Neema Gospel Choir
778 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
85 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania 🇹🇿(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
T-SHIRTS NOW AVAILABLE!
Whatsapp Only: +255 766 777 288

Unahitaji kupendeza kwa Tshirt kali za Neema Gospel Choir Msimu wa #Washindi #victoriousjourney

*🏷️ BEI YA T-SHIRTS*
25,000 - Short Sleeve
30,000 - long Sleeve
35,000. - Hoodies
50,000 - Special Design

Weka Oda yako sasa!
Are you excited to be part of the live recording of the 'Victorious Journey' worship experience on December 1st?🤷‍♂️

Join us for a night that will be filled with powerful worship, uplifting melodies, and an atmosphere of spiritual breakthrough.

Save the date and let's worship together! 🙌🎶 🎵
#VictoriousJourney #NGC #LiveRecording"
Mungu awabariki sana RUNGWE HOTEL washirika wakubwa katika kuandaa ibada hii #victoriousjourney 01 December

Tunaendelea kukukaribisha kapanda Sadaka yako katika maandalizi ya Ibada hii
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Akaniambia, 'Ewe Mwana wa Adamu, je! Mifupa hii yaweza kuwa hai?' Nikasema, 'Bwana Mwenyezi, wewe pekee ndiwe ujuaye.' Kisha akanambia, 'Toa unabii kwa mifupa hii, ukaiambie, 'Mifupa miovu, sikieni neno la Bwana! Bwana Mwenyezi asema hivi kuhusu mifupa hii: Nitaijaza roho, nanyi mtakuwa hai.'" Ezekieli 37:1-10

TUNATABIRI - Neema Gospel Choir x John Kavishe🔥

Video ya wimbo huu itapatikana Youtube na Digital Platforms zote🙌🏽

06 MARCH - 2024 Saa 7 Mchana 🔥🔥

#Tunatabiri #NeemaGospelChoir
#VictoriousJourney