Neema Gospel Choir
778 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
85 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania 🇹🇿(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
Je, umeshatazama wimbo wetu "Unaweza" huko youtube?
Anonymous Quiz
86%
Ndio
14%
Hapana
https://youtu.be/w6MHJ33B4jM

Kwa utofauti flani, tunakuletea new Live Version ya wimbo _*Msalabani*_

Ni ya kipekee sana, ni tofauti..!!

Twende YouTube..!!
Rehearsal in a Professional way! #International Tour 🔥🇰🇪
https://youtu.be/ngjKoO6JBEs

Available In All Digital Platforms!!
T-SHIRTS NOW AVAILABLE!
Whatsapp Only: +255 766 777 288

Unahitaji kupendeza kwa Tshirt kali za Neema Gospel Choir Msimu wa #Washindi #victoriousjourney

*🏷️ BEI YA T-SHIRTS*
25,000 - Short Sleeve
30,000 - long Sleeve
35,000. - Hoodies
50,000 - Special Design

Weka Oda yako sasa!
Channel photo removed
Channel photo updated
GOOOOOOD NEWS. 🔥🔥🔥🔥

AHSANTE kwa Uliyotenda!
Wewe ni Mkuu Yesu!
Hakuna Mwingine kama Wewe!
Mfalme ndiwe Bwana 🙏🏽

Tunaendelea kumwambia Mungu Ahsante kwa Alichotufanyia 🙌

Jumamosi 29 July 2023
Wimbo Huu Utakuwa Youtube na Digital Platforms zote:

SUBSCRIBE SASA: https://www.youtube.com/@NeemaGospelChoir