Neema Gospel Choir
779 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
85 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania 🇹🇿(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
Leo tutaanza kuachia Track list nzima inayobeba Album mpya ya #TheSoundOfAhsante Kaa tayari, Huku ukiombea kazi hii,
Rasmi itakuwa released Jumapili 10 October 2021.

Kuelekea Live Recording yetu 03 December

#neemagospelchoir #worshipinspirit #NewAlbum #release #2021
Anaitwa @sammynkola Ni mmoja wa familia yetu ya @neema_gospel_choir Kwa neema ya Mungu katika kufanikisha uwepo wa album yetu mpya ya THE SOUND OF AHSANTE,
Ameshirikiana na Kwaya nzima akifanya Guitar ya Bass

Mungu akubariki sana @sammynkola

Album hii inapatikana katika Flash yanye nyimbo 11,
Wasiliana nasi kujipatia flash yako kwa Tsh 20,000 tu!

#thesoundofahsante #gospel #gospelmusic #music #worship