DODOMA: SERIKALI imesema itaunda timu ya wataalamu itakayojumuisha wizara tano kuchambua waraka wa unaojiita Umoja wa Walimu Wasio na Ajira (NETO).
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa mma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema hayo katika Mji wa serikali Mtumba, Dodoma.
Imeandaliwa na Mwandishi Maalumu
Zaidi tembelea: https://habarileo.co.tz
#HabarileoUPDATES