AJIRA NA FURSA
15.8K subscribers
1.33K photos
21 videos
460 files
10.8K links
✓LIVE!Taarifa za Ajira/Kazi Kila Saa
✓Government Jobs | UTUMISHI/PSRS
✓Temporary and Part-time Jobs
✓Volunteering Opportunities
✓Graduate Training Opportunities
✓International Opportunities
✓Scholarships and Internships
Download Telegram
#UPDATES "Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA ile sio tu ya kijana wa darasa la 7 hata wewe uliyemaliza Degree uwe mtaalamu wa Kompyuta nenda kajifunze kushona nguo, uwe fundi cherehani, nenda kajifunze ufundi umeme uwe fundi umeme kwahiyo hata mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kwenda kusoma VETA kwasababu pale unasemea ufundi"

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora. #EastAfricaTV