SOMA VITABU TANZANIAπŸ“š
898 subscribers
51 photos
11 videos
649 files
590 links
Karibu kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA ambapo unapata uchambuzi wa vitabu pamoja na vitabu vilivyochambuliwa

Kujiunga ni bure kwa wiki ya kwanza, kisha unalipa elfu 10 (10,000) kwa mwezi au laki 1 kwa mwaka.

Mawasiliano; 0678 977 007

Karibu.
Download Telegram
Safari Ngumu Ya Mafanikio Ya Eminem.
https://amkamtanzania.com/2024/04/29/safari-ngumu-ya-mafanikio-ya-eminem/

Rafiki yangu mpendwa, Ili kujifunza kwa wale waliofanikiwa, hatupaswi kuyaangalia maisha yao ya sasa, bali tunapaswa kuangalia kule walikotoka. Unapoyaangalia […]
#Hadithizakocha; Kisa Cha Farasi Aliyepotea.
https://amkamtanzania.com/2024/04/29/hadithizakocha-kisa-cha-farasi-aliyepotea/

Rafiki yangu mpendwa, Karibu kwenye #HadithiZaKocha ambapo leo tunakwenda kupata kisa cha farasi aliyepotea. Soma kwa makini na upate somo […]
3408; Kuomba na kutoa ushauri.
https://amkamtanzania.com/2024/04/30/3408-kuomba-na-kutoa-ushauri/

3408; Kuomba na kutoa ushauri. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Eneo la ushauri ni eneo ambalo limekuwa na upotevu […]
Kufikia Wateja Wengi Kwa Kutumia Matangazo Ya Kuchapa.
https://amkamtanzania.com/2024/04/30/kufikia-wateja-wengi-kwa-kutumia-matangazo-ya-kuchapa/

Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea. Kila biashara na kwa kila wakati inakuwa inahitaji wateja zaidi na mauzo zaidi. Vitu […]
Jifunze Kujenga Utajiri, Hatua Sita (06) Za Uhakika.
https://amkamtanzania.com/2024/04/30/jifunze-kujenga-utajiri-hatua-sita-06-za-uhakika/

Rafiki yangu mpendwa, Watu wengi wanapenda kupata utajiri kwenye maisha yao. Lakini wanaoupata utajiri hasa wamekuwa ni wachache sana. Wale […]
BIASHARA NDANI YA AJIRA; Mwongozo Wa Kuanzisha Na Kukuza Biashara Yako Ukiwa Kwenye Ajira.
https://amkamtanzania.com/2024/04/30/biashara-ndani-ya-ajira-mwongozo-wa-kuanzisha-na-kukuza-biashara-yako-ukiwa-kwenye-ajira/

BIASHARA NDANI YA AJIRA ni kitabu ambacho kinakupa maarifa, mikakati na mbinu za kuanzisha na kukuza biashara yako ukiwa bado […]
Mbinu Mbili Za Uhakika Za Ukamilishaji Wa Mauzo 35-36
https://amkamtanzania.com/2024/05/01/mbinu-mbili-za-uhakika-za-ukamilishaji-wa-mauzo-35-36/

Habari njema muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibu sana kwenye mwendelezo wa makala zetu za ukamilishaji ambazo ni mwendelezo wa […]
3409; Fikra, Hisia na Matendo.
https://amkamtanzania.com/2024/05/01/3409-fikra-hisia-na-matendo/

3409; Fikra, Hisia na Matendo. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa, Hatuwezi kudhibiti matokeo tunayoyapata, lakini tunaweza kudhibiti hatua […]
Hatua Tano Za Kuondoka Kwenye Madeni Na Kujenga Utajiri.
https://amkamtanzania.com/2024/05/01/hatua-tano-za-kuondoka-kwenye-madeni-na-kujenga-utajiri/

Rafiki yangu mpendwa, Madeni yamekuwa kaburi ambalo limezika ndoto za watu wengi kujenga utajiri mkubwa kwenye maisha yao. Hiyo ni […]
Tahadhari; Usiache Ajira Kabla Hujawa Na Mshahara Mbadala.
https://amkamtanzania.com/2024/05/01/tahadhari-usiache-ajira-kabla-hujawa-na-mshahara-mbadala/

Rafiki yangu mpendwa, Kuwa kwenye ajira ambayo kipato ni kidogo, huwa kunampa mtu hasira ya kuchukua hatua za kukuza kipato […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
PESA ZAKO ZIPO KWENYE HICHO UNACHOSIFIWA KUFANYA...

Inapokuja kwenye kupata wazo la kuanzisha biashara, wengi wamekuwa wanahangaika sana wakati tayari kila wanachohitaji wanacho.

Sikia rafiki, kuna vitu ambavyo watu yuwa wanakusifia kwa kuvifanya.
Ni vitu ambavyo huwa unavifanya vizuri, hata kama hakuna anayekulipa.

Vitu hivyo ndiyo fursa kubwa kabisa kwako kuweza kuanzisha biashara yenye mafanikio makubwa na kuongeza kipato chako.

Kwenye kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA nimekuonyesha jinsi unavyoweza kugeuza kipaji chako kuwa biashara yenye mafanikio, tena ukiwa bado umeajiriwa.

Kwenye wiki hii ya wafanyakazi, tunayo zawadi maalumu ya kitabu hicho.

Ni zawadi inayolenga kumwinua kila mfanyakazi ili kuwa na maisha bora kwake na kwa wanaomzunguka.

Hii siyo zawadi ya wewe kukosa kama umedhamiria kweli kupiga hatua.

Kupata zawadi hii, tuma ujumbe sasa wenye maneno; ZAWADI YA WAFANYAKAZI kwenda namba 0678 977 007.

Una rasilimali nyingi ambazo hujaanza kuzitumia.
Pata zawadi yako sasa, 0678 977 007
3410; Hakuna unayemdanganya.
https://amkamtanzania.com/2024/05/02/3410-hakuna-unayemdanganya/

3410; Hakuna unayemdanganya. Kutoka mezani kwa Kocha, Rafiki yangu mpendwa,Watu wote wanaokuzunguka, wanaujua ukweli kuhusu wewe.Hata kama unajaribu kuficha ukweli […]
Kila Kitu Kinahesabika Kwenye Mauzo
https://amkamtanzania.com/2024/05/02/kila-kitu-kinahesabika-kwenye-mauzo/

Ndugu,Mtoto anapozaliwa, mzazi anakuwa na furaha kubwa. Ndugu, jamaa na marafiki, hukusanyika kumpokea na kumpatia zawadi. Baada ya siku chache, […]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KUKOSA MTAJI KUSIKUKWAMISHE KAMWE...

Kama unataka kuongeza kipato chako, lakini unakosa mtaji wa kuanzisha biashara, usikwame.

Kwani kuna fursa moja kubwa sana kwako ya kuweza kuongeza kipato chako bila hata ya mtaji kabisa.

Fursa hiyo ni kwa kufanya mauzo.
Unaanza na kitu ambacho tayari wewe mwenyewe unatumia.

Unaongea na wafanyabiashara wanaokiuza kwamba unaweza kuwapatia wateja.

Kisha unawashawishi watu kununua na wewe unapata kamisheni.
Ni rahisi sana huku kipato kikiwa ni cha uhakika.

Kitabu BIASHARA NDANI YA AJIRA kinakupa mwongozo jinsi unavyoweza kuanza na mauzo na ukakuza sana kipato chako.

Habari njema ni kwamba kuna zawadi nzuri kwako, ya kitabu hicho pamoja na kingine cha ziada.

Kupata zawadi, tuma ujumbe; ZAWADI YA WAFANYAKAZI kwenda namba 0678 977 007 na utaipata.

Muhimu; imebaki siku moja tu ya kupata zawadi hii. Chukua hatua sasa ili usikose zawadi yako.
Wasiliana na 0678 977 007.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
‼️TAHAFHARI; USIACHE KAZI KAMA HUNA AKIBA YA MIEZI SITA.

Wafanyakazi wengi kwa kuchoshwa na udogo wa kipato cha ajira, huamua kuacha kazi na kwenda kujiajiri.

Lakini kwa wengi, mambo yanakuwa magumu zaidi kwenye kujiajiri kuliko yalivyokuwa kwenye ajira.

Hilo linawapelekea wengi kulazimika kurudi tena kwenye ajira.

Kama unataka utoke kwenye ajira na uwe na mafanikio kwenye biashara au kujiajiri, hakikisha una akiba ya kuweza kuendesha maisha yako kwa miezi 6 mpaka 12 bila ya kutegemea kipato.

Kwa njia hiyo utaweza kukabiliana na chochote unachokutana nacho na kusimama imara.

Kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA kinakupa mwongozo wa kuanzisha biashara ukiwa bado umeajiriwa, ili uweze kukusanya akiba ya kutosha na baadaye kuachana na ajira.

Nimekuandalia zawadi nzuri ya kitabu hiki, ili kuhakikisha unaweza kufanya maamuzi sahihi.
Kupata zawadi hiyo tuma ujumbe ZAWADI YA WAFANYAKAZI kwenda namba 0678 977 007 sasa.

Kabla hujatoka kwenye ajira, jipange kiasi kwamba hutarudi tena.
0678 977 007 upate zawadi.
Aina Za Uwekezaji Unaopaswa Kufanya Ili Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yako.
https://amkamtanzania.com/2024/05/02/aina-za-uwekezaji-unaopaswa-kufanya-ili-kujenga-utajiri-mkubwa-kwenye-maisha-yako/

Rafiki yangu mpendwa, Kikwazo kikubwa kwa watu wengi kujenga utajiri siyo kipato, bali kutokujua. Wengi hudhani kwamba wanakosa utajiri kwa […]
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuongeza Kipato Chako Hata Kama Huna Mtaji Kabisa.
https://amkamtanzania.com/2024/05/02/hivi-ndivyo-unavyoweza-kuongeza-kipato-chako-hata-kama-huna-mtaji-kabisa/

Rafiki yangu mpendwa, Kila mtu ambaye yupo kwenye ajira, bila ya kujali kiasi cha mshahara anacholipwa, kimekuwa hakitoshelezi. Kipato cha […]