Je Umetazama Video ya Dakika 17 za Kusifu - Live Uhuru Stadium?
Ni wimbo gani umekubariki zaidi katika Dakika 17?
Ni wimbo gani umekubariki zaidi katika Dakika 17?
Anonymous Quiz
42%
MWEMA
28%
DOUBLE DOUBLE
29%
TEMPORARY
Yupo Mungu adumuye milele.
Yeye habadiliki, jana leo na hata milele.
Mtumaini yeye maana atakuvusha. Mateso, shida, magonjwa ni vya muda tu (Temporary)
Karibu utazame wimbo huu!
Pia Subscribe na share kwa mwingine.
Ubarikiwe
https://youtu.be/G-vyODFfkgs

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mwema cover by Moses Nzamangwa!
https://youtu.be/GJAXgcJ50bs
Na ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa rehema, Mungu wa faraja yote; atufarijiye katika dhiki zetu zote ili nasi tupate kuwafariji wale walio katika dhiki za namna zote, kwa faraja hizo, tunazofarijiwa na Mungu.
2 Kor 1:3 - 4
Na ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa rehema, Mungu wa faraja yote; atufarijiye katika dhiki zetu zote ili nasi tupate kuwafariji wale walio katika dhiki za namna zote, kwa faraja hizo, tunazofarijiwa na Mungu.
2 Kor 1:3 - 4
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saa7 kamili mchana!! (13:00)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
"🎵 Our choir has just released our latest video 'Unaweza' on YouTube! 🎥🎶 Click the link in our bio to watch it now and be uplifted by the powerful message of the song. Don't forget to share the link with your friends and family so they can enjoy it too! 🙌 #Unaweza #NewVideo #ChoirMusic #ShareTheLove"