Neema Gospel Choir
791 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
86 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania 🇹🇿(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
Neema Gospel Choir pinned «Jinsi ya kusave nyimbo! (Android) 1. Bonyeza mshale unaotazama chini ili kudownload. 2. Bonyeza dot 3 pembeni ya wimbo kulia 3. Bonyeza "Save to music" 4. Angalia folder lako la music utaziona nyimbo ulizosave Kwa mawasiliano zaidi, tuma ujumbe WhatsApp +255766777288»
Channel photo updated
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
" Tumetumwa kuenenza injili kwa kila mataifa , Mark 16:15.

Teknolojia imetusaidia kutimiza lengo hili na kupitia huduma ya NGC ndugu wetu wa #mamlakahillchapel wamehudumu huko Kenya wimbo wa #SiWakatiWaKulia ili kufikisha ujumbe wa neno la Mungu kwa taifa hilo na mengine zaidi.
.
Hii ni alama kwa huduma ya NGC kukubalika na hivyo kutimiza lengo la utume mkuu.
.
Ahsanteni sana kwa kuendelea kuonyesha upendo mwingi, 🔥 #Worldwide
.
You can continue covering any song from our previous albums and Tag our official Account @neema_gospel_choir
Neema Gospel Choir pinned «Jinsi ya kusave nyimbo! (Android) 1. Bonyeza mshale unaotazama chini ili kudownload. 2. Bonyeza dot 3 pembeni ya wimbo kulia 3. Bonyeza "Save to music" 4. Angalia folder lako la music utaziona nyimbo ulizosave Kwa mawasiliano zaidi, tuma ujumbe WhatsApp +255766777288»
Tunamshukuru Mungu aliyekuwa pamoja nasi tangu mwanzo wa safari yetu mwaka 1992 na leo tunatimiza miaka 29 katika huduma.

Haikuwa rahisi kufika hapa, kwa Msaada wa Mungu bado ametukusanya pamoja na kuendelea kuilinda huduma yake.

Tunawashukuru sana Wote mnaotuombea kwa ajili ya kusupport huduma yetu. Wale mnaojitoa kwa Maombi, Mali, Pesa hata Muda kwa ajili ya Huduma yetu.

*Bwana kwa nguvu zako, Hatutadhurika. Kwa vitu vya kufisha, Hatutadhurika*

Mbarikiwe wote.
Channel photo updated