Neema Gospel Choir
778 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
85 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania 🇹🇿(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
FINALLY MWEMA VIDEO ITAKUWA YOUTUBE SOON 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥


Shalom shalom watu wa MUNGU,
Imempendeza MUNGU kwa wakati wake Tar 11 Feb. 2022 tunaenda kuachia Live Official Video ya moja kati ya nyimbo nyingi tulizozifanya kwenye ibada ya shukurani *Sing with Thanksgiving*.
Wimbo huu unaenda kwa jina la *MWEMA* ukiwa umejaa shukurani kwa Mungu kwa *Matendo* yake makuu anayotufanyia.


Jiandae kutazama wimbo huu, huku
uki-subscribe channel yetu ya Youtube 🙏🏾

Special thanks

Video director (Capturing & Editing) : @Amigo_Johnson
Audio Capturing, Mixing & Mastering : @Frester's Records

Mungu awabariki sana mnaposubiri zawadi hii ya Shukurani 🙏🏾

#Mwema #NGC30 #30thAnnivesary #newvideo
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Tuone kidogo wimbo wetu "MWEMA"

🔥🔥🔥🔥


Shalom shalom watu wa MUNGU, Tar 11 Feb. 2022 - Ijumaa saa kumi kamili
Wimbo uitwao MWEMA utakuwa umetoka YouTube.

Share habari hii njema kwa marafiki wengi zaidi.

Jiandae kutazama wimbo huu, huku
uki-subscribe channel yetu ya Youtube 🙏🏾

https://bit.ly/neemagospelchoir?sub_confirmation=1

Special thanks!

Video director (Capturing & Editing) : @Amigo_Johnson
Audio Capturing, Mixing & Mastering : @Frester's Records

Mungu awabariki sana mnaposubiri zawadi hii ya Shukurani 🙏🏾

#Mwema #NGC30 #30thAnnivesary #newvideo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Shalom, Tunakukumbusha kuwa Wimbo Mpya wa 𝗠𝗪𝗘𝗠𝗔 unaopatikana *YOUTUBE!*

Pia unapatikana kwenye Music Digital Platform zote Duniani, #applemusic #spotify #boomplay #tidalmusic #amazonmusic #audiomack #pandora #deezermusic na zingine nyingi.

LINK
https://youtu.be/bz1KMVZYjxk

#Mwema
#digitalplatform
#music
#musicvideo
#neemagospelchoir