NAFASI ZA KAZI & NEWS CHANNEL
61 subscribers
1 photo
113 links
Pata Habari na Matukio Mbalimbali yanayotokea kila siku Nchini Tanzania na Duniani kwa ujumla zikiwepo nafasi Mpya za Kazi Kwenye Taasisi za Umma na Sekta Binafsi
Download Telegram
*Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia stesheni ya Reli ya Kisasa ya SGR ya mkoani Dodoma kuitwa jina lake na sasa itajulikana kama Samia Station huku stesheni ya Dar es Salaam ikipewa jina la mtangulizi wake, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.*

*Akitangaza majina ya stesheni zote za reli ya SGR, Rais Samia amsema, Stesheni ya Morogoro itaitwa jina la Rais wa awamu ya Nne, Jakaya Kikwete huku ile ya Tabora ikipewa jina la Rais wa awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi…Endelea Hapa*👇👇👇👇

https://www.masamablog.com/2024/08/breakinghaya-hapa-majina-ya-vituo-vya.html?m=1