Neema Gospel Choir
778 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
85 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
Unaweza kuwezesha Ibada hii kwa kuchangia Sadaka yako kupitia namba ya LIPA KWA M-PESA 5922779 jina SADAKA NEEMA GOSPEL CHOIR

MUNGU AKUBARIKI

ENDELEA KUWA KARIBU NA MITANDAO YETU YA KIJAMII KWA AJILI YA TAARIFA ZAIDI..!!

Sponsors are invited...!!

#WorshipinSpirit #Singwiththanksgiving #livemusic #weservethelivingGod #liverecording #choirs #WeAreGospelMusic #gospelmusic #gospelchoir #choir #tanzania #ulipotupo #jesus #livemusic #music ##Γ‘frica #worship #worshipmusic #praiseandworship
πŸ†‚ πŸ…· πŸ†„ πŸ…Ί πŸ†„ πŸ† πŸ…° πŸ…½ πŸ…Έ πŸ™πŸ½

A very humble person and charming our friend & Brother @ministerpaulclement Maneno hayatoshi kumuelezea namna tunavyokubali huduma ya kaka yetu Paul, Asante Sana kwa kukubali kutumika nasi katika ibada ya Shukurani tar 03 December, umetushika mkono! Mungu huyu atunzae ahadi zake akubariki wewe na familia yako.

#Sijawahiona ni wimbo mpya kabisa kutoka kwa kaka Paul na leo Mapema utakuwa YouTube, Karibu tuweze kubarikiwaπŸ”₯

Photo credit @light_palmer & @silverink_

#singwiththanksgiving
#worshipinspirit2021
#neemagospelchoir
#wearegospelmusic
πŸ†‚ πŸ…· πŸ†„ πŸ…Ί πŸ†„ πŸ† πŸ…° πŸ…½ πŸ…Έ πŸ™πŸ½

Kipekee tunamshukuru Mungu aliyetupa Dada, Mama na Mchungaji kwetu,Pastor @pastornsiandumi . We don't take this for granted, We feel honoured kwelikweli. Wewe ni mtu mwema, na mnyenyekevu sana, Haukujiiza mara 2x2 pale tulipokufikishia ujumbe wa kushiriki nasi katika katika ibada tuliyomuandalia Mungu, Jibu lako lilikuwa Mazoezi ni lini na wapi? πŸ˜‚

Mungu na akubariki na azidi kukutunza kwaajili ya utukufu wake mwenyewe. Wewe ni baraka kwetu

Photo credit @light_palmer & @silverink_

#singwiththanksgiving
#worshipinspirit2021
#neemagospelchoir
#wearegospelmusic