SIMBACHAWENE NA MKENDA WAKUTANA NA VIONGOZI WA NETO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema Serikali itaunda timu ya wataalam itakayojumuisha Wizara tano (5) ili kuchambua Makala ya “Non-Employed Teachers Organisation-NETO)” wenye umoja wao kupitia mitandao ya kijamii ili maoni yao yatumike kwa maendeleo ya taifa.
Waziri Simbachawene amesema hayo leo wakati wa kikao kilichoshirikisha Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia na Viongozi wa NETO kilichofanyika Mtumba jijini Dodoma.
“Ninamuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw. Juma Mkomi kuunda timu ya wataalam kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Wizara ya Fedha ili kuchambua makala hiyo ili tuweze kutumia mapendekezo yao kupata suluhu ya upungufu wa ajira kwa walimu” alisema Mhe. Simbachawene.
Aidha, Mhe. Simbachawene amesema Serikali ina haki ya kumsikiliza kila mwananchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na kwa kuzingatia misingi ya 4R ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mhe. Simbachawene amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inazingatia misingi ya Falsafa ya 4R (Maridhiano, Ustahimilivu, Mabadiliko na Kujenga Upya), hivyo ujio wa viongozi na NETO na utayari wa viongozi wa Serikali kuwasikiliza viongozi hao ni jitihada madhubuti zinazosadifu uzingatiaji wa falsafa hiyo.
Naye, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amesisitiza kuwa utaratibu wa usaili unaleta ushindani, haki na kuondoa mwanya wa upendeleo kwa wasailiwa.
“Mapendekezo yenu ni mazuri na sisi kama Serikali tunasubiri timu iliyotajwa na Mhe. Simbachawene ifanye kazi ya kupitia na kuchambua Makala hiyo na kisha kuleta ushauri wa namna bora ya kuboresha mchakato wa ajira za walimu” alisema Mhe. Mkenda.
Vilevile, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw. Juma Mkomi amesema Ofisi yake iko tayari kuunda timu hiyo na itatoa taarifa ndani ya kipindi cha siku 30 hadi 45 zilizoelekezwa.

♻️♻️♻️ NAFASI ZA AJIRA TANROADS
https://t.co/urflj0ULVA
👉🏽Sifa
✓ Awe na elimu ya kidato Cha nne
✓Awe raia wa Tanzania
✓Awe mchapa kazi
👥 jiunge nasii Telegram kwa Kubofya Link hii 👉🏾 t.me/expresstz tumia VPN kuingia au pakua Telegram X
♨️ _Kwa Taarifa Nyinginezo Mpya kila baada ya SAA Bofya hapa_
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
http://bit.ly/MPYA_MPYA_LEO
⚠️ _Tahadhari: Epuka Matapeli, usitoe FEDHA au ADA ya Namna Yeyote ile unapofanya Maombi ya Kazi/Ajira_
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🙏🏽🙏🏽🙏🏽 _Tafadhali! Tafadhali! Usiwe MCHOYO share na Wengine_

EXPRESSTZ.COM
EXPRESSTZ.COM: New Vacancies at TANROADS
xxxxx
🎤🎤🎤 NAFASI ZA AJIRA TAZAMA PIPELINES LTD
https://t.co/bF2JPorGcA
👉🏽Sifa
✓ Awe na elimu ya kidato Cha nne
✓Awe raia wa Tanzania
✓Awe na miaka 18-45

EXPRESSTZ.COM: New Vacancies at Tazama Pipelines Limited
xxxxx
🔥🔥 NAFASI ZA AJIRA TAASISI YA UONGOZI SEREKALINI
https://t.co/C3ZUIM8rSv
🎙️Sifa
✓ Awe na elimu ya kidato Cha nne n.k
✓Awe raia wa Tanzania
✓Awe na miaka 18-45
✓Awe Vyeti vya taaluma
👥 jiunge nasii Telegram kwa Kubofya Link hii 👉🏾 t.me/expresstz tumia VPN kuingia au pakua Telegram X
♨️ _Kwa Taarifa Nyinginezo Mpya kila baada ya SAA Bofya hapa_
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
http://bit.ly/MPYA_MPYA_LEO
⚠️ _Tahadhari: Epuka Matapeli, usitoe FEDHA au ADA ya Namna Yeyote ile unapofanya Maombi ya Kazi/Ajira_
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🙏🏽🙏🏽🙏🏽 _Tafadhali! Tafadhali! Usiwe MCHOYO share na Wengine_
https://t.co/C3ZUIM8rSv
🎙️Sifa
✓ Awe na elimu ya kidato Cha nne n.k
✓Awe raia wa Tanzania
✓Awe na miaka 18-45
✓Awe Vyeti vya taaluma
👥 jiunge nasii Telegram kwa Kubofya Link hii 👉🏾 t.me/expresstz tumia VPN kuingia au pakua Telegram X
♨️ _Kwa Taarifa Nyinginezo Mpya kila baada ya SAA Bofya hapa_
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
http://bit.ly/MPYA_MPYA_LEO
⚠️ _Tahadhari: Epuka Matapeli, usitoe FEDHA au ADA ya Namna Yeyote ile unapofanya Maombi ya Kazi/Ajira_
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🙏🏽🙏🏽🙏🏽 _Tafadhali! Tafadhali! Usiwe MCHOYO share na Wengine_
EXPRESSTZ.COM
EXPRESSTZ.COM: New Vacancies at Taasisi ya Uongozi
xxxxx
🎤🎤🎤 ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI UTUMISHI
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
https://t.co/Y1qJfoiHD8
👥 jiunge nasii Telegram kwa Kubofya Link hii 👉🏾 t.me/expresstz tumia VPN kuingia au
pakua Telegram X
♨️ _Kwa Taarifa Nyinginezo Mpya kila baada ya SAA Bofya hapa_
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
http://bit.ly/MPYA_MPYA_LEO
⚠️ _Tahadhari: Epuka Matapeli, usitoe FEDHA au ADA ya Namna Yeyote ile unapofanya Maombi ya Kazi/Ajira_
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🙏🏽🙏🏽🙏🏽 _Tafadhali! Tafadhali! Usiwe MCHOYO share na Wengine_
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
https://t.co/Y1qJfoiHD8
👥 jiunge nasii Telegram kwa Kubofya Link hii 👉🏾 t.me/expresstz tumia VPN kuingia au
pakua Telegram X
♨️ _Kwa Taarifa Nyinginezo Mpya kila baada ya SAA Bofya hapa_
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
http://bit.ly/MPYA_MPYA_LEO
⚠️ _Tahadhari: Epuka Matapeli, usitoe FEDHA au ADA ya Namna Yeyote ile unapofanya Maombi ya Kazi/Ajira_
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🙏🏽🙏🏽🙏🏽 _Tafadhali! Tafadhali! Usiwe MCHOYO share na Wengine_
EXPRESSTZ.COM
EXPRESSTZ.COM: Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI
xxxxx
📌📌📌 NAFASI ZA AJIRA CRDB BANK
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
https://t.co/qKwG6PP9ZR
🎙️Wanahitajika Waliosomea
✓Computer Science
✓Information Technology
👥 jiunge nasii Telegram kwa Kubofya Link hii 👉🏾 t.me/expresstz tumia VPN kuingia au
pakua Telegram X
♨️ _Kwa Taarifa Nyinginezo Mpya kila baada ya SAA Bofya hapa_
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
http://bit.ly/MPYA_MPYA_LEO
⚠️ _Tahadhari: Epuka Matapeli, usitoe FEDHA au ADA ya Namna Yeyote ile unapofanya Maombi ya Kazi/Ajira_
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🙏🏽🙏🏽🙏🏽 _Tafadhali! Tafadhali! Usiwe MCHOYO share na Wengine_
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
https://t.co/qKwG6PP9ZR
🎙️Wanahitajika Waliosomea
✓Computer Science
✓Information Technology
👥 jiunge nasii Telegram kwa Kubofya Link hii 👉🏾 t.me/expresstz tumia VPN kuingia au
pakua Telegram X
♨️ _Kwa Taarifa Nyinginezo Mpya kila baada ya SAA Bofya hapa_
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
http://bit.ly/MPYA_MPYA_LEO
⚠️ _Tahadhari: Epuka Matapeli, usitoe FEDHA au ADA ya Namna Yeyote ile unapofanya Maombi ya Kazi/Ajira_
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🙏🏽🙏🏽🙏🏽 _Tafadhali! Tafadhali! Usiwe MCHOYO share na Wengine_
EXPRESSTZ.COM
EXPRESSTZ.COM: New Jobs at CRDB Bank
xxxxx
🔥 MAJINA YA NYONGEZA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
https://t.co/XgJ1zBvlCO
👥 jiunge nasii Telegram kwa Kubofya Link hii 👉🏾 t.me/expresstz tumia VPN kuingia au
pakua Telegram X
♨️ _Kwa Taarifa Nyinginezo Mpya kila baada ya SAA Bofya hapa_
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
http://bit.ly/MPYA_MPYA_LEO
⚠️ _Tahadhari: Epuka Matapeli, usitoe FEDHA au ADA ya Namna Yeyote ile unapofanya Maombi ya Kazi/Ajira_
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🙏🏽🙏🏽🙏🏽 _Tafadhali! Tafadhali! Usiwe MCHOYO share na Wengine_
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
https://t.co/XgJ1zBvlCO
👥 jiunge nasii Telegram kwa Kubofya Link hii 👉🏾 t.me/expresstz tumia VPN kuingia au
pakua Telegram X
♨️ _Kwa Taarifa Nyinginezo Mpya kila baada ya SAA Bofya hapa_
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
http://bit.ly/MPYA_MPYA_LEO
⚠️ _Tahadhari: Epuka Matapeli, usitoe FEDHA au ADA ya Namna Yeyote ile unapofanya Maombi ya Kazi/Ajira_
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🙏🏽🙏🏽🙏🏽 _Tafadhali! Tafadhali! Usiwe MCHOYO share na Wengine_
EXPRESSTZ.COM
EXPRESSTZ.COM: Call for Interview Utumishi
xxxxx
🎙️🎙️🎙️ NAFASI ZA AJIRA CULTIVAID
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
https://t.co/s59YBWfysW
👥 jiunge nasii Telegram kwa Kubofya Link hii 👉🏾 t.me/expresstz tumia VPN kuingia au
pakua Telegram X
♨️ _Kwa Taarifa Nyinginezo Mpya kila baada ya SAA Bofya hapa_
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
http://bit.ly/MPYA_MPYA_LEO
⚠️ _Tahadhari: Epuka Matapeli, usitoe FEDHA au ADA ya Namna Yeyote ile unapofanya Maombi ya Kazi/Ajira_
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🙏🏽🙏🏽🙏🏽 _Tafadhali! Tafadhali! Usiwe MCHOYO share na Wengine_
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
https://t.co/s59YBWfysW
👥 jiunge nasii Telegram kwa Kubofya Link hii 👉🏾 t.me/expresstz tumia VPN kuingia au
pakua Telegram X
♨️ _Kwa Taarifa Nyinginezo Mpya kila baada ya SAA Bofya hapa_
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
http://bit.ly/MPYA_MPYA_LEO
⚠️ _Tahadhari: Epuka Matapeli, usitoe FEDHA au ADA ya Namna Yeyote ile unapofanya Maombi ya Kazi/Ajira_
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🙏🏽🙏🏽🙏🏽 _Tafadhali! Tafadhali! Usiwe MCHOYO share na Wengine_
EXPRESSTZ JOBS CENTRE
EXPRESSTZ JOBS CENTRE: New Jobs at CultivAid
Nafasi za Kazi na Ajira Kila Siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi, Ajira Leo, Recent Jobs | Educational Updates, Scholarships, Selections