Neema Gospel Choir
778 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
85 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania 🇹🇿(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
🆂 🅷 🆄 🅺 🆄 🆁 🅰 🅽 🅸 🙏🏽

A very humble person and charming our friend & Brother @ministerpaulclement Maneno hayatoshi kumuelezea namna tunavyokubali huduma ya kaka yetu Paul, Asante Sana kwa kukubali kutumika nasi katika ibada ya Shukurani tar 03 December, umetushika mkono! Mungu huyu atunzae ahadi zake akubariki wewe na familia yako.

#Sijawahiona ni wimbo mpya kabisa kutoka kwa kaka Paul na leo Mapema utakuwa YouTube, Karibu tuweze kubarikiwa🔥

Photo credit @light_palmer & @silverink_

#singwiththanksgiving
#worshipinspirit2021
#neemagospelchoir
#wearegospelmusic