Wajawema Online TV
2.09K subscribers
325 photos
341 videos
6 files
1.24K links
IJUE MANHAJJ WALIO KUWA NAYO MASWAHABA WAKARIM KUPITIA GROUP HILI PAMOJA NA YOUTUBE CHANNEL YETU LINK HII
https://youtube.com/@wajawemaonlinetv?feature=shared
Download Telegram
♡ ㅤ   ❍ㅤ     ⎙    ⌲
ˡᶦᵏᵉ ᶜᵒᵐᵐᵉⁿᵗ ˢᵃᵛᵉ ˢʰᵃʳᵉ
♡ ㅤ   ❍ㅤ     ⎙    ⌲
ˡᶦᵏᵉ ᶜᵒᵐᵐᵉⁿᵗ ˢᵃᵛᵉ ˢʰᵃʳᵉ
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
♡ ㅤ   ❍ㅤ     ⎙    ⌲
ˡᶦᵏᵉ ᶜᵒᵐᵐᵉⁿᵗ ˢᵃᵛᵉ ˢʰᵃʳᵉ
♡ ㅤ   ❍ㅤ     ⎙    ⌲
ˡᶦᵏᵉ ᶜᵒᵐᵐᵉⁿᵗ ˢᵃᵛᵉ ˢʰᵃʳᵉ
🔴 LIVE NAD-WA...
•« Tupo hewani Muda huu »•


*🕌 🇹🇿 MARKAZ IMAAMIL MUZANIY.*
•«Vingunguti- Dar es Salaam- Tanzania »•


*➖️MADA*
📕 KUJUE KUTEGUA UCHAWI KISHERIA NA ALIVYO FANYA MTUME MUHAMMAD ﷺ



*📌 Siku ya Jumanne:*
📅 Tarehe 10-12-2024 Miladiyyah.


*🎙Mzungumzaji:*
Sheikh Abuu Ubaydah Hussein Nadhir Abdallah
(Allah amhifadhi)


📲Kusikiliza live gusa kiunganishi hiki:
https://www.youtube.com/live/V1BtpmZSUBk?si=w34G4zVRG-HDWosX


___
*📲 Jiunge na Magroup yetu WhatsApp*

🪀1️⃣ wajawema
https://chat.whatsapp.com/F3LKlpLT3TeIxEToZzNbgG


🪀2️⃣ Wajawema https://chat.whatsapp.com/FnLZ5pNzqoHAihKgPVJFWc

🪀3️⃣ Wajawema
https://chat.whatsapp.com/KMuiA7bDAJJ4cNO9MIJ4mZ


*📳Pamoja na Chanel yetu Telegram*
https://t.me/bustaniyawajawema9

♡ ㅤ   ❍ㅤ     ⎙    ⌲
ˡᶦᵏᵉ ᶜᵒᵐᵐᵉⁿᵗ ˢᵃᵛᵉ ˢʰᵃʳᵉ
3👍1
♡ ㅤ   ❍ㅤ     ⎙    ⌲
ˡᶦᵏᵉ ᶜᵒᵐᵐᵉⁿᵗ ˢᵃᵛᵉ ˢʰᵃʳᵉ
👍2
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh

Habarini wanagroup wote Kuna taarifa ambazo ni zakushutua hivyo Naomba
Usome Ujumbe huu

Asubuhi ya Siku Alkhamis kuna tukio limetokea Katika studio yetu ya *Wajawema* zilizopo Vingunguti kunawizi umetokea na kupelekea kuibiwa moja katika laptop zetu tena laptop tegemezi katika kazi zetu za kusambaza Faida za Ilmu na Duruus mbalimbali za Masheikh Tanzania Sambamba na hilo zimeibiwa pia Microphone mbili za kurecodia sauti Stand za miki pamoja na Baadhi ya waya za kurecodia

Nipigo kubwa sana kwetu sisi na kwa waislamu wanaopata Faida kupitia vipindi vyetu Kiukweli imetuathiri sehemu kubwa sana katika kazi zetu

Hivyo kwa yeyote alie guswa na Mtihani huu tunamuomba atuunge mkono katika ili tuweze kurudi katika Ubora wetu kama wa mwanzo

Kwa kutuma chochote ulicho Jaliwa tuma kwa namba zetu

Vodacom
*0756694826*
Jina Abdul wasiu Ahmada

*Airtel Money*
0788680814
Kassim Dhahabu

Tunawaomba wote kwa moyo mmoja na Libebe jambo hili kama lako hakika sisi hatuna cha kukulipa bali utakuwa umeshiriki katika kheli hii na umetuinua tena kila kitacho fanywa katika Chanel hii utapata malipo yake Insha Allah
Audio
Audio from shafiisaidymulungwana
Kwa Yule alie guswa na tatizo lililo tupata ataweza kuchangia kwa namba hizi

*Vodacom*
0756 694 826
Abdul wasiu Ahmad

*Airtel*
0788 680 814
Kassim Dhahabu

Gharama za vifaa
01. Laptop 500,000
02. Microphone kila moja 150,000 pc2
03. Nyaya zote zinagharimu 67,000
04. Stand za Microphone 50,000


Nani anatufungulia katika kuchangia

01. Dada yetu 5000
02. Dada yetu 5000
03.
04.
05.
Kwa Yule alie guswa na tatizo lililo tupata ataweza kuchangia kwa namba hizi

*Vodacom*
0756 694 826
Abdul wasiu Ahmad

*Airtel*
0788 680 814
Kassim Dhahabu

Gharama za vifaa
01. Laptop 500,000
02. Microphone kila moja 150,000 pc2
03. Nyaya zote zinagharimu 67,000
04. Stand za Microphone 50,000


Nani anatufungulia katika kuchangia

01. Dada yetu 5000
02. Dada yetu 5000
03. Kaka yetu 50,000
04.
05.
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
♡ ㅤ   ❍ㅤ     ⎙    ⌲
ˡᶦᵏᵉ ᶜᵒᵐᵐᵉⁿᵗ ˢᵃᵛᵉ ˢʰᵃʳᵉ
♡ ㅤ   ❍ㅤ     ⎙    ⌲
ˡᶦᵏᵉ ᶜᵒᵐᵐᵉⁿᵗ ˢᵃᵛᵉ ˢʰᵃʳᵉ
Kwa Yule alie guswa na tatizo lililo tupata ataweza kuchangia kwa namba hizi

*Vodacom*
0756 694 826
Abdul wasiu Ahmad

*Airtel*
0788 680 814
Kassim Dhahabu

Gharama za vifaa
01. Laptop 500,000
02. Microphone kila moja 150,000 pc2
03. Nyaya zote zinagharimu 67,000
04. Stand za Microphone 50,000


Nani anatufungulia katika kuchangia

01. Dada yetu 5000
02. Dada yetu 5000
03. Kaka yetu 50,000
04. Dada yetu 10,000
05.
Kwa Yule alie guswa na tatizo lililo tupata ataweza kuchangia kwa namba hizi

*Vodacom*
0756 694 826
Abdul wasiu Ahmad

*Airtel*
0788 680 814
Kassim Dhahabu

Gharama za vifaa
01. Laptop 500,000
02. Microphone kila moja 150,000 pc2
03. Nyaya zote zinagharimu 67,000
04. Stand za Microphone 50,000


Nani anatufungulia katika kuchangia

01. Dada yetu 5,000
02. Dada yetu 5,000
03. Kaka yetu 50,000
04. Dada yetu 10,000
05. Ndugu yetu 2,000
06. Dada yetu 2,000
07. Dada yetu 1,500
08. Kaka yetu 4.000