Neema Gospel Choir
776 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
85 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
*SITALIA - Neema Gospel Choir* New Video Release
Wednesday 10 July, 1:00 PM


Subscribe Now:
https://youtube.com/@neemagospelchoir?si=CENuOmUGGM--lLRe
WATCH NOWπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Neema Gospel Choir - Chukwu Oma Ft. Rehema Simfukwe, VIDEO IS OUT.

MWAMBIE MUNGU ASEME NENO MOJA TU

Usijali kuhusu chochote; badala yake, omba kuhusu kila kitu. Mwambie Mungu unachohitaji, na mshukuru kwa yote aliyofanya.

Don’t worry about anything; instead, pray about everything. Tell God what you need, and thank him for all he has done.

Philippians 4:6-7

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
LEO Saa 7:00 Mchana! πŸ™ŒπŸΎβœ¨
MBINGUNI ITAKUWAJE? - New Video Release

Kuwa wa kwanza kusikiliza na kubarikiwa na ujumbe wenye nguvu.

Subscribe kwenye channel yetu ya YouTube sasa na bonyeza kengele! πŸŽ§πŸ””

πŸ‘‰https://youtube.com/@neemagospelchoir?si=IuJjkSCLcXnF-mI2)

Tumsifu Mungu pamoja! πŸ™πŸΎ #NeemaGospelChoir #MbinguniItakuwaje? #SubscribeNow
Kwa Neema ya Mungu *NEEMA GOSPEL CHOIR* tumechaguliwa kuwania *TUZO ZA MUZIKI WA INJILI TANZANIA - TGMA.*

πŸ—³οΈ*TUPIGIE KURA YAKO SASA*! πŸ‘Œ

*DIRECT NOMINATIONS*
βœ…1. *Neema Gospel Choir* - Kwaya/Bendi Bora ya Muziki wa Injili wa Mwaka
Please Vote for Nikurejeshee - Neema Gospel Choir in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA0905

βœ…2. ⁠*Nikurejeshee* - Wimbo Bora wa Muziki wa Injili wa Mwaka
Please Vote for Nikurejeshee - Neema Gospel Choir in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA0301

βœ…3. ⁠*Nikurejeshee* - Wimbo Bora wa Sifa wa Muziki wa Injili wa Mwaka.
Please Vote for Nikurejeshee - Neema Gospel Choir in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA0202

βœ…4. ⁠*Nikurejeshee* - Video Bora ya Muziki wa Injili wa Mwaka
Please Vote for Nikurejeshee - Neema Gospel Choir in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA1205

βœ…5. ⁠*Chukwu Oma* (ft. @rehema_simfukwe ) - Ushirikiano Bora wa Muziki wa Injili wa Mwaka
Please Vote for Chukwu Oma Neema Gospel Choir na Rehema Simfukwe - Neema Gospel Choir na Rehema Simfukwe in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA2005


*AFFILIATED NOMINATION*
βœ…1. @herman_mchome_ (NIKUREJESHEE) - Mtunzi Bora wa Muziki wa Injili wa Mwaka
Please Vote for Nikurejeshee - Herman Mchome in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA1403

βœ…2. ⁠ @amigojohnson (NIKUREJESHEE) - Mtayarishaji Bora wa Video ya Muziki wa Injili wa Mwaka.
Please Vote for Nikurejeshee - Amigo Johnson in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA1304

βœ…3. ⁠ @am_keifer (NGC MD) - Muandaaji Bora ya Muziki wa Injili wa Mwaka
Please Vote for Kepha Mndeme in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA1504

βœ…4. @mix3dbyfreddie (NGC Technical Director) - Muandaaji Bora ya Muziki wa Injili wa Mwaka.
Please Vote for Fredrick Masanja in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA1501

βœ…5. ⁠⁠⁠ @am_keifer (NGC MD) - Mtayarishaji Bora wa Sauti ya Muziki wa Injili wa Mwaka
Please Vote for Kepha Mndeme in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA1603

βœ…6. @mix3dbyfreddie ⁠ (NGC Technical Director) - Mtayarishaji Bora wa Sauti ya Muziki wa Injili wa Mwaka
Please Vote for Fredrick Masanja in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA1501

βœ…7. @herman_mchome_ (NGC Member) - Kiongozi Bora wa Muziki wa Kuabudu wa Mwaka
Please Vote for Herman Mchome in https://tanzaniagospelmusicawards.com/#/Category?code=TGA1902

*MUNGU AKUBARIKI SANA KWA KUTUPIGIA KURA.*πŸ™πŸ½
(Haya si Mashindano, Bali ni kutoa heshima na kutambua kazi ya injili katika vipawa hivi)

#tanzaniagospelmusicawards
#tanzaniagospelmusicawards2025
#neemagospelchoir