This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Akaniambia, 'Ewe Mwana wa Adamu, je! Mifupa hii yaweza kuwa hai?' Nikasema, 'Bwana Mwenyezi, wewe pekee ndiwe ujuaye.' Kisha akanambia, 'Toa unabii kwa mifupa hii, ukaiambie, 'Mifupa miovu, sikieni neno la Bwana! Bwana Mwenyezi asema hivi kuhusu mifupa hii: Nitaijaza roho, nanyi mtakuwa hai.'" Ezekieli 37:1-10
TUNATABIRI - Neema Gospel Choir x John Kavishe๐ฅ
Video ya wimbo huu itapatikana Youtube na Digital Platforms zote๐๐ฝ
06 MARCH - 2024 Saa 7 Mchana ๐ฅ๐ฅ
#Tunatabiri #NeemaGospelChoir
#VictoriousJourney

https://www.youtube.com/watch?v=qzarxPfLFT8
Ushuhuda wa kweli kutoka kwa Mwandishi wa wimbo TUNATABIRI, Minister John Kavishe.
Maono / Unabii aliooneshwa na Mungu kutabiri juu ya maisha yake.
Ikiwa YESU anaweza kuleta uzima tena kwa mifupa ile iliyokufa, vivyo hivyo anaweza kufufua chochote kilichokufa, kipate uhai tena kwa yeyote ambaye anamwamini.
"Akaniambia, Mwanadamu, je! Mifupa hii yaweza kuishi? Nami nikajibu, Ee Bwana MUNGU, wajua wewe. Akaniambia tena, Toa unabii juu ya mifupa hii, uiambie, Enyi mifupa mikavu, lisikieni neno la BWANA. Bwana MUNGU aiambia mifupa hii maneno haya; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Nami nitatia mishipa juu yenu, nami nitaleta nyama iwe juu yenu, na kuwafunika ngozi, na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.'" Ezekieli 37:1-10

YouTube
Neema Gospel Choir - Tunatabiri Ft. John Kavishe (Inspired by a True Story)
Ushuhuda wa kweli kutoka kwa Mwandishi wa wimbo TUNATABIRI, Minister John Kavishe.
Maono / Unabii aliooneshwa na Mungu kutabiri juu ya maisha yake.
Ikiwa YESU anaweza kuleta uzima tena kwa mifupa ile iliyokufa, vivyo hivyo anaweza kufufua chochote kilichokufaโฆ