Neema Gospel Choir
777 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
85 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania 🇹🇿(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
Tunawatakia heri ya sikukuu ya kuzaliwa Yesu!
We wish you a *Merry Christmas*

*Isaya 9:6 *
Maana mtoto amezaliwa kwa ajili yetu, tumepewa mtoto wa kiume. Naye atapewa mamlaka ya kutawala. Ataitwa: “Mshauri wa Ajabu”. “Mungu Mwenye Nguvu”, “Baba wa Milele”, “Mfalme wa Amani”.’’

#Christmas
#2021
#neemagospelchoir