Neema Gospel Choir
781 subscribers
91 photos
68 videos
2 files
85 links
Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania 🇹🇿(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam
Download Telegram
Jinsi ya kusave nyimbo! (Android)
1. Bonyeza mshale unaotazama chini ili kudownload.
2. Bonyeza dot 3 pembeni ya wimbo kulia
3. Bonyeza "Save to music"
4. Angalia folder lako la music utaziona nyimbo ulizosave

Kwa mawasiliano zaidi, tuma ujumbe WhatsApp +255766777288
Neema Gospel Choir pinned «Jinsi ya kusave nyimbo! (Android) 1. Bonyeza mshale unaotazama chini ili kudownload. 2. Bonyeza dot 3 pembeni ya wimbo kulia 3. Bonyeza "Save to music" 4. Angalia folder lako la music utaziona nyimbo ulizosave Kwa mawasiliano zaidi, tuma ujumbe WhatsApp +255766777288»
Channel photo updated
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
" Tumetumwa kuenenza injili kwa kila mataifa , Mark 16:15.

Teknolojia imetusaidia kutimiza lengo hili na kupitia huduma ya NGC ndugu wetu wa #mamlakahillchapel wamehudumu huko Kenya wimbo wa #SiWakatiWaKulia ili kufikisha ujumbe wa neno la Mungu kwa taifa hilo na mengine zaidi.
.
Hii ni alama kwa huduma ya NGC kukubalika na hivyo kutimiza lengo la utume mkuu.
.
Ahsanteni sana kwa kuendelea kuonyesha upendo mwingi, 🔥 #Worldwide
.
You can continue covering any song from our previous albums and Tag our official Account @neema_gospel_choir