Unapenda Kabisa Kuwa Hivo, Lakini Unajidharau na Kujiona […]
Rafiki Inawezekana Unajiita Mwanamziki, Mwalimu, Kiongozi au Chochote Kile,
Na Unapenda Kabisa Kuwa Hivo,

Lakini Unajidharau na Kujiona Hauwezi Kuwa Yule Unayejiita. Nasio Kweli Kabisa Huwezi. Bali Nikwasababu Tu Umejiwekea Mipaka Ya Kwamba Hauwezi.

Ukweli ni Kwamba Unaweza Sana TU Kuwa Yule Unayejiita. Lakini Ukweli Hofu Ndio Adui Yako Namba 1 Anayekuzuia Kuwa Yule Unayejiita.

Na Ipo Njia Rahisi Sana Ya Kulivuka Hilo
Njia Hiyo ni Kuweka Mwili Wako Pale Unapopaswa Kuwa Yaani Fanya Kile Unachojiita.

Yaani Kama ni Mwanamziki Imba, au Kama Ni Kiongozi Ongoza Yaani Fanya Weka Juhudi Kwenye Hicho. Na ukifanya Hivyo Kwa Msimamo Basi Utaweza Kupata Kile Unachotaka.

Ok, Kama Unataka Kufikia Uwezo Wako Wa Kipekee, Basi Ungana na Wenzako HapaπŸ‘‡ *https://wa.link/n7xf3a*
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
FEDHA ZA BIASHARA SIYO ZA KWAKO

Rafiki,

Wafanyabiashara wengi wanashindwa kujitofautisha wao na biashara zao.
Kwa kuwa wanajua biashara ni zao, hivyo wanayo mamlaka ya kutumia kila fedha kwenye biashara vile watakavyo kwa sababu ni yake.

Lakini hilo siyo kweli, biashara ni kitu ambacho kinajitegemea. Fedha unaziona kwenye biashara ni mali ya biashara.

Hupaswi tu kutumia fedha za biashara kwa matumizi yako binafsi. Faida inayopatikana baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji wa biashara, inayobakia ndiyo yako.

Ili kuhakikisha mzunguko wa biashara upo vizuri, tenganisha matumizi ya fedha za biashara na matumizi ya fedha binafsi.

Habari njema ni kwamba, kupitia CHUO CHA MAUZO utakwenda kujifunza namba 15 muhimu kwenye biashara yako. Hii itasaidia kujua afya ya biashara yako.

Kupata huduma ya CHUO CHA MAUZO na kitabu chake wasiliana na namba 0717101505.

Muhimu, ukiwa na kitabu cha CHUO CHA MAUZO, unapata ofa ya mwezi huu kujiunga na CHUO CHA MAUZO bure kabisa, tuwasiliane sasa 0717101505 upate ofa