Neema Gospel Choir
778 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
85 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
Wakati wa Mungu, ni wakati Sahihi!
Safari ndefu ya Ushindi!
Tutakutana 01 December ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
#VICTORIOUS JOURNEY

Ibada kubwa ya Kusifu, Kuabudu & Maombi ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“ D A R E S S A L A A M


Neema Gospel Choir
#Live Recording
Are you excited to be part of the live recording of the 'Victorious Journey' worship experience on December 1st?๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ

Join us for a night that will be filled with powerful worship, uplifting melodies, and an atmosphere of spiritual breakthrough.

Save the date and let's worship together! ๐Ÿ™Œ๐ŸŽถ ๐ŸŽต
#VictoriousJourney #NGC #LiveRecording"
Kitu kikubwa cha Kiungu kinaenda kutendeka katika Mji wa Dar es Salaam ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Something Big๐Ÿ”ฅ Going to happen in the Dar es Salaam City.

SAVE THE DATE 01 December ๐Ÿ“Œ
Mungu awabariki sana RUNGWE HOTEL washirika wakubwa katika kuandaa ibada hii #victoriousjourney 01 December

Tunaendelea kukukaribisha kapanda Sadaka yako katika maandalizi ya Ibada hii
Kwa Neema ya Mungu tutamfanyia ibada kubwa ya Kumsifu, Kumtukuza na Kumuadhimisha yeye kwa Shukrani kubwa ya Mwaka mzima na Kutangaza Safari yetu ya Ushindi ๐•๐ข๐œ๐ญ๐จ๐ซ๐ข๐จ๐ฎ๐ฌ ๐‰๐จ๐ฎ๐ซ๐ง๐ž๐ฒ

Mahari pa kufanyia ibada yetu itakuwa ni: ๐”๐ก๐ฎ๐ซ๐ฎ ๐’๐ญ๐š๐๐ข๐ฎ๐ฆ
Ibada itaanza saa 1:00 Usiku mpaka Alfajili.

Sadaka yako ya Kiingilio ni:
Regular TZS 3,000 Tu.
VIP 10,000 Tu.

KARIBUNI SANA! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Je, umeshajipatia ticket yako ya Victorious Journey?
Anonymous Poll
33%
Ndiyo
67%
Nitajipatia na nitahudhuria
๐•๐ˆ๐‚๐“๐Ž๐‘๐ˆ๐Ž๐”๐’ ๐‰๐Ž๐”๐‘๐๐„๐˜
๐Ÿ”ฅOvernight Worship Experience
by NEEMA GOSPEL CHOIR - AICT CHANGโ€™OMBE

Kwa neema ya Mungu tutashirikiana na watumishi wenzetu na Familia yetu *VOICE OF VICTORY CHOIR*

๐Ÿ—“๏ธ 01 December 2023.
โฐ 1:00 Usiku
๐ŸŸ๏ธ UHURU STADIUM

Sasa TICKETS zinapatikana kupitia;
@nilipetz

๐ŸŽŸ๏ธKUJUA VITUO VYA TICKETS AU KUPATA TICKETS NYINGI PIGA: ๐Ÿค™0749 044 044

Karibuni Sana
โš ๏ธ โš ๏ธโš ๏ธโš ๏ธโš ๏ธ
*WAKO WAPI WALE WASHINDI ?*
*WAKO WAPI WALE WANAOPIGANIWA NA BWANA?*โš ๏ธโš ๏ธโš ๏ธโš ๏ธโš ๏ธ

*VICTORIOUS JOURNEY* Thanksgiving Overnight ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Neema Gospel Choir tunakukaribisha kwenye Ibada ya Mkesha wa Shukurani na Maombi.

๐Ÿ—“๏ธ Ijumaa 08 December 2023.
โฑ๏ธ Kuanzia saa 3:00 Usiku
๐Ÿ“ Kanisa la AIC Changโ€™ombe

Karibu Tuimbe, Tuabudu, Tusifu na Kuomba pamoja nasi๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ

HII PIA SIYO YA KUKOSA!
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Kaa tayari kupokea Nyimbo 28 ambazo tulifanikiwa kumtukuza Mungu kwazo Usiku ule wa Ushindi #๐•๐ˆ๐‚๐“๐Ž๐‘๐ˆ๐Ž๐”๐’ ๐‰๐Ž๐”๐‘๐๐„๐˜ Kwa Neema ya Mungu PUNDE zitaanza kupatikana YOUTUBE!

โ“โ“โ“
Je, uko tayari kupokea Baraka ya nyimbo hizi?
โ“โ“โ“
Unadhani tuanze kurelease wimbo upi kati ya hizi?


*๐Ÿ”—SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU SASA.*

https://youtube.com/@NeemaGospelChoir
๐Ÿ“ฝ๏ธ๐Ÿ“ฝ๏ธ๐Ÿ“ฝ๏ธ
๐Ÿ—“๏ธ๐Ÿ—“๏ธ๐Ÿ—“๏ธ
14 February 2024
Siku ya pekee sana kupokea Baraka za Upendo wa Kristo kupitia wimbo huu

Yaani ni ile Heri iliyoovutwa muda mrefu na subira
Kaa tayari
_Save the Date_


Subscribe Sasa: https://www.youtube.com/@NeemaGospelChoir

#neemagospelchoir #neemagospel #gospelmusic #youtube #music #gospel